Kweli hakuna mwanaume bahili akipenda kweli

I assure u kwamba kama ni mrejesho basi utakuwa mrejesho chanya.
Wala usitishike Sana.Wengine tulianza pendwa na umri huo huo nkiwa chuo na bado huyo huyo ndo alokuja kunioa.Kama alivokushauri member mmoja hapo jina lake refu kidogo.Fata huo ushauri kama ni wako kweli atakua wako forever.Mshirikishe Mungu pia.
 
Guys, I am in love. Simu napiga hadi najishangaa. Text ndiyo usiseme. Nazidi kumuomba Mungu huyu binti asibadilike ili aje kuwa mama wanangu panapo majaliwa. Mniombee pia wakuu (ingawa hatufahamiani).
Dah! Mungu akutangulie uachane na Uzinzi mtambuka hivi kiingereza chake ndio nini? Crosscutting adultery? Back tu ze topiki, Kumbuka, Kumbuka, Kumbuka, People change, People do change, People change Mpwa.....bai ngoja niishie hapa hapa but for the time being...enjoy to the fullest usiache hata punje you never know what tomorrow may bring.
 
Nashukuru sana [emoji120]
 
Ushauri wa namna hii unatia moyo sana. Aksante mpwa [emoji120].
 
Habari zenu wakuu,

Zamani nilikuwa nashangaa sana kuona mwanaume mwenzangu anahonga gari, nyumba, ticket ya flight kumpeleka mwanamke vacation kwenye nchi ya chaguo lake, ila now I know the motive behind. TRUE LOVE.

Iko hivi, ukipenda hakuna kitu mpenzi wako atakwambia usimtendee. Baada ya kuishi miaka takribani 15 ya uzinzi 'mtambuka', nimejikuta nimenasa kwa kabinti kadogo sana ka miaka 22!! Nimekutana nako recently, baada ya kukafanyia thorough assessment nikagundua kana sifa zote za mke

Nimejikuta nakafanyia mambo ambayo sikuwaza nitakuja kumfanyia mwanamke! Love is a beautiful thing. Nafanya hadi vitu ambavyo baada ya kuvifanya najishangaa mwenyewe! Hela natoa bila kuombwa. Juzi nikajikuta naitembelea 'phonebook' yangu na kuanza kufuta namba za wapenzi wangu wa zamani! Msukumo wa ndani ndiyo unanishawishi kuyafanya haya.

Ukiona unatumia nguvu ya ziada kuomba au kufanyiwa kitu na mwanaume wako ujue hapo sio mahali pako, kuna tatizo mahali. Kimbia. Mwanaume anayekupenda ataifanya furaha yako iwe kipaumbele chake.

Guys, I am in love. Simu napiga hadi najishangaa. Text ndiyo usiseme. Nazidi kumuomba Mungu huyu binti asibadilike ili aje kuwa mama wanangu panapo majaliwa. Mniombee pia wakuu (ingawa hatufahamiani).

Msamiati 'uzinzi mtambuka' ni umalaya usio na staha wala mipaka (kwa tafsiri isiyo rasmi sana).

Nawatakia jioni njema. Mapovu ruksa.
Kwa upande wako tayari umeeleweka
Bado upande wake, uombe aeleweke.
 
Sikukatishi tamaa ila kwa hio age ya huyo binti bado hajafikia stage ya kujua nini hasa anahitaji katika maisha yake na mwanaume anayemtaka. She is still finding herself.

Jiandae kisaikolojia tu maana uwezekano wa kuachwa na simanzi ni 89% especially kama ndio yupo chuo now. Wengi hubadilikaga tabia wakifika 3rd year.

Naliongea hili kama Relationship Enthusiast. Mwanamke wa kumkabidhi moyo ni wa kuanzia age ya 24 and above. Most likely wanakuwa wameshajua ni kitu gani wanachotaka katika maisha.
Mkuu vipi kumpa mimba inasaidia kidogo? Hahahaha nipo kwneye the same situation nawaza nifanyaje hadi nimefikia kwenye mimba
 
Ukimpa mimba unakuwa umempiga tie tu ila the rest inabakia kwenye probability, anaweza asikusumbue maana anakuwa ni mzazi tayari or else akakusumbua pia incase wewe sio aina ya mwanaume aliyetarajia kuolewa nae.

That will come after the time penzi limekomaa sasa when nothing is special btn both of you!

Kuna demu tulipiga nae chuo, yeye alirubuniwa na mwalimu wake wa form 6 akazaa nae baada tu ya kumaliza secondary. Yule manz alikuja kuwa na stress sana katika kipindi yupo chuo wazee wa Te Amo wakawa wanajipigia tu.
 
Habari zenu wakuu,

Zamani nilikuwa nashangaa sana kuona mwanaume mwenzangu anahonga gari, nyumba, ticket ya flight kumpeleka mwanamke vacation kwenye nchi ya chaguo lake, ila now I know the motive behind. TRUE LOVE.

Iko hivi, ukipenda hakuna kitu mpenzi wako atakwambia usimtendee. Baada ya kuishi miaka takribani 15 ya uzinzi 'mtambuka', nimejikuta nimenasa kwa kabinti kadogo sana ka miaka 22!! Nimekutana nako recently, baada ya kukafanyia thorough assessment nikagundua kana sifa zote za mke

Nimejikuta nakafanyia mambo ambayo sikuwaza nitakuja kumfanyia mwanamke! Love is a beautiful thing. Nafanya hadi vitu ambavyo baada ya kuvifanya najishangaa mwenyewe! Hela natoa bila kuombwa. Juzi nikajikuta naitembelea 'phonebook' yangu na kuanza kufuta namba za wapenzi wangu wa zamani! Msukumo wa ndani ndiyo unanishawishi kuyafanya haya.

Ukiona unatumia nguvu ya ziada kuomba au kufanyiwa kitu na mwanaume wako ujue hapo sio mahali pako, kuna tatizo mahali. Kimbia. Mwanaume anayekupenda ataifanya furaha yako iwe kipaumbele chake.

Guys, I am in love. Simu napiga hadi najishangaa. Text ndiyo usiseme. Nazidi kumuomba Mungu huyu binti asibadilike ili aje kuwa mama wanangu panapo majaliwa. Mniombee pia wakuu (ingawa hatufahamiani).

Msamiati 'uzinzi mtambuka' ni umalaya usio na staha wala mipaka (kwa tafsiri isiyo rasmi sana).

Nawatakia jioni njema. Mapovu ruksa.
Wish you the best mkuu,love is a best thing,hakuna upendo bila kutoa,kama unavyosema ukipenda hautaombwa, ww mwenyewe tuu utafeel kufanya vitu vzr kwa yule umpendae.Keep it up bro!! Mungu awabariki uje kumuoa.
 
Back
Top Bottom