Umewahi kuona kuna Mwanaume ameoa Mbuzi?mwanamke tabia sura hata mbuzi anayo
Lugha gani hii?Finish
Mwanamke akiwa mzurii shepu n.k na akawa na tabia mbaya ni sawa na mbomga nzurii
Iliokosa mafuta na chumvu
FINISH
Tabia ndo fireWakuu je? huku ni kujifariji au ndio uhalisia kusema kwamba mwanamke tabia sura hata mbuzi anayo huu ni uhalisia mwanamke tabia hata ana sura mbaya ila tu akiwa na tabia nzuri ndo mwanamke bora japo hakuna mtu m-baya kwa wote!!
KARIBUNI