Kwao hawanitaki kisa mkurya.

Kwao hawanitaki kisa mkurya.

Naona watu mnaflow humu ndani si mchezo... Kitu imekaa ka kigiriki
Tatigha!!
 
...ila kiukweli nyie wakurya hamtabiriki,ninarafiki yangu mkurya aliyeelimika na mkristo safi,hii ndo kauli aliyotamka mke wake ambaye ni mpole,mkimya na mpenda watu asiye mgomvi hatakidogo,alisema...najuta kuolewa na mkurya,sitamshauri ndugu yangu kuolewa na mkurya...
 
Oranyore ona ishing'ombe, nuwe nkeghanya ushe ontete, nkerenge mwiseke.

Ha ha haaaah ningeshangaa Sana wakurya mjadiliane halafu msichomekeane ishu ya kuiba ng'ombe... Lol

Tata Molembe komaa hapo utakafaidi Sana hako kabinti ka kinyalu. Si unajua hapo kila kitu STEREO kwa kuwa hakajakeketwa kama wa kule kwenu Nyansirori..
 
Kwa jinsi usivyostaarabika JF unabonga kikwenu huku wengine hatuelewi umeandika nini bora wasikukubali tu
 
Hata mie ningekataa.
Nyie mnatakiwa muoane huko huko bwana.

Cc Mwita Maranya, one love ankal

Hahahaha... King'asti punguza unoko bana wala hata hufananii kabisa.

Ila mwezako mimi nilifanikiwa kumbeba msukuma pamoja na mikwara yooooooote karibia mwaka mzima shughuli imesimama...!!! hapana chezeya habaari ya kupata muke ya ujana wako bana.
 
Last edited by a moderator:
Achana naye, mbona Nyantira, Kemakorere, Sirari, Borega, Nyasincha, Nyamongo, Nyamwaga kuna warembo???

Dah.... Ukabila ni dhambi mbaya sana!!
Kabisa mkuu umenena.Hii post yako umefanya nimekumbuka ile post ya kichuri,amarura hotel!!
 
umini-impress sana kwa kuyatamka kwa ufasaha maeneo haya!! nkohanchele mwiseke!

Hahahaaaaaa... Kwani kuyatamka kwa ufasaha ndio kuzaliwa huko???

Hivi ni.vijiji vilivyopo mkoani Lindi Mkwajuni, Likong’o, Likwaya,
Madingo, Muungano, Mandwanga,
Njonjo, Mtegu, Namunda na
Nandambi sasa napo utasema mie ni Mmakonde????
 
Kabisa mkuu umenena.Hii post yako umefanya nimekumbuka ile post ya kichuri,amarura hotel!!

Hahahaaaaaaa.... Usinikumbushe mkuu! Tena asubuhi asubuhi kama saiv washapika ugali na nyama iliyononaaaaa......
 
kweli wakurya mtakuwa mnamatatizo hata mie nmepata demu wa kikurya... Nyumbani nae hawamtaki
 
Hahahaaaaaaa.... Usinikumbushe mkuu! Tena asubuhi asubuhi kama saiv washapika ugali na nyama iliyononaaaaa......

hahaaaa aisee ni noumaaa... muda huu nipo hapa shirati napata ugali nyamachoma na kichuri.... nilielekea Tarime
 
usihofu hiyo nikawaida kwa wazazi kukataa mwanzoni kwa sababu ya wasiwasi kuwa motto wao atapata tabu kutokana na maneno waliyo sikia kuwa kabila lenu nyinyi wakali sana. kinachotakiwa nikuwaonyesha kuwa wewe nimpole na mme bora unaweza kutunza motto wao na unampenda. wakipata uhakika kutakuwa hakuna shida.
 
Hapana tutasema wewe ni Mmwera

Hahahaaaaaa... Kwani kuyatamka kwa ufasaha ndio kuzaliwa huko???

Hivi ni.vijiji vilivyopo mkoani Lindi Mkwajuni, Likong’o, Likwaya,
Madingo, Muungano, Mandwanga,
Njonjo, Mtegu, Namunda na
Nandambi sasa napo utasema mie ni Mmakonde????
 
sio bure... hawa watu wa pande hizi wana roho ngumu sana, japo SIO wote...... kuua kwao ni jambo la kawaida sana.Ninawafahamu...... Wanapaswa kubadilika!!!hata kabila zingine ni wakatili na wakorofi LAKIN atleast wanakubali kubadilika......
 
Ndg yangu Molembe

Nadhani wewe na huyo mchumba wako ndio hamjaamua juu ya ndoa yenu hiyo. Hayo mambo ya wazazi kuzuia ndoa za vijana wao yamepitwa na wakati, wanachotakiwa kufanya ni kutoa baraka tu ili ninyi muanze maisha yenu rasmi kama mke na mume.

Nimeona ushauri wa dada charminglady kuwa achana naye ukaoe nyumbani, akitaja na vijiji vingi tu vya kule tarime, mimi nasema hapana, kwa nini swala la mke wa kuishi naye maisha yote ya uhai hapa duniani ni swala mtambuka, kumbe basi unahitaji kuzingatia hitaji la moyo wako kwanza. Sikatai kuoa nyumbani kuna faida zake nyingi, lakini inakuwa vema zaidi kama ulikwisha fanya maandalizi ya kumpata mwenza wako katika mazingira unayotoka.
Fanya uamuzi sahihi kwa kumshirikisha mwenza wako, ili muweze kufikia uamuzi sahihi pasipo kuasili upande wowote.

Mwisho niwapongeze Luck Star na dada Binti.com kwa njisi thread hii ilivyowaunganisha na kutambuana/kutambulika na pia kwa jinsi wanavyoweza kuandika lugha ya nyumbani vema, tazama neno umshabhani (jina la utani, akimanisha kijana mdogo), ntohashere nk,

Mwisho uamuzi wa kuoana ama kuachana mnao ninyi wenyewe wawili. Anghane ngayo, hayo ngambele ntanoye
 
Last edited by a moderator:
Jamani mimi ni kijana mwenye miaka 28 baada ya kumaliza masomo nimepata kazi hapa mjini, sasa nikaamua kutafuta mke ili nioe niache kumbwela mbwela nisije kufa kwa ngoma, nimepata mtoto wa kihehe wa kule mafinga tayari nimempeleka kwetu(Tarime) na amekubalika kwa wazazi wangu, kimbembe kimekuja baada ya kwenda kwao wazazi wake wamekataa wamesema mtoto wao hawezi kuolewa na mkurya kwani eti si watu wazuri wanapiga wanawake na ni wakorofi, nifanyeje kwa sababu nampenda sana huyu binti.

yan hata ingekuwa kwetu nauhakika ungekataliwa,am nat supporting ukabila,lakini kuna kaz sana kuondoa sifa flan flan ambazo jamii haijakubali kuhusu wakurya lakin sasa ndo ivo wachache wanawaponza nyie wengine msio na tabia hizo
 
Mtie mimba ili wajipange vizuri
 
Achana naye, mbona Nyantira, Kemakorere, Sirari, Borega, Nyasincha, Nyamongo, Nyamwaga kuna warembo???

Dah.... Ukabila ni dhambi mbaya sana!!
Aje na huku wilaya ya Serengeti kuna warembo wazuri tu, anzia Mgeta, Kyandege, Salama A, Salama B,Isenye, Natta, Fort Ikoma, Nyakitono, Nyichoka, Burunga mpaka Mugumu mjini wamejaa warembo aache kuhangaika na hao wabaguzi
 
yan hata ingekuwa kwetu nauhakika ungekataliwa,am nat supporting ukabila,lakini kuna kaz sana kuondoa sifa flan flan ambazo jamii haijakubali kuhusu wakurya lakin sasa ndo ivo wachache wanawaponza nyie wengine msio na tabia hizo

Watu aina yako mimi ninawashangaa kabisa, ungemkataa wewe ama kwenu wangemkataa, mbona nashidwa kukupata hapa. Maana ninacojua hapa wanaooana ni mke na mme ambao wamependana na kukubaliana wenyewe pasipo kulazimishwa na mtu yeyeto, sasa unaposema kwenu wasingekubali napata shida, inakuwa as if wao ndio wanaolewa.

Kama na wewe dada unaamini hivyo, basi hata wewe ni mkabila, hilo usipinge kabisa. Ila mnachotakiwa kufanya ni kufahamiana mapema, mwenzangu unatokea wapi (say ukanda, mkoa nk), kabila lako nk, then ukiona wewe ni mkabila basi unamkataa mapema katika hatua za awali ili kuepuka hizi sintofahamu za kwamba kwetu watamkataa nk, as if wao ndio waoaji ama waolewaji.

Wazazi nao wabadilike wawape vijana uhuru wa kijichagulia wenza wa maisha yao wenyewe. sasa kama huyo binti sasa anayezungumziwa kwenye thread hii ikitokea kwao wasibadili msimamo naye akawawafuta ana kazi nyingine tena ya kuingia sokoni ili aweze kupatwa na mwingine ili hali alishajua hiyo kazi imekwisha, wanampoteza muda na kumpa stress bure. Alikwisha mzoea mwenzake, walishaenda hadi kwao Tarime, this means wanaishi kama mme na mke, then mnawatenganisha, what for, mnatengeneza nyumba ndogo unnecessarily maana hao hawawezi kuacha kushare mapenzi hata wasipoana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom