elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,747
Sijaona pm yako mkuu
Sijaona pm yako mkuu
Mmh ni masomo yanayohitaji muda kamili wa kukaa darasaniNapenda kujifunza sayansi ya utambuzi wa mwili ..
Naanzia wapi mkuu mshana
Unaweza ukanipa muongozo ili niweze kujua pa kuanzia
Kuna temple pale Mindu street upanga hapo panafaa kuanzia kama upo Dar, kuna chuo kingine kipo Mombasa na kingine NairobiUnaweza ukanipa muongozo ili niweze kujua pa kuanzia
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Kuna temple pale Mindu street upanga hapo panafaa kuanzia kama upo Dar, kuna chuo kingine kipo Mombasa na kingine Nairobi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana labda hujanipata vema nazungumzia kiroho na kiimani zaidi.... Ile nguvu iliyopo kati ya mtoa laana kwenda kwa mlaaniwa... Kumbuka hapa ni matamshi au maandishi tu.. Rejea mada hii kile kiapo cha laana hiki hapa ... Je mwili unaweza kupokea nguvuhazi hiyo na kuweza kuleta madhara kusudiwa?Yah mwili unaweza kujidhuru kuna hali au ugonjwa humpata mtu na kupelekea kinga ya mwili kushambulia cell za baadhi ya viungo kwa kudhani kuwa ni wavamizi ndani ya mwili
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona Mkuu unachat ukiwa kilingeni.
Back to topic.
Kuna mahali nmesoma kuna MTU alikuwa na uwezo WA kubariki na kulaani na kikawa hivyohivyo.Mfano AKILILAANI TAIFA LINALAANIKA KWELI .
Swali:Je kama MTU kwa haki umemdhurumu,yeye amefaham na hajanung'unika badala yake àkakubariki,Je Nguvu ipi itafanya kaz hapo? ILE YA LAANA (KWASABAB ULIMDHURUMU) AU YA BARAKA (KWASABAB ALIKUTAMKIA BARAKA)??????.
Naomba unisaidie mkuuu
Wapo watakaoogopa hii pic[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..Kuna roho zinaungua moto kuzimu View attachment 695237unajua ni kwanini wameweka picha za watu? Ni kwakuwa roho hazina umbo
Naomba uwe mvumilivu mada yake inakuja soon kuna final touches nafanya naomba nisikuonjeshe hapa ukanogewa kisha nikashindwa kukufikisha kileleni [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wapo watakaoogopa hii pic[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..
Back to reply
Mkuu ipo tafsir gani kutumia fuvu/skull /head's bone /Toxic kama ishara ya nguvu ya Giza?
Maana sijaona ishara mbaya ktk kudhur. Roho iliyoomeshwa kwa mkono au miguu bali fuvu LA kichwa(Fire to death)
(Out topic but nisaidie)
From my true experience:[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ok hapo unagonganisha nguvuroho roho mbili hasi na chanya... Unaleta vita ya kiroho itakayopigawa ndani ya mwili wake.. Nguvu itakayoshinda ndio itamdhuru positively au negatively