Laana: Je mwili unaweza kujidhuru?

Laana: Je mwili unaweza kujidhuru?

Ninachokifahamu kuhusu laana ni physicial power niliwahi kusomaga hapa jf nakumbuka iliandikwa na mtu kama mshana jr yaani ni kwamba laana ni moja kati ya matokeo ya physicial power kama ilivyo kwenye uponyaji wa matatizo, kusoma AURA, astra project nk,. kwa ufupi yote haya utokea baada ya mrango wa imani kufunguka ,,yaani je unaamini kuwa umepewa laana na itakudhuru. na hayafanikiwi haya kama hauna imani na haya mambo,
 
ahsalam aleikum
 
Laana Kubwa kuliko zote ni kumkaa Yesu kua ni Bwana na mwokozi WA Maisha ya mwanadamu
Laana ya pili ni kumwibia Mungu na ukimwibia Mungu kwa kutokutoa zaka Mungu anasema umelaaniwa kwa Laana Malaki 3:8-10
Kuna Laana ya kupatilizwa vizazi Vinne Kutoka 34 Laana hii huondoka pale tuu ukimwamini Yesu
Laana nyingine Huja kwa sababu ya mtu kutenda dhambi Rumi2:9-11
Note that laana usiyo na sababu haimpati mtulivu Mithali 26:2
Chukua hatua.asante
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Laana Kubwa kuliko zote ni kumkaa Yesu kua ni Bwana na mwokozi WA Maisha ya mwanadamu
Laana ya pili ni kumwibia Mungu na ukimwibia Mungu kwa kutokutoa zaka Mungu anasema umelaaniwa kwa Laana Malaki 3:8-10
Kuna Laana ya kupatilizwa vizazi Vinne Kutoka 34 Laana hii huondoka pale tuu ukimwamini Yesu
Laana nyingine Huja kwa sababu ya mtu kutenda dhambi Rumi2:9-11
Note that laana usiyo na sababu haimpati mtulivu Mithali 26:2
Chukua hatua.asante
 
i like this

How Does the Placebo Effect Work?

Research on the placebo effect has focused on the relationship of mind and body. One of the most common theories is that the placebo effect is due to a person's expectations. If a person expects a pill to do something, then it's possible that the body's own chemistry can cause effects similar to what a medication might have caused. The Placebo Effect: What Is It?

LUPUS DEFINITION :
LUPUS is a chronic inflammatory disease that occurs when your body's immune system attacks your own tissues and organs. Inflammation caused by lupus can affect many different body systems — including your joints, skin, kidneys, blood cells, brain, heart and lungs.

Lupus can be difficult to diagnose because its signs and symptoms often mimic those of other ailments. The most distinctive sign of lupus — a facial rash that resembles the wings of a butterfly unfolding across both cheeks — occurs in many but not all cases of lupus.
Some people are born with a tendency toward developing lupus, which may be triggered by infections, certain drugs or even sunlight. While there's no cure for lupus, treatments can help control symptoms. Lupus Definition - Diseases and Conditions - Mayo Clinic
 
inategemea na nin? ukubwa wa laana au
Hapana au ndio
Maana yangu ni kwamba kuna laana ya jumla na kuna laana ya vipengele
. laana ya ngono Tuu
. laana ya pombe Tuu
. laana ya sigara Tuu
. Laana ya pesa tuu nknk
 
Unaposoma sayansi ya utambuzi wa mwili tunaambiwa kuwa mwili unauwezo wa kujikinga na mashambulizi ya kiufahamu na usidhuriwe na nguvu yoyote toka nje ishu ya laana imekuwa na tafiti nyingi zenye majibu tofauti yaliyoacha maswali mengi, baadhi ya maswali hayo ni kama haya,

1.je mwili unaweza kujidhuru?

2. Je kuna nguvu gani kati ya mtoa laana na mlaaniwa?

3.je ukilaaniwa kwa jambo la uongo laana yaweza shika?

4. Je mtu baki anaweza kukulaani na ukalaanika?

5. Je jambo la haki linalaanika?

6. Je kuna nguvu gani katika maneno yatolewayo na mtoa laana?

Maswali ni mengi lakini tunaweza kujadili hayo machache kwanza.
kulingana na imani za kiroho na mijadala ya kijamii, mwili unaweza kujidhuru au kupata madhara kutokana na laana.Hapa kuna namna mwili unavyoathirika kulingana na vyanzo mbalimbali:

Kujidhihirisha Kimwili:
Ingawa laana inaaminika kuanzia katika ulimwengu wa roho, matokeo yake mara nyingi huonekana mwilini kupitia magonjwa yasiyo na maelezo ya kitabibu, udhaifu wa kudumu, au vifo vya ghafla.

Magonjwa na Mauti:
Katika mafundisho ya kidini, laana inaweza kubeba "vifurushi" vya magonjwa na umaskini ambavyo mwanadamu anatembea navyo.

Vizuizi vya Mafanikio:
Laana inatajwa kama nguvu inayoweka vikwazo mwilini na kwenye shughuli za mtu, hali inayomfanya ashindwe kufikia malengo yake hata akijitahidi kiasi gani.

Kurithi Madhara:
Inaaminika kuwa madhara ya laana mwilini yanaweza hata kurithiwa na uzao wa mlaaniwa, yakijidhihirisha kama matatizo ya kudumu ya kifamilia.

Ikiwa unahisi mwili wako unaathirika kwa namna hiyo, watu wengi hushauri kufanya yafuatayo:

Kufanya Maombi au Toba:
Kwa mujibu wa viongozi wa dini, kutubu na kuvunja laana kunaweza kuleta uponyaji mwilini.
Upatanisho:
Ikiwa laana ilitokana na kumkosea mtu (kama mzazi), kuomba msamaha kunaaminika kuondoa mzigo huo mwilini.
Tiba ya Kitalamu:
Ni muhimu pia kuona daktari ili kuhakikisha kuwa hakuna sababu za kibaolojia zinazosababisha mwili kujidhuru.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom