Nimekupuuza kuliko kiwango nilichowahi kupuuza kiumbe chochote, nimekuibia una cha kuibiwa?!acha wizi
legendary nani?? kwi kwi kwi kweli wewe umeishiwa mkuu, uliza gadner katambulika kwa ajil ya nani mbuzi wewe, acha shobo dund utapigwa mashine
ACHA MAJUNGU MKUU AMESEMA IVOVideo imemlenga Gadna Jihabash kabisa
Kweli mkuu cjui gardener anajiskiaje baada ya kuamgalia hii video
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sana na ndo mana ukifuatili comments nyingi kwenye huu Uzi wengi wanaponda ndo utaamini team vitonga wako wengi mjiniMimi hii nyimbo plus video yake nimeipenda sana. Kuna majamaa yananyanyasa wake zao yaani unakuta jamaa linamtimua mke wake mchana kweupe anaondoka bila hata kikombe wala hela ya nauli dadeeeki mwenzao sasa katoka na dvd tu chezea komando!
Licha ya kuwa na gadner anaguswa lakini huu wimbo unagusa wengi tu.
mmh sababu siangali nyuma na sitorudi nyuma ndi ndi ndi kumekucha milembe nimekushusha nageti limefungwa naondoka ndindindi ebwanaeeee
Nashukuru mmemaliza bifu lenu, nyie wanaume wadar no sheedaaaar, hata sasa kanyaga twendeNimekupuuza kuliko kiwango nilichowahi kupuuza kiumbe chochote, nimekuibia una cha kuibiwa?!
Huyu Dada sio wa kushuka Leo wala keshooo team DVD Kazi wanayooo .. Huumchezohauhitajihasira teamkuziogaaa[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
warumi binamu huyu mama ni kuwa tu alianza kuimba wakati wengine wamelala usingizi, Lakini mziki hajui
Kachoka umemuona lini? au ndio habari ya kusikia. Wewe ulimuona Gadner lini akisema au kulalamika hovyo kuhusu Jide. Yupo kwenye fani yake ya utangazaji Clouds FM. Wamesha achana mahakamani, kila mtu kala kona yake, ila mmoja wapo bado ajakubaliana na hali halisi.Huyo anayelalamika kupitia muziki.............. 'Huu mchezo hauitaji HASIRA'Hiv unajua choz la kike?,ni la siku baada ya hapo akisahau kasahau ona jide alivyopendeza......gadna ndo kachoka sasa kukimbia mpka e fm kisa ze ndii ndii...hahaaaaaaa
We ulitakaje idumu muda gani kwan? It's normal nyimbo zinapita! Km Sera ya kuachiana vijiti anaihubiri ruge nae awape kijiti E FM! Au mkuki kwa nguruwe! Kwa taarifa yako hii nyimbo itamshusha gadna na jahazi lake! Mmesumbua watu xana, #huu mchezo hautaki hasira#