Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,701
- 96,688
HahahahaHayo ya sasa wewe hayakuhusu.
Muhimu ulimuacha bint wa watu akaishi maisha yake.
HahahahaHayo ya sasa wewe hayakuhusu.
Muhimu ulimuacha bint wa watu akaishi maisha yake.
Umesema ukweli umri wa kuolewa ni miaka hiyo.Miaka 22 mpaka 27 kwa mwanamke ndio miaka ya 'kuchakatwa'(Zero IQ).
At the late 27 and early 28...hapo sasa anakuwa alishachoka na akili zinaanza kurudi.
Watupia nyavu na waoaji sasa ndo huja hapa.
Na muda huo asipoutumia atakuja kuufidia tu ndani ya ndoa.
So mshikaji nae anachakata tu...ni vizuri. Ila anaonekana anapigwa hela kinoma. Wakati kiukweli sio mke wake huyoo.
Hahahaha, nilikua namuandaa awe wife, kumbe nilikua nawaza mbali sanaUmesema ukweli umri wa kuolewa ni miaka hiyo.
At least msichana anakuwa ameshajua maisha ya kitaa.
Anajua nyama robo ikiongezewa na mchicha fungu moja inatosha kula familia nzima.
Hahahaha, si kweli ,umewaza tofautiWewe inaonyesha ndo mtanzania halisi kabisa.
Mtu akikutaa au kukuacha unaombea maisha yampige upate cha kusemea.
Mungu si mtu chake bana.
Halafu mm sio mtanzania halisi banaWewe inaonyesha ndo mtanzania halisi kabisa.
Mtu akikutaa au kukuacha unaombea maisha yampige upate cha kusemea.
Mungu si mtu chake bana.
Umuandae wife wewe ulijiandaa kuwa mume?Hahahaha, nilikua namuandaa awe wife, kumbe nilikua nawaza mbali sana
Yes, hapo Walugaluga kama sisi hata salamu kupata ni kwa shida. 😅 😅Anaita kila akipita
Hahahaha, kiherehere bana ,mm niliona mrembo mkali sifa zote anazo kwann nisijitose ?Umuandae wife wewe ulijiandaa kuwa mume?
Na alikuambia anahitaji aolewe na wewe?
Au kiheherehere chako?
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] By the way nayeye anaanzaje kukukataa mwanaume kama wewe bwana bonge la bwana.
Kuna watu wanaishi na kuvimba mjini kupitia wewe.
Hahahaha, tunabaki kula kwa machoYes, hapo Walugaluga kama sisi hata salamu kupata ni kwa shida. [emoji28] [emoji28]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Basi ulizidiwa na wenzako.Hahahaha, kiherehere bana ,mm niliona mrembo mkali sifa zote anazo kwann nisijitose ?
Hkn anayeishi mjini kupitia mm ,wala cha ubonge wa bwana
Hahahaha ,ila yule binti hapana, Nina zawadi yake ,iko siku nitamtafuta nimpe ,niridhike[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Basi ulizidiwa na wenzako.
Kuna mkaka mmoja nae huwa nasema kama wewe bla bla nilikupenda bla bla.
Wakati muongo tu alikuwa na tunawanawake kibao wengine walikuwa na HIV cases.
Siku moja nimeenda kwake kushinda na pengine ningezindua penzi rasmi siku ile kwa kuwa nilimshtukiza hakujua alikuwa na appointment na mdada mwingine si unajua tena mambo ya baby baby kushika simu kujiachia.
Kumbe mdada keshafika mtaa wa pili anatafuta nyumba ya jamaa.
Jamaa simu hapokei.
Siku walimalizana vipi na mtu wake lakini kwangu ikawa imeisha hiyo.
Kuna wanaokomaa mapema wale walioanza vurugu mechi at their early teens 13-14 hawa hadi kufikia 24 unakuta ameshakuwa kiakili na ni binti anayejitambua anaeafaa kuwa mke na unaoa bila shida.Miaka 22 mpaka 27 kwa mwanamke ndio miaka ya 'kuchakatwa'(Zero IQ).
At the late 27 and early 28...hapo sasa anakuwa alishachoka na akili zinaanza kurudi.
Watupia nyavu na waoaji sasa ndo huja hapa.
Na muda huo asipoutumia atakuja kuufidia tu ndani ya ndoa.
So mshikaji nae anachakata tu...ni vizuri. Ila anaonekana anapigwa hela kinoma. Wakati kiukweli sio mke wake huyoo.
Kwa jinsi navyomkubali, kutoswa kawaida wewe ,umri huu niogope kutoswa? Nampa zawadi kwa heshima yangu kwake[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Zawadi kwa ajili ya kukutosa au?
Hahahaha,wewe nawe unataka lolUkimpa zawadi na mie usinisahau zawadi [emoji1787][emoji1787]
Sasa hao wenye HIV cases hali yao ikoje mpk sasa ? Na usikute jamaa hakuwala wala nn ila shobo zao tu[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Basi ulizidiwa na wenzako.
Kuna mkaka mmoja nae huwa nasema kama wewe bla bla nilikupenda bla bla.
Wakati muongo tu alikuwa na tunawanawake kibao wengine walikuwa na HIV cases.
Siku moja nimeenda kwake kushinda na pengine ningezindua penzi rasmi siku ile kwa kuwa nilimshtukiza hakujua alikuwa na appointment na mdada mwingine si unajua tena mambo ya baby baby kushika simu kujiachia.
Kumbe mdada keshafika mtaa wa pili anatafuta nyumba ya jamaa.
Jamaa simu hapokei.
Siku walimalizana vipi na mtu wake lakini kwangu ikawa imeisha hiyo.
Hahahaha[emoji1787] Ndiyo
Mkuu wasikukatishe tamaa, mimi mwenyewe mpenzi wangu ana miaka 20 lakini kakomaa sana kiakili, utafikiri yuko 'earlier 30'Habari zenu wakuu,
Zamani nilikuwa nashangaa sana kuona mwanaume mwenzangu anahonga gari, nyumba, ticket ya flight kumpeleka mwanamke vacation kwenye nchi ya chaguo lake, ila now I know the motive behind. TRUE LOVE.
Iko hivi, ukipenda hakuna kitu mpenzi wako atakwambia usimtendee. Baada ya kuishi miaka takribani 15 ya uzinzi 'mtambuka', nimejikuta nimenasa kwa kabinti kadogo sana ka miaka 22!! Nimekutana nako recently, baada ya kukafanyia thorough assessment nikagundua kana sifa zote za mke
Nimejikuta nakafanyia mambo ambayo sikuwaza nitakuja kumfanyia mwanamke! Love is a beautiful thing. Nafanya hadi vitu ambavyo baada ya kuvifanya najishangaa mwenyewe! Hela natoa bila kuombwa. Juzi nikajikuta naitembelea 'phonebook' yangu
Kuna wengine watasema umelogwa mkuu..hongera sana🥂Habari zenu wakuu,
Zamani nilikuwa nashangaa sana kuona mwanaume mwenzangu anahonga gari, nyumba, ticket ya flight kumpeleka mwanamke vacation kwenye nchi ya chaguo lake, ila now I know the motive behind. TRUE LOVE.
Iko hivi, ukipenda hakuna kitu mpenzi wako atakwambia usimtendee. Baada ya kuishi miaka takribani 15 ya uzinzi 'mtambuka', nimejikuta nimenasa kwa kabinti kadogo sana ka miaka 22!! Nimekutana nako recently, baada ya kukafanyia thorough assessment nikagundua kana sifa zote za mke
Nimejikuta nakafanyia mambo ambayo sikuwaza nitakuja kumfanyia mwanamke! Love is a beautiful thing. Nafanya hadi vitu ambavyo baada ya kuvifanya najishangaa mwenyewe! Hela natoa bila kuombwa. Juzi nikajikuta naitembelea 'phonebook' yangu na kuanza kufuta namba za wapenzi wangu wa zamani! Msukumo wa ndani ndiyo unanishawishi kuyafanya haya.
Ukiona unatumia nguvu ya ziada kuomba au kufanyiwa kitu na mwanaume wako ujue hapo sio mahali pako, kuna tatizo mahali. Kimbia. Mwanaume anayekupenda ataifanya furaha yako iwe kipaumbele chake.
Guys, I am in love. Simu napiga hadi najishangaa. Text ndiyo usiseme. Nazidi kumuomba Mungu huyu binti asibadilike ili aje kuwa mama wanangu panapo majaliwa. Mniombee pia wakuu (ingawa hatufahamiani).
Msamiati 'uzinzi mtambuka' ni umalaya usio na staha wala mipaka (kwa tafsiri isiyo rasmi sana).
Nawatakia jioni njema. Mapovu ruksa.
😘😘😘😘😘😘Sikukatishi tamaa ila kwa hio age ya huyo binti bado hajafikia stage ya kujua nini hasa anahitaji katika maisha yake na mwanaume anayemtaka. She is still finding herself.
Jiandae kisaikolojia tu maana uwezekano wa kuachwa na simanzi ni 89% especially kama ndio yupo chuo now. Wengi hubadilikaga tabia wakifika 3rd year.
Naliongea hili kama Relationship Enthusiast. Mwanamke wa kumkabidhi moyo ni wa kuanzia age ya 24 and above. Most likely wanakuwa wameshajua ni kitu gani wanachotaka katika maisha.