Kweli hakuna mwanaume bahili akipenda kweli

Amicus Curiae

JF-Expert Member
Sep 12, 2012
4,809
6,342
Habari zenu wakuu,

Zamani nilikuwa nashangaa sana kuona mwanaume mwenzangu anahonga gari, nyumba, ticket ya flight kumpeleka mwanamke vacation kwenye nchi ya chaguo lake, ila now I know the motive behind. TRUE LOVE.

Iko hivi, ukipenda hakuna kitu mpenzi wako atakwambia usimtendee. Baada ya kuishi miaka takribani 15 ya uzinzi 'mtambuka', nimejikuta nimenasa kwa kabinti kadogo sana ka miaka 22!! Nimekutana nako recently, baada ya kukafanyia thorough assessment nikagundua kana sifa zote za mke

Nimejikuta nakafanyia mambo ambayo sikuwaza nitakuja kumfanyia mwanamke! Love is a beautiful thing. Nafanya hadi vitu ambavyo baada ya kuvifanya najishangaa mwenyewe! Hela natoa bila kuombwa. Juzi nikajikuta naitembelea 'phonebook' yangu na kuanza kufuta namba za wapenzi wangu wa zamani! Msukumo wa ndani ndiyo unanishawishi kuyafanya haya.

Ukiona unatumia nguvu ya ziada kuomba au kufanyiwa kitu na mwanaume wako ujue hapo sio mahali pako, kuna tatizo mahali. Kimbia. Mwanaume anayekupenda ataifanya furaha yako iwe kipaumbele chake.

Guys, I am in love. Simu napiga hadi najishangaa. Text ndiyo usiseme. Nazidi kumuomba Mungu huyu binti asibadilike ili aje kuwa mama wanangu panapo majaliwa. Mniombee pia wakuu (ingawa hatufahamiani).

Msamiati 'uzinzi mtambuka' ni umalaya usio na staha wala mipaka (kwa tafsiri isiyo rasmi sana).

Nawatakia jioni njema. Mapovu ruksa.
 
Kwani mpaka niseme eti 'baby nimemiss kukutembelea'? Utanikuta tu niko mlangoni

Sent using Jamii Forums mobile app
Ewaaa na hiyo ndo nguvu ya 'Kupiga muwa'na Pesa (Huduma kwa ujumla wake).


Baada ya Kuushinda moyo wake, mpige muwa kisawasawa yaan mpige mpige muwaa mpaka wanaume wengine anawaona mawifi zake., Mpige muwaaaa piga muwaa mpaka akikaaa ajipepe, piga muwaa kiasi kwamba kila akibanwa nyegee, mwanaume pekee anayemwijia kichwan ni wewe, piga muwaaa kiasi kwamba umpe sababu ya nyege kila akikuwazia....

Malizia kumwagia Pesa/Huduma sawasawa na mahitaji yake na uwezo wako.Mjali , sio lazima akuombe, siku nyingine mfanyie kwa kushitukiza, sio lazima umpe wakat anekuletea mzigo, mpe hata kabla hajaja, mpe baada ya kuondoka.
Kiukweli, Pesa pesa hatuwezi kuitenganisha na mwanamke.
Shida nikua, watu wanataka mpaka wawe kama akina Dangote ndo wawahudumie wapenzi wao.


Iyo ndio Limbwata ya Mwanaume kumuelekea mwanamke.....

Utapewa Mzigooo mpaka utakua unalala kiganja kipo juu ya Msusio.
 
Back
Top Bottom