Kweli hakuna mwanaume bahili akipenda kweli

Hahahaha, ila mademu wa ki bongo kwa mizinga wako vzr
Bongo ili uinjoy penzi lazma uwe na uwezo wa kupangua mizinga ndio utakuwa "mtu wa maana 😂😂😂!!!"

Ukiskia hata mademu wanamsifia mwenzao kapata "mtu wa maana" ujue ni jamaa ambaye kila akipigwa mzinga unafuatiwa na meseji ya "Imethibitishwa...
 
Bongo ili uinjoy penzi lazma uwe na uwezo wa kupangua mizinga ndio utakuwa "mtu wa maana [emoji23][emoji23][emoji23]!!!"

Ukiskia hata mademu wanamsifia mwenzao kapata "mtu wa maana" ujue ni jamaa ambaye kila akipigwa mzinga unafuatiwa na meseji ya "Imethibitishwa...
Hahahaha,hilo ni kweli kabisa Mkuu usemalo
 
Nenda na tahadhari ndugu yangu.

22 years is still not enough.

Ni ushauri tu. You can take or leave it.
 
Hahahaha, nakumbuka niliwahi kumpenda binti mmoja umri km huo nadhani ,asee yule binti binafsi nilimpenda 100% kifupi angekua Mke

Ila bana kumbe mapepa balaa hakumaliza ujana ,wazee walikua wanajipigia tu ,siku hz sijui yuko wapi nadhani huko aliko anapambana na hali yake
 
Kwanza umri huo mtu ndio anamaliza chuo, ndio anayaanza maisha; ni vurugu mechi.
 
Hahahaha, nakumbuka niliwahi kumpenda binti mmoja umri km huo nadhani ,asee yule binti binafsi nilimpenda 100% kifupi angekua Mke

Ila bana kumbe mapepa balaa hakumaliza ujana ,wazee walikua wanajipigia tu ,siku hz sijui yuko wapi nadhani huko aliko anapambana na hali yake
Miaka 22 anamalizaje ujana? Miaka 22 ni umri wa kula raha wewe waacheni wenzenu waenjoy maisha wewe ulishamaliza ujana wako ulitaka kumkatisha mwenzako.
 
Hahahaha, nakumbuka niliwahi kumpenda binti mmoja umri km huo nadhani ,asee yule binti binafsi nilimpenda 100% kifupi angekua Mke

Ila bana kumbe mapepa balaa hakumaliza ujana ,wazee walikua wanajipigia tu ,siku hz sijui yuko wapi nadhani huko aliko anapambana na hali yake
Miaka 22 mpaka 27 kwa mwanamke ndio miaka ya 'kuchakatwa'(Zero IQ).

At the late 27 and early 28...hapo sasa anakuwa alishachoka na akili zinaanza kurudi.

Watupia nyavu na waoaji sasa ndo huja hapa.

Na muda huo asipoutumia atakuja kuufidia tu ndani ya ndoa.

So mshikaji nae anachakata tu...ni vizuri. Ila anaonekana anapigwa hela kinoma. Wakati kiukweli sio mke wake huyoo.
 
Hahahaha, ni kweli Mkuu
 
Back
Top Bottom