komanyahenry
JF-Expert Member
- Sep 15, 2017
- 907
- 1,372
Bro inawezekana ushalishwa limbwata, chizi huwa hajijua kama yeye ni chizi huwa anajiona yupo normal
Basi najiandaa B'Day ya mwakani. Naanza kula vichwa hapa town kuanzia sasa hivi, kufikia hiyo tarehe nitakuwa fresh; deal? 😅😅🤣🤣🤣 Ndio nimeshamwaga sasa
[emoji134][emoji134][emoji134] mwakani kote huko.. kama vipi tuirudie mwezi huu huuBasi najiandaa B'Day ya mwakani. Naanza kula vichwa hapa town kuanzia sasa hivi, kufikia hiyo tarehe nitakuwa fresh; deal? [emoji28][emoji28]
Mkuu utakuja kulia sana siku moja. Mark my words. Usipende 100% bakiza asilimia kidogo utakuja kulia Kama mbwa koko. Huyo unayempenda hata ukoko wa mbunye hajajua kuusafishaKwa huyu binti ni kweli sina akili mkuu [emoji2]. Sawa mimi ni kenge [emoji23].
Poa, deal tayari hapa. Yule tapeli mwingine asiione hii akaanza kumwaga upupu wake. 😅[emoji134][emoji134][emoji134] mwakani kote huko.. kama vipi tuirudie mwezi huu huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru sana mkuu. Blessings!Wish you the best mkuu,love is a best thing,hakuna upendo bila kutoa,kama unavyosema ukipenda hautaombwa, ww mwenyewe tuu utafeel kufanya vitu vzr kwa yule umpendae.Keep it up bro!! Mungu awabariki uje kumuoa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Last time nilikuwa in love ni 2015 five years from there ni "uzinzi mtambuka"[emoji3]
Daaah mapenzi haya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa time will tell mkuu. Ila asante kwa kunitahadharisha.Mkuu utakuja kulia sana siku moja. Mark my words. Usipende 100% bakiza asilimia kidogo utakuja kulia Kama mbwa koko. Huyo unayempenda hata ukoko wa mbunye hajajua kuusafisha
[emoji3][emoji3][emoji3]Kaka hapo ujiandae,.tu Mana yakitokea ndivyo sivyo Basi ukae mbali na kamba au panga
Niko mbioni...
Hakuna limbwata mkuu. Ni mapenzi ya kweli tu.Bro inawezekana ushalishwa limbwata, chizi huwa hajijua kama yeye ni chizi huwa anajiona yupo normal
Isiwe fake tu hii ahadi[emoji16][emoji16]Basi najiandaa B'Day ya mwakani. Naanza kula vichwa hapa town kuanzia sasa hivi, kufikia hiyo tarehe nitakuwa fresh; deal? [emoji28][emoji28]
We nae, ushaanza. 😅 😅... Nipe location nije hapo saa hii.
Hahahahaha!! Mnanichekesha ninyi, kwann hamjiamini kiasi hicho!! na hamuwaamini wanawake kiasi hicho!! Trust me niwaambie ukweli, bado wapo wanawake wakweli, wenye mapenzi ya kweli nawanaojua kupenda, waaminifu na walio serious na mahusiano,tusikariri, yamkini yy kabahatika kumpata wa hivyo na yy kaona awe mkweli kwa mpenzi wake na ikiwa hivyo im telling you mahusiano yanakuwa kama mpo paradiso yaani raha sn.Niko mbioni...
Ni kweli mkuu shukrani kwa ushauri sema tu kukaa mguu ndani mguu nje muhimu sana...Ukimpa mimba unakuwa umempiga tie tu ila the rest inabakia kwenye probability, anaweza asikusumbue maana anakuwa ni mzazi tayari or else akakusumbua pia incase wewe sio aina ya mwanaume aliyetarajia kuolewa nae.
That will come after the time penzi limekomaa sasa when nothing is special btn both of you!
Kuna demu tulipiga nae chuo, yeye alirubuniwa na mwalimu wake wa form 6 akazaa nae baada tu ya kumaliza secondary. Yule manz alikuja kuwa na stress sana katika kipindi yupo chuo wazee wa Te Amo wakawa wanajipigia tu.