tikakami wa lopelope
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 1,377
- 674
Ni tarudi baadaye lakini nianze kwa kusema laana ni swala la kiroho si kimwili. Ingawa madhara ya laana yana jimanifest/kujidhihirisha na tukayashudia kimwili na kiroho pia.
Usome kwa kutulia kwanza kisha utakuja na mchango wakoNi tarudi baadaye lakini nianze kwa kusema laana ni swala la kiroho si kimwili. Ingawa madhara ya laana yana jimanifest/kujidhihirisha na tukayashudia kimwili na kiroho pia.
Usome kwa kutulia kwanza kisha utakuja na mchango wako
YAAH THE MAGIC .
Dua la kuku halimpati mweweGud nimekupata...
Hata mimi tajiri mkubwa akinikosea naweza kumuachia laana ya kufilisika na akafilisika
Inakuwaje kwa wale wasio waamini katika Mungu?Asili ya laana ilianzia pale katika bustani ya Eden baada ya nyoka kumdanga Eva/Hawa kula lile tunda na Hawa akamshirikisha Adam wakala wote lile tunda la mti wa katikati ya bustani walilokuwa wamekatazwa na Mungu. Mungu akawalani wote watatu. Laana ikawa ndio adhabu waliyo hukumiwa na Mwenyezi Mungu.
Laana ili impate mtu lazma ipate kibali cha Mwenyezi Mungu. Mungu ndiye alikuwa wa kwanza kutoa hukumu ya laana pale Eden. Laana ni matokeo ya kutenda dhambi. Na adhabu ya dhambi ya weza ikatokea sasa au ikatokea jehanamu kwenye ile hukumu ya mwisho. Ikitokea sasa ni faida kwa muadhibiwa maana aweza kupata fursa ya kutubu. Isipotokea sasa na asipopata fursa ya kutubu hatima ya muhusika ni katika lile ziwa la moto.
Pia iko ile laana ya kuwa chini ya sheria za Mungu na kuikataa neema ya Bwana Yesu ipatikanayo kwa imani na kumkiri kuwa yeye ni Bwana na Mwokozi wa maisha yako.
Inakuwaje kwa wale wasio waamini katika Mungu?
Kuna watu tangu kuzaliwa hawamjui Mungu ni kitu gani hawana imani yoyote.. Hawaamini katika Mungu au miungu... Hawa ndio kundi ninalozungumziaulimwengu wa kiroho uko na unafanya kazi kwa wote wanao mjua na kumamini Mungu na wanao amini katika miungu. Huwezi kulikwepa hilo ama una amini katika Mungu mmoja muweza wa yote au unaamini katika miungu.
Kuna watu tangu kuzaliwa hawamjui Mungu ni kitu gani hawana imani yoyote.. Hawaamini katika Mungu au miungu... Hawa ndio kundi ninalozungumzia
inategemea na nin? ukubwa wa laana auInategemea