jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,989
- 22,521
Utaratibu wa ccm kutawala nchi yetu umekuwa ukigubikwa na usiri mwingi, uchakachuaji wa data, uongo uongo, propaganda, wasiojulikana na magoli ya mikono! Vyote hivyo ni adui namba moja pale inapokuja kwenye corona virus(covid-19) š¦
Hivyo ccm lazima ipoteze uchaguzi mkuu ujao, hata kama wakiwapa wanachama wao barakoa za bure badala ya kofia, t-shirts ama pilau!
Lakini kwa haya yanayoendelea, baadaye mtakuja kusema labda rais alifanya makusudi ili aendelee kutawala... Kwanza ikifika wakati wa uchaguzi hali inaweza kuwa mbaya zaidi na minamba ikawekwa kujustify uchaguzi kufutwa indefinitely. Pamoja na campaign. Pesa itasemekana zinaenda kwenye corona. Kwasababu hata sasa namba zinatolewa kwa kauli kutoka juu!
Hii corona bila shaka itaondoka na serikali nyingi sana, maana gonjwa limekuja karibia na uchaguzi mkuu. Huku kwetu tumeambiwa tujifukize na kuchapa kazi...Hata Marekani, Trump naye ka panic hivyo hivyo anasema watu wajipige sindano za bleach na pia wajianike juani watapona corona!š¤¦š¾āāļø
Kiongozi wa ukweli anapimwa wakati wa mgogoro kama huu. Na siyo tu kwenye mabavu ya kukusanya kodi na kuzitumia anavyotaka! Kabla hata ya corona, huu mwaka ulikuwa wa changamoto kubwa sana kwa ccm. Sasa corona imeingia, kama hakuna hatua madhubuti, ni bora wapinzani nao waanze kuja na mawazo mbadala ya namna tutakayokabiliana na corona, maana ni wazi gonjwa hili litakuwepo kwa muda, hivyo tunahitaji mikakati ya muda mfupi na mrefu. Siyo kutegemea miujiza! Lakini kwa hali hii ya sasa, tutaenda kuuzika uchumi wetu!
Kwamfano hata hao watalii tunaowategemea, wakati huko kwao kukiwa sawa, unadhani serikali zao zita recommend raia wake waje nchini? Kwasababu hao watu wanakwenda na statistics, halafu pia wanafahamu yanayoendelea. Hata ufiche vipi kwanza now days kuna satellites mnaonekana wazi tu huko makaburini mkiwazika waliopatikana na covid-19 na kupoteza maisha yao...hata kama ni usiku wa manane kama wananchi wanavyodai mnaonekana. Kuna picha zinasambaa zikiwaonyesha wazikaji wa usiku.
Kuficha haisadii! Mnadhani Marekani, Italy na Spain walipenda kuoneakana wakiwa vile? Waliamuwa kuonyesha ili kuweza ku create enough awareness. Huwezi kuwa na hofu kubwa kama unafuata maelekezo ya wataalam. Kuficha kunaondoa ile tahadhari ambayo ni muhimu kuweza kuokoa maisha ya wananchi.
Mods tafadhali musiichinjie baharini hii ni angalizo tu kwa uchaguzi mkuu ujao. Wananchi wanahitaji wasikie alternative ideas. Tuuachie usambae kama tunavyofanya, ambayo ni model ya āThe fittest surviveā, ambapo asilimia 70-90 ya wananchi wote wanatakiwa kupata covid-19 ndo tuanze kusema tuko salama, ama tuende na partial lockdowns huku tukiongeza uwezo wa kupima ili Idara yetu ya afya isizidiwe kwenye kutoa huduma? Hii ndo inayoitwa āflattening the curveā
Siyo ajabu wananchi tukaja kuzuiwa kupiga kura kama kina Pasco wamekuwa wakisema hakuna haja ya uchaguzi bali Maghufuli kisha muda wake ukiisha amkabidhi Makonda.