Ladies understand your men (Wadada tu, wanaume marufuku)

kweli swahiba, kuomba omba kwa wanawake kunashusha thamani ya penzi. Mwanaume anaewajibika katika hilo bila kuambiwa ndio wa ukweli.
Kama shemeji uporoto...lol. Ntakutafuta baadae unambie ulicopy hii mada afu ukaipestia jf... Ya ukweli sana swahiba.
 
Hus,

Nami nakupa ma uzoefu 2 tu:

Mawasiliano....Kama jamaa ndo bado anafukuzia, anaweza kupiga simu kila baada ya dak 15!...Ukilewa na sifa hiyo...jamaa anatafuna chap chap na kuanza mbele....

Ili kujua kama jamaa kweli ana kufeel na ndio maana anakupigia au kukuttext kila mara inakuwa vigumu hadi akishakata kiu!!

Ubahiri...Kwa jamaa ambaye bado anatafuta, hili unaweza usilione. Siyo kutoa pesa tu, bali hata ahadi zenye thamani zaidi ya yale mapesa ya afande wetu (3tril) unaweza kupewa. Akishachungulia ikuli kama mara 1 hadi 10 hivi, ndio unamjua. Kama ni mtu wa kukaa au mpita njia!

Please, tahadhari za babu ni muhimu sana kuziangalia, tena kwa makini!

babu nakukubali. Nilishakumbana na jamaa kwenye mawasiliano alikuwa njema sana. Kila dakika kama sio simu msg, mpaka mavocha nilikuwa natumiwa ila mengine yote hakuweza kupretend. Nikabwaga hukoooo. Sijui limefia wapi.
 
Hus,

Vitu vingi ulivyovitaja ni vya kweli ila inabidi wajukuu zangu muwe waangalifu...Kuna vitu vingine vina-apply kwa mtu ambaye keshapata dozi ya kutosha. Ukiviangalia kwa mtu anayefukuzia, basi utauvaa mkenge kwa sababu huwa wanatimiza karibia yote hayo ili walau watunukiwe mara moja!

Hus,

Nami nakupa ma uzoefu 2 tu:

Mawasiliano....Kama jamaa ndo bado anafukuzia, anaweza kupiga simu kila baada ya dak 15!...Ukilewa na sifa hiyo...jamaa anatafuna chap chap na kuanza mbele....

Ili kujua kama jamaa kweli ana kufeel na ndio maana anakupigia au kukuttext kila mara inakuwa vigumu hadi akishakata kiu!!

Ubahiri...Kwa jamaa ambaye bado anatafuta, hili unaweza usilione. Siyo kutoa pesa tu, bali hata ahadi zenye thamani zaidi ya yale mapesa ya afande wetu (3tril) unaweza kupewa. Akishachungulia ikuli kama mara 1 hadi 10 hivi, ndio unamjua. Kama ni mtu wa kukaa au mpita njia!

Please, tahadhari za babu ni muhimu sana kuziangalia, tena kwa makini!
Fact!.......
Well done mstaafu.
Halaf hawa wadada tunawasaidia mikakati na mpaka sasa sijapata hata PM moja ya kushukuriwa. Damn!
 
babu nakukubali. Nilishakumbana na jamaa kwenye mawasiliano alikuwa njema sana. Kila dakika kama sio simu msg, mpaka mavocha nilikuwa natumiwa ila mengine yote hakuweza kupretend. Nikabwaga hukoooo. Sijui limefia wapi.

hii ni mawasiliano ya simu. Undani wa mawasiliano unakuja kwenye issues zenyewe, mnapenda kuongelea issue zinazoshabihiana na je mnakubaliana. Kuna njemba ambazo zinajifana mnafafana kwenye interests na discussions, na akakubali kila unachomwambia kabla hujamkubalia tunda au ndio gia ya kutongezea. Akipata ****** hulia mbwata na kuonyesha makucha.

Nionyeshe ullivyo nikupende ulivyo, bottom line mwanaume lazima approvide.
 
Salaam alekum, nimepita tu kusalimia, nipo kwenye biriani la kukata na shoka kwa Hamza Kasongo. Kuna yoyote wa JF hapa nimsalimie? Amuone ff live.

njoo upande wa kushoto nimetilia nguo nyeupe na mtandio wa pink nimebana nywele na hereni za manjano umeniona
 
Mawasiliano:
Mwanaume anaekupenda hawezi kumaliza siku bila kuwasiliana na wewes (kama hakuna external factors zinazosababisha mawasiliano yawe mabovu). Kama wewe ni mtu wa kupiga simu kila siku, kutuma emails lakini mwenzio haoneshi ushirikiano ujue hapo kuna utata.

Huu ni ukweli mtupuuuuu

Ushirikishwaji:
Anaekupenda ni lazima atakushirikisha mambo yake mengi yawe makubwa au madogo. Unaweza shirikishwa kwa namna ya kuombwa ushauri au kupewa taarifa. Kama upo kwenye uhusiano ila unashangaa mambo yanafanyika tu bila kuelewa ujue haupo myoni mwake, haoni kama waweza mshauri la maana na haoni kuna umuhimu wa wewe kujua.

Hapa kidogo ni utata, naomba niseme kwamba unaweza kushirikishwa kwa 100% lakini penzi lake liko pande ingine kabisaaaa......kushirikishwa kwako ni kwa vile anaona kuwa una busara za kumshauri na mara zote umekua ukimpa ushauri unaofaa kuliko kile kipenzi chake cha rohoni lol! Kwahiyo msijidanganye hapa na kujipa moyo kuwa maadamu umeshirikishwa na anaendelea kukushirikisha mambo mengi basi wewe ndio chaguo lake la hashaa!!!


Utambulisho.
Jiangalie kama unatambulika kwa ndugu, rafiki na jamaa zake wa karibu. Kama muda wa kutambulishana rasmi kwa wazazi haujafika, vipi kwa marafiki, wafanyakazi wenzie au makaka na madada!!. Unawafamu marafiki zake wawili wakati anao 30? Utambulisho huwa ni swala gumu kama mwanaume hakupendi na hajivunii kuwa na wewe. mwanaume ambae tayari ana mpenzi mwingine na anatambulika kwa watu wake wa karibu ni mzito kukutambulisha na wewe. inabidi ustuke hapo.

[/QUOTE


Hus mpenzi utatambulishwa hata kwa ukoo mzima lakini ndugu yangu utakuta mawifi,wakwe wanachekeaa pembeni wanajua kuna wa zaidi yako hahahaaaa.......usicheze na wanaume banaaa. Hii nimeiona sana tu kwkweli inatia huruma bora hata ujulikane kwa wachache kuliko kuchoreka aiseee yataka moyo ukishaujua ukweli. Maana kuna wadada wanajitambaga mimi najulikana mpaka kijijni kwao maskini yangu mwisho wa siku anakuja kuolewa mwingine ambae hata mawifi hawamjui. Hawa viumbe hawatabirikiiiiii.

KWA WANAUME:
Haina ubishi kwamba mmekuja kuchungulia, haya semeni kama una date na binti ambae huna mpango wa kumuoa huwa mnabehave vipi? Au kaka zenu na marafiki wanawatreat vipi wapenzi wao wa mpito( najua huwa mnahadithiana. Lol)
Nakaribisha maoni, nyongeza, masahihisho etc. karibuni, jisikieni kama mmeuanza mwaka mpya wa2012, anaetaka vinywaji achukue kwenye jokofu.

Hapa ndio patamu ninapopataka kupasikia.......fungukeni wajameniiiiii tupate darasa hapa.

Samahani nime type fastaaa hapa sijui kama nitakua nimekosea. I'll be back......asante sana Hus uzi mtamu kwelkwel
 
Husninyo,punde tu nimepokea E mail toka kwa Eliza wa Tegeta,kaniambia niikopi na kuipest hivo hivo ilivyo bila kutoa chenga,anasema yeye yuko bize na vekesheni hukooooooo Acapulco. Hivyo kesi ya kupiga chabo hainihusu. Inasomeka hivi:

ANGALIZO
Kupendwa na kuolewa:hivi mtu akikupenda lazima akuoe? Hamuwezi kupendana bila kuoana? strings?conditionality,sikubusu mpaka unifanyie hichi.....,i thought mambo haya yanatakiwa ya flow yenyewe.
Mawasiliano: Yaani hampeani muda wa kupumua kisa mapenzi?mkioana mtaendelea hivo hivo au ndo mwanzo wa kusema 'hunipendi siku hizi' kisa hajajibu sms?
Ushirikishwaji: Huu ndo mwanzo wa kufungwa sasa.Nikushirikishe kwenye mazabe yangu na siku tukikorofishana si utanilipua kwa Kova?
Utambulisho: Anayekupenda ni mimi au ni mama,baba au dada zangu?Ukishawajua ndo muanze umbea na ma sis wangu,'oh wifi afadhali wewe yule Maryam alikuwa ni wa hovyo',inahuu?
Mazingira: Mwenzangu geti kali Masaki mi uswazi choo paspoti saiz nikulete halafu uni dump?lol tutaendelea kukutana steers.
Kunifahamu: Jamani nshakuchojolea,ushaniona unyayo,kabamia hadi utosi,unataka unifahamuje zaidi ya hapo?
Ubahili: yale yaleeeeeeee,pesa sabuni ya roho,sawa bana sisi sakapoko mwaka huu hatuoi,maana hata kazini kwenyewe nauli shughuli.
Ameoa: Si inategemea jamani? labda nina mpango wa kumpiga chini wife nikuoe wewe,au labda dini/kabila inaniruhusu?

Hitimisho: IT IS ALL ABOUT FRICTION,period!
 
Kwa kua umeruhusu tuchungulie basi naogopa ku'share comments ila thread imewakunaje! Wahusika, umewagusa kwenye G-spot! He-he-heeyaa! Oooh-maaama.
 
Huu ni ukweli mtupuuuuu



Hapa kidogo ni utata, naomba niseme kwamba unaweza kushirikishwa kwa 100% lakini penzi lake liko pande ingine kabisaaaa......kushirikishwa kwako ni kwa vile anaona kuwa una busara za kumshauri na mara zote umekua ukimpa ushauri unaofaa kuliko kile kipenzi chake cha rohoni lol! Kwahiyo msijidanganye hapa na kujipa moyo kuwa maadamu umeshirikishwa na anaendelea kukushirikisha mambo mengi basi wewe ndio chaguo lake la hashaa




Hapa ndio patamu ninapopataka kupasikia.......fungukeni wajameniiiiii tupate darasa hapa.

Samahani nime type fastaaa hapa sijui kama nitakua nimekosea. I'll be back......asante sana Hus uzi mtamu kwelkwel
tufungukeje jamani zaidi ya kuwanunulia rav4 na kuwafugulia saluni?
 
Back
Top Bottom