Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,713
Bado nasubiria thread ambayo nitawakuta hawa ndugu zangu kwa umoja. Hawa jamaa huwa wananivunja mbavu sana kwa comment zao humu.
Pasipo na ubaya nimeona leo niwaweke pamoja hapa tubadilishane mawazo kidogo. Naomba ruhusa ya kiranja wa jukwaa mshana na mama wa jukwaa miss chagga.
Ningetamani siku moja nijumuike na hawa watu tupate hata kikombe cha kahawa.
CC: laki si pesa Pdidy Shyland