Kwenda Club Usiku

Kwenda Club Usiku

Ohoo basi nilichana mkeka mara mbili[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].

Usibet tena achana navyo
Sasa hivi nimepumzika ni mwaka sasa
Zile tatu mzuka, sijui biko bora Nazo
Sikuhizi hazitangazwi, watoto wa kike, kina mama mpaka mabibi walikuwa wanajilipua kucheza, tulikuwa tunatengeneza kizazi hatari sana mbeleni
 
Alafu kuna siku nilikukuta kwenye ule Uzi mamsapu

Nikajisema huyu sakayo mfukunyuku;
Nikapita kimya kimya.
Hizo mambo siwezi fundisha mtu nayemjali
Hahaha hahaha
Watu wa kule wachoyo sana babake! Waligoma kunifundisha kubet!..

Ila ukipata usinisahau mimi!
 
Nami na washukuru sana walivogoma.
Usijali kitacho patikana shambani tutagawana

Ule mzigo mamsapu sijasahau nakumbuka ntautuma siku yeyote nikitoka pori mie
 
Kwa sie tuliobahatika kuupenda muziki na si kwa kuusikiliza tu bali kuucheza pia unatuletea furaha kubwa sana. Halafu kama umewahi kufuatilia watu wakiwa wanacheza muziki hawanuni bali wanatabasamu. Mie huwa siondoki hadi muziki wa mwisho na DJ akiwa anaijua kazi yake vizuri basi saa moja kabla ya kufunga huwapawisha watu kwa kuweka zile nyimbo ambazo ni lazima uzuke kwenye dancing floor. Wazazi waliwahi kuniambia nilianza kupenda muziki katika umri mdogo sana ila sikumbuki kitu mpaka ukiwa ni uko kwenye demu na wazazi pia ni wapenzi sana wa muziki. Hongera kwa kupenda muziki. Achana na hizo za kicongo 😜

Upo kama mm..nikisikia mziki mzuri huwa nakua clear headed balaa san..nadhan hakuna kitu naenjoy km kusikia mziki mzuri...kuna yule mdogo wake John Dilinga jaman ni dj mzuri yuleee...huwa nataman kuondoka saa11🤗...music kwangu ni tiba kuu..except za wakongo..huwa najionea tabu
 
Nami na washukuru sana walivogoma.
Usijali kitacho patikana shambani tutagawana

Ule mzigo mamsapu sijasahau nakumbuka ntautuma siku yeyote nikitoka pori mie
mwenyewe nashukuru sana sababu hawakunifundisha!!

Nakuamini sana kwa upambanaji babake, Mungu anitunzie tuu jamani!

Usijali mwaya, siku ukipata nafasi naamini na ng'ombe wangu atatumwa tuu!
 
Hongera kwa kucheza mbali na kilevi. Kitu kama hukipendi si vizuri kujilazimisha. Kama una kitu ukipendacho kufanya during your leisure time ni kipi?

Hata wine ilishanishinda,hongera kwa kutokuingia kwenye uvutaji sigara. Mtu akiwa addicted ni ngumu kutoka.
 
Kwa sie tuliobahatika kuupenda muziki na si kwa kuusikiliza tu bali kuucheza pia unatuletea furaha kubwa sana. Halafu kama umewahi kufuatilia watu wakiwa wanacheza muziki hawanuni bali wanatabasamu. Mie huwa siondoki hadi muziki wa mwisho na DJ akiwa anaijua kazi yake vizuri basi saa moja kabla ya kufunga huwapawisha watu kwa kuweka zile nyimbo ambazo ni lazima uzuke kwenye dancing floor. Wazazi waliwahi kuniambia nilianza kupenda muziki katika umri mdogo sana ila sikumbuki kitu mpaka ukiwa ni uko kwenye demu na wazazi pia ni wapenzi sana wa muziki. Hongera kwa kupenda muziki. Achana na hizo za kicongo 😜

Bora nimepata mtu anayeelewa nn maana ya kusikiliza muziki na kuucheza...!mm sitaacha...aku...!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
mwenyewe nashukuru sana sababu hawakunifundisha!!

Nakuamini sana kwa upambanaji babake, Mungu anitunzie tuu jamani!

Usijali mwaya, siku ukipata nafasi naamini na ng'ombe wangu atatumwa tuu!
hahaha hivi serious unataka ng'ombe kweli mamsapu. utamuweka wapi sasa lakini.
Afu mi sitaniagi navyiongea na wewe huwa
naamisha. na uzuri unalijua hilo mamasapu
 
Hahaha hahaha hahaha
Hivi ulivyosema ati ling'ombe la besidei ulikuwa watania eehhh....

Babake, huwa najua upo serious mpaka naogopa!
 
Ntaanzaje kukutania; jinsi ya kukufikishia na sehemu ya kuhifadhia najua hauna mamsapu.
Ila ipo siku ntakushika mkono twende mpaka mbwewe umchukue( hii ni kweli na deni lako) unalo nidai.

Unajua umenifanya nicheke peke yangu iyo sentesi ya mwisho ulivyoimalizia.
 
Jamani babake!
Ukuje unichukue tuu nimuone ng'ombe wangu!

Usicheke babake, uko serious aki mpaka naogopa!
 
Siku ukirudi ubondeini fanya kuniita.
Tutaenda maana hapatakuwa na umbali huo

haha inatokana na ile siku ya kwanza tulipokutana; tulikuwa tukipiga story za kina mtanga lakini ndo nikawa nafunguka kiukweli ukweli. Matani aki sehemu nyingine ila sio kwako
 
Nikisogea huko nitakujulisha babake!..

Sijajua kwa nini upo serious hivyo jamani babake!
 
Mimi yote nafanya ila club imenishinda,mpaka sasa nimeenda club kama mara 5 ila hua naondoka kabla ya mda na sasa staki kutia mguu huko ata uniambie amekuja msanii gani..sijawai enjoy zaidi ya kero za makelele ya yale maspika!
 
Kwa kweli mkuu[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom