Laana: Je mwili unaweza kujidhuru?

Laana: Je mwili unaweza kujidhuru?

How Does the Placebo Effect Work?

Research on the placebo effect has focused on the relationship of mind and body. One of the most common theories is that the placebo effect is due to a person's expectations. If a person expects a pill to do something, then it's possible that the body's own chemistry can cause effects similar to what a medication might have caused. The Placebo Effect: What Is It?


LUPUS DEFINITION :
LUPUS is a chronic inflammatory disease that occurs when your body's immune system attacks your own tissues and organs. Inflammation caused by lupus can affect many different body systems — including your joints, skin, kidneys, blood cells, brain, heart and lungs.

Lupus can be difficult to diagnose because its signs and symptoms often mimic those of other ailments. The most distinctive sign of lupus — a facial rash that resembles the wings of a butterfly unfolding across both cheeks — occurs in many but not all cases of lupus.
Some people are born with a tendency toward developing lupus, which may be triggered by infections, certain drugs or even sunlight. While there's no cure for lupus, treatments can help control symptoms. Lupus Definition - Diseases and Conditions - Mayo Clinic
Thanks bagamoyo for the needful

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Image684.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza ukae ukijua me ntauita ni uchawi kwamba kuna uchawi wa maneno,uchawi wa vifaa,uchawi wa tendo la ndoa na kadhalika na ukae ukijua kila mtu ni mchawi unaweza ukajikuta umemroga mwenzako bila kujua kutokana na maneno yko mwenyewe ngoja niishie hapa kwa today
I will always remember Mr.Munga Tehnan! R. I. P Munga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My guru may his soul rest in ☮ peace

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliandika kitabu "Uchawi, Jinsi Unavyopatikana na Namna ya Kujikinga " Ni kijitabu kidogo kilicho jaa nadharia zenye uhalisia juu ya uchawi, laana na athari za nguvu hasi. Kwa ujumla vitabu vyake vyote vilikuwa ni semina tupu.
Nisamehe kwa kutoka nje ya mada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
a0010289c2ce7ce233bd1ed22a5bd80e.jpg


Ukweli wenye maana juu ya KITU/KIUMBE huyu aitwae LAANA, umejificha katika sentensi hii...

Kitu/Kiumbe laana, hawezi ku-exist (kufanya kazi yake) ipasavyo ikiwa Mwili ama Nafsi/Roho yako, haijashiriki DHAMBI...

Laana ili iweze kufanya kazi yake vizuri, ni hadi pale muhusika/wahusika (mtoa laana na mpewa laana) watakapo ingia katika mgogoro wa KIIMANI, yaani pande zote mbili kuwe kuna kukoseana HAKI fulani..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kabisa laana ni roho! Laana ni pepo laana ni nguvu(energy) yanye uhai usiokamilika kwa maana ya mwili, lakini vilevile laana ni nguvu hasi yenye uwezo wa kuharibu tu na kuleta matokeo hasi siku zote!

Pili laana haina madhara kwa kitu kisicho uhai ni lazima kuwe na viashiria vya uhai hapo ndipo laana inaweza kufanya Nazi

Tatu laana chanzo asili mwenendo mwendelezo wake na hatimaye matukio yake vinabebwa na lugha au maneno iwe kwa kutamkwa au kwa kuandikwa! Maneno haya au maandishi ndio kibebeo cha hiyo roho/nguvu ya laana

Sasa swali la kwanza Je mwili waweza kujidhuru!?
JIBU ni hapana, mwili una ulinzi binafsi kwenye ulimwengu wa roho na was nyama kichachotokea ni kile kianzilishi cha laana na impact aliyonayo mtoa laana kwa mlaaniwa lakini kwa mazingira fulani

Mzazi kwa mfano ana connection ya moja kwa moja nawewe hivyo roho yake inapoumia na JAMBO LA HAKI roho na mwili havina uwezo wa kuzuia shambulizi lolote toka kwa mzazi

Swali la pili no nguvu aliyonayo mtoa laana kwenda kwa mlaaniwa
Tumeshafahamu kuwa laana ni roho na roho ni uumbaji hivyo uumbaji hauchezewi kwa namna yoyote ile
Kwahiyo linapotokea jambo lenye kuumiza uumbaji halo lazima laana ifanye kazi

Maswali matatu ya mwisho majibu yake hayatofautiani sana na majibu halo juu lakini pia kuna ile perception kwamba mtu aliwazalo ndio huwa kuna baadhi ya laana hutokana na sisi wenyewe na matendo yetu bila hata kulaaniwa na wengine hii ni kwakuwa roho yako mwenyewe inakuwa haikubaliani na matendo yako mwenyewe.....
Ngoja niishie hapa kwanza ili niruhusu maswali na ufafanuzi
Asante sana mshana jr kwa pindi lako..
Naomba kuuliza kama umefanyia mtu kosa ambaye huna connection naye ya aina yoyote then akakuachia laana...je kama roho yako ina nguvu kuliko ya kwake hiyo laana itakupata?
 
Unaposoma sayansi ya utambuzi wa mwili tunaambiwa kuwa mwili unauwezo wa kujikinga na mashambulizi ya kiufahamu na usidhuriwe na nguvu yoyote toka nje ishu ya laana imekuwa na tafiti nyingi zenye majibu tofauti yaliyoacha maswali mengi, baadhi ya maswali hayo ni kama haya,

1.je mwili unaweza kujidhuru?

2. Je kuna nguvu gani kati ya mtoa laana na mlaaniwa?

3.je ukilaaniwa kwa jambo la uongo laana yaweza shika?

4. Je mtu baki anaweza kukulaani na ukalaanika?

5. Je jambo la haki linalaanika?

6. Je kuna nguvu gani katika maneno yatolewayo na mtoa laana?

Maswali ni mengi lakini tunaweza kujadili hayo machache kwanza.
Yah mwili unaweza kujidhuru kuna hali au ugonjwa humpata mtu na kupelekea kinga ya mwili kushambulia cell za baadhi ya viungo kwa kudhani kuwa ni wavamizi ndani ya mwili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom