Kweli hakuna mwanaume bahili akipenda kweli

Hahahahaha!! Mnanichekesha ninyi, kwann hamjiamini kiasi hicho!! na hamuwaamini wanawake kiasi hicho!! Trust me niwaambie ukweli, bado wapo wanawake wakweli, wenye mapenzi ya kweli nawanaojua kupenda, waaminifu na walio serious na mahusiano,tusikariri, yamkini yy kabahatika kumpata wa hivyo na yy kaona awe mkweli kwa mpenzi wake na ikiwa hivyo im telling you mahusiano yanakuwa kama mpo paradiso yaani raha sn.
Watu kama ninyi ndiyo mnatumia ubongo sawasawa kufikiri. Kongole mkuu. Sijui kwanini comments nyingi hapa zinahitimisha tu kwamba wanawake waaminifu hawapo tena zama hizi.
 
Umezaliwa lini? Unaijua Mobitel Tanzania iliingia lini? Unazijua landline wewe? Landline zimekuwepo hata kabla ya uhuru. Ama unafikiri simu zilianza na smartphone? Mshamba sana. Hovyo sana. Ficha ujinga wako. Hata kama umezaliwa 2000, hauna uwezo wa kusoma ukapanua maarifa yako? Bila shaka utakaa kimya kwa aibu.
Acha uongo wewee ..! 1995 simu gani ulikuwa unatumia kumpigia huyo demu wako ??
 
Hahahahaha!! Mnanichekesha ninyi, kwann hamjiamini kiasi hicho!! na hamuwaamini wanawake kiasi hicho!! Trust me niwaambie ukweli, bado wapo wanawake wakweli, wenye mapenzi ya kweli nawanaojua kupenda, waaminifu na walio serious na mahusiano,tusikariri, yamkini yy kabahatika kumpata wa hivyo na yy kaona awe mkweli kwa mpenzi wake na ikiwa hivyo im telling you mahusiano yanakuwa kama mpo paradiso yaani raha sn.
Muumba mwenyewe alimuamini Hawa ila still hawa akapigwa kazi na nyoka bila kujali mungu yupo.🤣🤣🤣 Mie ni nani sasa.
 
Una sifa kama za mume wangu 8yrs kwenye ndoa sijawahi kuomba kitu asinipee na vingine siombi. Hii huwa ni kwa Neema ya Mungu. Fanya uhalalishe mapema umuoe. Ni raha sana kuishi na akupendae.
 
Hongera sana mkuu. Niko kwenye taratibu za awali kuhalalisha mahusiano yetu mbele ya wanadamu na mbele za Mungu.
 
Back
Top Bottom