Lady Jay Dee - Ndi Ndi Ndi (Audio & Video Teaser)

Mbona mimi inagoma kucheza naambia copyright owner ame block any other link please
 
Jide Kiboko kabisa...kumahaja ya petition kuishinikiza mawingu radioo kucheza nyimbo zote bila ubaguzi
 
 
Mkuu kumbe unazijua nyimbo zinazodumu wewe huyu mwanadada namkubali sana huwa anauchuna akitoka na kitu kinakuwa cha ukweli sana sio kama wale wanaotupigia makelele tu
 
Uko powa waipe promo tu, gadna akikaza pale e FM huku ruge km kawaida yake inaweza isifike mbali
Kwani sisi tumeusikia huko kwa hao wachawi?Jide ni balaa usipopigwa kwa radio utapigwa kwa TV
 
Naona Jide anatumia nguvu kubwa sana kurudi. Mbona tu kama angetoa singo ya kueleweka watu wangetambua tu. Oooh naamka tena, nani alisema amelala?
Nguvu kubwa kivipi Mkuu?usije ukalinganisha na kazi yako ya kubeba zege Mkuu?kule ni maufundi na kipaji mkuu
 
Nyimbo haina kichwa wala mguu...eti chizi hua haponi ..sijui mirembe nakushusha....!!?!?!?!?!....ndo umeamka tena haaaa haaaa haaa kazi kweli kweli[emoji15] [emoji15]
Ujuaji ukizidi mwisho huwa fala....................
 
Soko la mziki limebadilika inabidi watu wengi wabadilike ili kwenda sawa na soko ila kwa mwanadada huyu ni tofauti sana. ..soko ndo inabidi libadilike ili liende sawa na yeye. ...ndi ndi ndi. ...bongo ni wasanii wawili wanaoweza kwenda likizo na bado masikio ya washabiki wa music wakawasubiri warudi. ...lady jadee na ally kiba tu. ...yeyote atayethubutu zaidi ya hao basi akienda likizo aende na kufatilia mafao ya pensheni ya music
 


Sasa mshana kasikilize taarabu za mipasho huko hakuna kulia lia huyu jide a.k.a commando kipens tuachie sisi.... Jide hana mambo ya kinafiki anaimba fact zenye uhalisia kuanzia machozi- ndi ndi ndi sio wale watoto wanaimba kama wamarekan kumbe hata baiskel havina
 
Nisaindieni Ndi ndi ndi maana yake nini maana katika wimbo nimependa sauti maana yake halisi zero
 
Kanyimbo kamsweet bana, tatizo ruge akibana na marioo akikaza efm... ndio tutakasahau hivoo...
Sio kanyimbo... sema kawimbo.

BTW inaelekea unapenda sana kwaya, right?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…