Kwenye mapenzi

Kwenye mapenzi

Kama unajiamini kama mimi na unayo pesa , kamwe usiseme kumpata mwanamke mzuri, kunategemea tabia yake

Ukweli ni kwamba hatuna mwanaume anapenda mwanamke m baya wa sura ni ukosefu wa pesa tu bwashee
Kwahiyo sisi sura ya baba tuuwawe?
 
Kama unajiamini kama mimi na unayo pesa , kamwe usiseme kumpata mwanamke mzuri, kunategemea tabia yake

Ukweli ni kwamba hatuna mwanaume anapenda mwanamke m baya wa sura ni ukosefu wa pesa tu bwashee
Ufafafanuzi wa 'mwanamke mbaya' please!
 
Kuwa na demu mbaya ni matumizi mabaya ya nyege
Lazima ubalance.

mwanaume uko na sura personal. Huna hela. Huna ujanja. Huna upekee. Yaan Uko uko tu. Bas lazima utaangukia kwa mwanamke ambaye yuko na hali kama yako ila ww umemzidi kwa unafuu kidogo.

Hii ndio formula.

na mwisho wa siku type ya wanawake wanaokukubalia ndio haswaa unaostahili.

Na ndio maana when you Made progress na ukiwa na kitu cha ziada kuna type ya wanawake wengine watakustahili.
 
Lazima ubalance.

mwanaume uko na sura personal. Huna hela. Huna ujanja. Huna upekee. Yaan Uko uko tu. Bas lazima utaangukia kwa mwanamke ambaye yuko na hali kama yako ila ww umemzidi kwa unafuu kidogo.

Hii ndio formula.

na mwisho wa siku type ya wanawake wanaokukubalia ndio haswaa unaostahili.

Na ndio maana when you Make progress na ukiwa na kitu cha ziada kuna type ya wanawake wengine watakustahili.
Acha kusema ukweli kwa sauti kubwa 🤣🤣
 
Back
Top Bottom