Naona unalazimisha nyeusi kuwa nyeupe.....alafu ukumbuke sio kila siku jumapili....mwambie dada leo ni jumanne juzi ndo ilikuwa jumapili...Ndugu yangu ,hivi unaelewa unachokiandika hapa....mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni..
Jide hakuanza kung'ara baada ya kuolewa NA G ila jide aling'ara toka nyimbo yake ya machozi na ikampa hadi tuzo S.A .kuna wimbo kama distance ni joto hadi Leo kwa ubunifu NA hakuna msanii wa kike wa leo hii ambae ana nyimbo kama hiyo....
Jide NI wa kumfananisha na stara, ray c (ambae ndio walikuwa washindani haswaa), Renee lamira na wengine kama hao NA si watoto kama ruby ama maua....
Hata kama Beyonce na rihanna wataiteka dunia ila kuwafananisha na watu kama Whitney Houston NI sawa NA tusi LA nguoni....
ONCE A QUEEN ALWAYS A QUEEN
Ukweli haujifichi kabisa.....una hitaji kujitoa ufahamu kabisa kusema huu wimbo ni mbaya mimi huwa sikubaliani sana na jide..lakini huu wimbo ni mzuri kabisa na kila mwenye masikio akisikia atasema kabisa!Anachokosea huyu dada na wapambe wake ni kumwelezea sana(kumsifia)kuliko kuiacha hiyo nyimbo ijielezee na kutoa taswira hali ya ujio wa jide....maana kila kukicha kazi kumsifia jide kwenye mitandao ya kijamii...swali langu hivi haya mnayofanya mnafanya na nchi jirani au mnatusumbua huku tu....kiukweli huo wimbo ni wa kawaida sana na unajionyesha jinsi gani alivyopotea na ana kazi ya ziada....kwa muziki huu hata Vanessa mdee hamsogelei....vip kuhusu yemi alade !?!....kinachotakiwa akubali tu kuwa maisha ni kupokezana kijiti na sasa kijiti chake anacho mtu mwingine....ushauri atafute kazi nyingine ya kufanya kufeli kimuziki sio kufeli maisha
Anachokosea huyu dada na wapambe wake ni kumwelezea sana(kumsifia)kuliko kuiacha hiyo nyimbo ijielezee na kutoa taswira hali ya ujio wa jide....maana kila kukicha kazi kumsifia jide kwenye mitandao ya kijamii...swali langu hivi haya mnayofanya mnafanya na nchi jirani au mnatusumbua huku tu....kiukweli huo wimbo ni wa kawaida sana na unajionyesha jinsi gani alivyopotea na ana kazi ya ziada....kwa muziki huu hata Vanessa mdee hamsogelei....vip kuhusu yemi alade !?!....kinachotakiwa akubali tu kuwa maisha ni kupokezana kijiti na sasa kijiti chake anacho mtu mwingine....ushauri atafute kazi nyingine ya kufanya kufeli kimuziki sio kufeli maisha
Naona unalazimisha nyeusi kuwa nyeupe.....alafu ukumbuke sio kila siku jumapili....mwambie dada leo ni jumanne juzi ndo ilikuwa jumapili...
Sasa kama hashauriki vipi anaweza kubaki kuwa mshauri kweli?je unafikiri wamemchukia bila sababu za msingi??? au unatiririka tuu kama maji???jd ni mkorofi, sio msikivu, mbishi, hashauriki, aliyeshindikana..hawezi kuishi na mtu yoyote bila kugombana nae, pia ni mbinafsi sana, na pia hawapendi jinsia yake(kike).So hawezi kufika mbali.. namshauri abaki kama mshauri na asifanye kazi za jumuiya afanye kazi zake binafsi.. mziki awaachie vijana wanaojua kucheza na saikolojia ya kisasa kama v money(vanessa mdee)..
We jamaa, sijui kibibi /mwanamke ; unashabikia kila kitu!Nyimbo kali sanaa"
Ndi-Ndi-Ndi ( Lady Jay Dee) okJIDE,JIDE we noma, sema unatatzo la kiburi.
Nilikuwa najaribu kutunza kumbu kumbu zangu!Kwahiyo?
Nakushabikia mpaka ww" [emoji112] haterWe jamaa, sijui kibibi /mwanamke ; unashabikia kila kitu!
Ndi-Ndi-Ndi ( Lady Jay Dee)Mimi ni shabiki mkubwa wa Jide ila hii aimwachi salama. Watu wameitafsri kama dharau.
Ndi-Ndi-Ndi ( Lady Jay Dee)Tatizo la Jide 'hasira bado hazijaisha' hivyo anakuja na nyimbo yenye 'theme' ya 'mipasho'. Hii haitamsaidia. Yaliyopita si ndwele..
Ndi-Ndi-Ndi ( Lady Jay Dee)Huo mkorasi wa kibabe sana..Big up Jide..Nice song..Ila mipasho inatosha sasa..Piga kazi
Ndi-Ndi-Ndi ( Lady Jay Dee)Bila clouds fm nyimbo haitafika mbali maana clouds ndiyo habari ya mjini.
jaribu kuchambua kidogo kabla ya kuchambuliwa.... jd hashauriki kwa lolote so inamlazimu awe mshauri tuu(either kwa kujenga au kubomoa)Sasa kama hashauriki vipi anaweza kubaki kuwa mshauri kweli?
Acha bla bla hivi mimi nakataa ushauri wako utanipa muda wa kukushaurijaribu kuchambua kidogo kabla ya kuchambuliwa.... jd hashauriki kwa lolote so inamlazimu awe mshauri tuu(either kwa kujenga au kubomoa)
Ukitaka kujua hii nyimbo mbaya kwanza imenyimwa airtime na bila kuwekwa hapa na wapambe wake ushuzi nina huakika msinge isikia kabisa kwenye vituo vya redio.....jide anachotakiwa ni kuamini alikuwa anatembea na mataili(nyota) ya gadner....sasa haipo ajiandae kuwa mshabiki wa muziki na sio mwanamuzi....wako wapambe ambao hawakubali hili ila kwa wachambuzi wa muziki watakubaliana na mimi nyota ya jide ilianza kung'ara punde tu alipoingia kwenye maisha ya ndoa na gadner.....na hii sio tanzania tu wasanii waliopotea kwa kukosana na waume zao na ambao walikuwa wanang'ara kwa nyota za waume zao mfano mariah Carey alipotea baada ya kuachana na mmewe wa kwanza Tommy Mottola.....wote mashahidi tuliona kilichompata Mariah Carey ....