Yaani baada tu ya kuusikiliza YouTube nimejikuta naimba hicho kibwagizo over and over againZe Ndi Ndi Ndii
It's vry vry beautiful song yan Jay D anajua sana karudia ladha zile alizokua anatupa zamaniYaani baada tu ya kuusikiliza YouTube nimejikuta naimba hicho kibwagizo over and over again
Kwa hiyo Jide yeye kama yeye hawezi kuwa timu ????halafu mimi sikuongelea kwa nini yeye kuwa timu kiba hata angesema yeye ni timu V.money ningemshangaa kwa ukubwa wa jina lake na si kingine na mimi sijasema timu yangu hebu soma vizuri.Angetaja timu yako ungekaa kimya. Tatizo liko wapi kua tim kiba... Kwanza Ndo wanaendana.... Nyimbo nzuri, zimetulia na mafundisho awatanui misuli waki imba
Huenda unanijua.we jina lako km nakujua...
Saaana Mkuu....Nyimbo kali sanaa"
The song is so sweet, ...its my flavour!i was expecting better than this ze ndi ndi ndi.
Hayo ni mawazo yako. Tusubirie tuone.Bila clouds fm nyimbo haitafika mbali maana clouds ndiyo habari ya mjini.
Ndo naniNasubiria collabo ya huo wimbo na baba tifa aka simba
Nje ya kazi zake za muziki nayeye ana anae muhusudu.Kwa hiyo Jide yeye kama yeye hawezi kuwa timu ????halafu mimi sikuongelea kwa nini yeye kuwa timu kiba hata angesema yeye ni timu V.money ningemshangaa kwa ukubwa wa jina lake na si kingine na mimi sijasema timu yangu hebu soma vizuri.
Pita hiviNdo nani