Laki si Pesa, Pdidy, Shyland

Laki si Pesa, Pdidy, Shyland

hivi Pdidy alishamalizana na lile sakata la mbasha vs gwajima?.nakumbuka yeye ndio alikuwa anatupa updates zote.:smile-big:
Pdidy mzee wa nyeti.. ile list ya Liyumba aliileta yeye pia kama sijakosea
 
Last edited by a moderator:
hivi Pdidy alishamalizana na lile sakata la mbasha vs gwajima?.nakumbuka yeye ndio alikuwa anatupa updates zote.:smile-big:

Yupo anafatilia vinasaba vya wazazi wote aje kutoa conclusion mwenye mtoto aanze kulea
 
Last edited by a moderator:
Pdidy mzee wa nyeti.. ile list ya Liyumba aliileta yeye pia kama sijakosea

Hajafikia rank hiyo mzee wa nyeti kwa JF na hata mitandao mingine ya kijamii ni Yericko Nyerere,nyeti zake zote hukaribiana na ukweli.nakumbuka juzi kule FB alitujuza kwamba kutakuwa na kikao cha siri cha matajiri na wafadhili wa CCM huko butiama......naona kama imekuwa kweli.
 
hajafikia rank hiyo.mzee wa nyeti kwa JF na hata mitandao mingine ya kijamii ni Yericko Nyerere,nyeti zake zote hukaribiana na ukweli.nakumbuka juzi kule FB alitujuza kwamba kutakuwa na kikao cha siri cha matajiri na wafadhili wa CCM huko butiama......naona kama imekuwa kweli.

Umechanganya sirias na comedi mkuu! Hapa tunajadili comedi.

Huyo jamaa yako anadaiwa deni, alitoa ahadi ya kumpa mshindi wa shindano la Kiswahili.
 
Kuna na huyu ndugu yetu Mkenya MK254 akili zake pia anazijua mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
Pdidy nuksi hao wote wakasome akikuvurua unavurugika kweli
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom