Kweli hakuna mwanaume bahili akipenda kweli

Kweli hakuna mwanaume bahili akipenda kweli

Sio kwa bongo, hio ina apply msemo ulipotokea tu! Wengine wanadai keki za besdei kama pumzi hapa hapa jukwaani [emoji23][emoji23][emoji23]!!! Bongo mapenzi ni hela yako tu...vinginevyo utaishia kutubu tu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Miaka 22 mpaka 27 kwa mwanamke ndio miaka ya 'kuchakatwa'(Zero IQ).

At the late 27 and early 28...hapo sasa anakuwa alishachoka na akili zinaanza kurudi.

Watupia nyavu na waoaji sasa ndo huja hapa.

Na muda huo asipoutumia atakuja kuufidia tu ndani ya ndoa.

So mshikaji nae anachakata tu...ni vizuri. Ila anaonekana anapigwa hela kinoma. Wakati kiukweli sio mke wake huyoo.
Dah [emoji3]..yani na conclusion ushaweka mkuu, kwamba huyu sio mke wangu[emoji41]
 
Umesema ukweli umri wa kuolewa ni miaka hiyo.
At least msichana anakuwa ameshajua maisha ya kitaa.
Anajua nyama robo ikiongezewa na mchicha fungu moja inatosha kula familia nzima.
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna wanaokomaa mapema wale walioanza vurugu mechi at their early teens 13-14 hawa hadi kufikia 24 unakuta ameshakuwa kiakili na ni binti anayejitambua anaeafaa kuwa mke na unaoa bila shida.

Shughuli ipo kwa hao ambao ameanza kupigwa rungu on her late teens hapo 18-19 hawa ndio huwa vichaa haswa yani kutulia kwake ndio huko 27! Mbaya zaidi kama alikuwa mtu wa kuchungwa chungwa na wazazi.

Ukiangalia kwa makini utaona kuwa wanawake wengi kujitambua kwao inawachukua roughly 8-10 years toka alipoanza kupigwa miti. Hii ni in exception kwa wale wanaobahatika kuolewa wakiwa bikra.
Analysis nzuri sana hii.
 
Habari zenu wakuu,

Zamani nilikuwa nashangaa sana kuona mwanaume mwenzangu anahonga gari, nyumba, ticket ya flight kumpeleka mwanamke vacation kwenye nchi ya chaguo lake, ila now I know the motive behind. TRUE LOVE.

Iko hivi, ukipenda hakuna kitu mpenzi wako atakwambia usimtendee. Baada ya kuishi miaka takribani 15 ya uzinzi 'mtambuka', nimejikuta nimenasa kwa kabinti kadogo sana ka miaka 22!! Nimekutana nako recently, baada ya kukafanyia thorough assessment nikagundua kana sifa zote za mke

Nimejikuta nakafanyia mambo ambayo sikuwaza nitakuja kumfanyia mwanamke! Love is a beautiful thing. Nafanya hadi vitu ambavyo baada ya kuvifanya najishangaa mwenyewe! Hela natoa bila kuombwa. Juzi nikajikuta naitembelea 'phonebook' yangu na kuanza kufuta namba za wapenzi wangu wa zamani! Msukumo wa ndani ndiyo unanishawishi kuyafanya haya.

Ukiona unatumia nguvu ya ziada kuomba au kufanyiwa kitu na mwanaume wako ujue hapo sio mahali pako, kuna tatizo mahali. Kimbia. Mwanaume anayekupenda ataifanya furaha yako iwe kipaumbele chake.

Guys, I am in love. Simu napiga hadi najishangaa. Text ndiyo usiseme. Nazidi kumuomba Mungu huyu binti asibadilike ili aje kuwa mama wanangu panapo majaliwa. Mniombee pia wakuu (ingawa hatufahamiani).

Msamiati 'uzinzi mtambuka' ni umalaya usio na staha wala mipaka (kwa tafsiri isiyo rasmi sana).

Nawatakia jioni njema. Mapovu ruksa.
Kwisha habari yako.....22yrs?mtaachana tu..yakipinduka,tuhadithie pia
 
Mkuu wasikukatishe tamaa, mimi mwenyewe mpenzi wangu ana miaka 20 lakini kakomaa sana kiakili, utafikiri yuko 'earlier 30'

Hawa wanawake 28+ wengi aidha single mothers au wametumika sana. Not Recommended
Kongole mkuu. Hiki ndicho ninachokimaanisha. Watu wengi hawafahamu kwamba wakati mwingine umri siyo kigezo kabisa.
 
Habari zenu wakuu,

Zamani nilikuwa nashangaa sana kuona mwanaume mwenzangu anahonga gari, nyumba, ticket ya flight kumpeleka mwanamke vacation kwenye nchi ya chaguo lake, ila now I know the motive behind. TRUE LOVE.

Iko hivi, ukipenda hakuna kitu mpenzi wako atakwambia usimtendee. Baada ya kuishi miaka takribani 15 ya uzinzi 'mtambuka', nimejikuta nimenasa kwa kabinti kadogo sana ka miaka 22!! Nimekutana nako recently, baada ya kukafanyia thorough assessment nikagundua kana sifa zote za mke

Nimejikuta nakafanyia mambo ambayo sikuwaza nitakuja kumfanyia mwanamke! Love is a beautiful thing. Nafanya hadi vitu ambavyo baada ya kuvifanya najishangaa mwenyewe! Hela natoa bila kuombwa. Juzi nikajikuta naitembelea 'phonebook' yangu na kuanza kufuta namba za wapenzi wangu wa zamani! Msukumo wa ndani ndiyo unanishawishi kuyafanya haya.

Ukiona unatumia nguvu ya ziada kuomba au kufanyiwa kitu na mwanaume wako ujue hapo sio mahali pako, kuna tatizo mahali. Kimbia. Mwanaume anayekupenda ataifanya furaha yako iwe kipaumbele chake.

Guys, I am in love. Simu napiga hadi najishangaa. Text ndiyo usiseme. Nazidi kumuomba Mungu huyu binti asibadilike ili aje kuwa mama wanangu panapo majaliwa. Mniombee pia wakuu (ingawa hatufahamiani).

Msamiati 'uzinzi mtambuka' ni umalaya usio na staha wala mipaka (kwa tafsiri isiyo rasmi sana).

Nawatakia jioni njema. Mapovu ruksa.
Ukiona hivo ujue ushachotwa mchanga.

Bora hata ungemkuta bikra.
 
Ya fundi tiles yatakukuta tu. Naye alisimulia kama wewe akaishia kutaka kuruka juu ya ghorofa ajiue. Upe moyo wako subira na uvumilivu yatakayojiri. Kiumbe mwanamke ni hatari tena futa hiyo mihamala itakuletea machungu

Hibernating.........
[emoji3][emoji3][emoji3] dah..nacheka ila nagopa.
 
Miaka 22???[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nasema utaliaaa tuuu hakunaa namnaa...afu ulivyofalaa unafutaa namba za mademu wengine as if huyo ni mkeoo... Utapigwaa uchakaee
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hata nature na sinta walianza hivihivi kabka sitaki demu
Bow bow na ciara na hivi hivi kabla ya like a man
Nakuombea kila la kheri mkuu, ila najua akili bado umebaki nazo
Ukipata muda msikilize deceased roho 7, Waite polisi
Ila maisha ndo hayahaya enjoy the happiness
Pamoja sana mkuu [emoji120]
 
Back
Top Bottom