Kwao hawanitaki kisa mkurya.

Kwao hawanitaki kisa mkurya.

Watu aina yako mimi ninawashangaa kabisa, ungemkataa wewe ama kwenu wangemkataa, mbona nashidwa kukupata hapa. Maana ninacojua hapa wanaooana ni mke na mme ambao wamependana na kukubaliana wenyewe pasipo kulazimishwa na mtu yeyeto, sasa unaposema kwenu wasingekubali napata shida, inakuwa as if wao ndio wanaolewa.

Kama na wewe dada unaamini hivyo, basi hata wewe ni mkabila, hilo usipinge kabisa. Ila mnachotakiwa kufanya ni kufahamiana mapema, mwenzangu unatokea wapi (say ukanda, mkoa nk), kabila lako nk, then ukiona wewe ni mkabila basi unamkataa mapema katika hatua za awali ili kuepuka hizi sintofahamu za kwamba kwetu watamkataa nk, as if wao ndio waoaji ama waolewaji.

Wazazi nao wabadilike wawape vijana uhuru wa kijichagulia wenza wa maisha yao wenyewe. sasa kama huyo binti sasa anayezungumziwa kwenye thread hii ikitokea kwao wasibadili msimamo naye akawawafuta ana kazi nyingine tena ya kuingia sokoni ili aweze kupatwa na mwingine ili hali alishajua hiyo kazi imekwisha, wanampoteza muda na kumpa stress bure. Alikwisha mzoea mwenzake, walishaenda hadi kwao Tarime, this means wanaishi kama mme na mke, then mnawatenganisha, what for, mnatengeneza nyumba ndogo unnecessarily maana hao hawawezi kuacha kushare mapenzi hata wasipoana.

nahisi bado hujanielewa,nimeongelea upande wa wazazi wangu pia wasinge kubali sijaongelea mimi kumkataa mkurya lakin nimejarib kurelate kama ningekuwa huyo dada na kumpeleka kijana kwetu yangetokea ayo ayo,main point nataka kusema kuna familia nyingi zingefanya maamuzi kama ya familia ya huyo dada,lakini bado mimi ninayeolewa i have a final say,hapa nilipo nadate mkurya kama ikifika stage ya ndoa najua wazaz watapinga lakin mie ndo nimemridhia hope umenielewa sasa
 
nyerere alikataa ukabila, piga mimba kaka huyo, wakizingua mtafute bhoke muraa umuoe
 
Hao wakwe zako wapo sahihi,nyinyi wakurya ni watata sana!
 
Ndg yangu Molembe

Nadhani wewe na huyo mchumba wako ndio hamjaamua juu ya ndoa yenu hiyo. Hayo mambo ya wazazi kuzuia ndoa za vijana wao yamepitwa na wakati, wanachotakiwa kufanya ni kutoa baraka tu ili ninyi muanze maisha yenu rasmi kama mke na mume.

Nimeona ushauri wa dada charminglady kuwa achana naye ukaoe nyumbani, akitaja na vijiji vingi tu vya kule tarime, mimi nasema hapana, kwa nini swala la mke wa kuishi naye maisha yote ya uhai hapa duniani ni swala mtambuka, kumbe basi unahitaji kuzingatia hitaji la moyo wako kwanza. Sikatai kuoa nyumbani kuna faida zake nyingi, lakini inakuwa vema zaidi kama ulikwisha fanya maandalizi ya kumpata mwenza wako katika mazingira unayotoka.
Fanya uamuzi sahihi kwa kumshirikisha mwenza wako, ili muweze kufikia uamuzi sahihi pasipo kuasili upande wowote.

Mwisho niwapongeze Luck Star na dada Binti.com kwa njisi thread hii ilivyowaunganisha na kutambuana/kutambulika na pia kwa jinsi wanavyoweza kuandika lugha ya nyumbani vema, tazama neno umshabhani (jina la utani, akimanisha kijana mdogo), ntohashere nk,

Mwisho uamuzi wa kuoana ama kuachana mnao ninyi wenyewe wawili. Anghane ngayo, hayo ngambele ntanoye

Mkuu unajua kwanini nimetoa ushauri kama huo??? Hapo hakuna kubembeleza as sio nature mkuu.......
 
Last edited by a moderator:
Aje na huku wilaya ya Serengeti kuna warembo wazuri tu, anzia Mgeta, Kyandege, Salama A, Salama B,Isenye, Natta, Fort Ikoma, Nyakitono, Nyichoka, Burunga mpaka Mugumu mjini wamejaa warembo aache kuhangaika na hao wabaguzi

Mwambie bana.... Aache kubembeleza!

Et kisa mnyalu.. Khaaaaa!!!!

Molembe tatigha mura, kuwa na ule ujasiri uliouonesha siku ya Saro yako!
 
Mwisho uamuzi wa kuoana ama kuachana mnao ninyi wenyewe wawili. Aghane ngayo, hayo ngambele ntanoye

for sure you said somethings which are real!!!! nice and true, congratulatulation for that buddy!! iye nomongoleme woni ghasi omokoli? kana ake ndara ulaghamba kyomonto waka kemwe! eni mbane nomongoleme neni!
 
Mwambie bana.... Aache kubembeleza!

Et kisa mnyalu.. Khaaaaa!!!!

Molembe tatigha mura, kuwa na ule ujasiri uliouonesha siku ya Saro yako!
hahaa!! aisee umetumia neon ki-social sana! as if you are a fellow man!! is it easy for a woman to tell a man such words?? or its a joke? eti Molembe, hebu niambie tata! eni ghutete mbane mpaka neghi kemwe ngoleme!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaa... Kwani kuyatamka kwa ufasaha ndio kuzaliwa huko???

Hivi ni.vijiji vilivyopo mkoani Lindi Mkwajuni, Likong’o, Likwaya,
Madingo, Muungano, Mandwanga,
Njonjo, Mtegu, Namunda na
Nandambi sasa napo utasema mie ni Mmakonde????

I see!! you are a traveler, let me guess that! but for sure you must be born there! kurya land, aren't you?
 
nahisi bado hujanielewa,nimeongelea upande wa wazazi wangu pia wasinge kubali sijaongelea mimi kumkataa mkurya lakin nimejarib kurelate kama ningekuwa huyo dada na kumpeleka kijana kwetu yangetokea ayo ayo,main point nataka kusema kuna familia nyingi zingefanya maamuzi kama ya familia ya huyo dada,lakini bado mimi ninayeolewa i have a final say,hapa nilipo nadate mkurya kama ikifika stage ya ndoa najua wazaz watapinga lakin mie ndo nimemridhia hope umenielewa sasa

Huko kote hata kama hatuko pamoja, lakini hapo tu kwenye green color panatosha mimi na wewe kuwa on the same line.

Jamani ifike mahali tufanye maamuzi on our own hasa tunapohesabika ya kuwa ni watu wazima yaani beyond 18. Mimi naamini hata wewe huyo uliyenaye, mlikubaliana wenyewe na kuanza mahusiano yenu wenyewe kwa raha zenu mkijuana kila mmoja kwa majina na kabila lake, sasa ifike hatua mnasema hebu tuyaweke haya mambo yetu kwenye public mtu mwingine aseme hapana why.

Dada nadhani inatosha, hatukatai wazazi wana nafasi yao tena kubwa, lakini wahusika wakuu na wenye maamuzi ya mwisho huwa sio wao na hawapaswi kufanya hivyo. Ahsante na elendelea vema na wako
 
Mkuu unajua kwanini nimetoa ushauri kama huo??? Hapo hakuna kubembeleza as sio nature mkuu.......

Naakubaliana nawe kiasi fulani kuhusu nature, namanisha asilia hatukuwa watu wa kubembeleza, ni watu wa maamuzi na kuyasimamia lakini mambo yanaenda yakibadilika kila wakati.

Kama una asili ya kule Musoma ama unawajua vema watu wa kule zamani ambazo unaweza kusemea pia hizo nature hata kufikilia tu kuoa mtu wa kabila la mbali kama huyo ambaye naturally hata jando ya kule nyumbani hajapitia ilikuwa illegal (taboo), maana utaambiwa umeoa (Omosaghane, ilikunene) na mambo kama hayo. Lakini sasa ni tofauti watu wako huru kuoa kabila lolote lenye tamaduni tofauti za kule na maisha yanaenda mbele, kumbe basi hata swala la kusema hatuombi, hatubembelezi, nk nadhani yako outdated kwa sasa, ndio maana niliukataa ushauri wako ni kwa mtizamo huo acha ndg achukuane na mnyalu wake maana wamependana wenyewe. Nina imani umeelewa point yangu, iko katika mkutadha huo.

Ahsante.
 
for sure you said somethings which are real!!!! nice and true, congratulatulation for that buddy!! iye nomongoleme woni ghasi omokoli? kana ake ndara ulaghamba kyomonto waka kemwe! eni mbane nomongoleme neni!

Mimi mara zote naamini siku zote wawili wapendanao once they reach in mutual agreement on their marriage no in any means or circumstances has the ability to say otherwise except God who created them.

Binafsi wakati nao mambo yalikuwa mengi upande wangu na nilikuwa mbali na nyumbani, nakumbuka nilimuomba aliyekuwa mchumba wangu muda huo ambaye sasa ni mke wangu aniwakilishe nyumbani kwao, na ilikuwa hivyo na hadi leo ni more than five years tunaendelea na maisha yetu.

Thus why in this case i said the right decision must come from the two i.e. Molembe and his fiancee and not otherwise.
 
kweli wakurya mtakuwa mnamatatizo hata mie nmepata demu wa kikurya... Nyumbani nae hawamtaki

Una matatizo ya akili wewe ******** Tamka hayo maneno kwenye community ya wakurya uone kama utasalimika, watakucharanga mapanga mchana kweupe. Acha kudhihaki makabila ya watu, kwani wewe hilo kabila lako hakuna wanaopigana au kuwapa kichapo wanawake???? hakuna wezi wa mifugo au mali yoyote???? hakuna watu wenye jazba????? nonsense
 
Ndg yangu Molembe

Nadhani wewe na huyo mchumba wako ndio hamjaamua juu ya ndoa yenu hiyo. Hayo mambo ya wazazi kuzuia ndoa za vijana wao yamepitwa na wakati, wanachotakiwa kufanya ni kutoa baraka tu ili ninyi muanze maisha yenu rasmi kama mke na mume.

Nimeona ushauri wa dada charminglady kuwa achana naye ukaoe nyumbani, akitaja na vijiji vingi tu vya kule tarime, mimi nasema hapana, kwa nini swala la mke wa kuishi naye maisha yote ya uhai hapa duniani ni swala mtambuka, kumbe basi unahitaji kuzingatia hitaji la moyo wako kwanza. Sikatai kuoa nyumbani kuna faida zake nyingi, lakini inakuwa vema zaidi kama ulikwisha fanya maandalizi ya kumpata mwenza wako katika mazingira unayotoka.
Fanya uamuzi sahihi kwa kumshirikisha mwenza wako, ili muweze kufikia uamuzi sahihi pasipo kuasili upande wowote.

Mwisho niwapongeze Luck Star na dada Binti.com kwa njisi thread hii ilivyowaunganisha na kutambuana/kutambulika na pia kwa jinsi wanavyoweza kuandika lugha ya nyumbani vema, tazama neno umshabhani (jina la utani, akimanisha kijana mdogo), ntohashere nk,

Mwisho uamuzi wa kuoana ama kuachana mnao ninyi wenyewe wawili. Anghane ngayo, hayo ngambele ntanoye

Onchomili mona weito.
 
Last edited by a moderator:
Aje na huku wilaya ya Serengeti kuna warembo wazuri tu, anzia Mgeta, Kyandege, Salama A, Salama B,Isenye, Natta, Fort Ikoma, Nyakitono, Nyichoka, Burunga mpaka Mugumu mjini wamejaa warembo aache kuhangaika na hao wabaguzi

Akikosa huko kote aje huku Ngoreme kuanzia Borenga, Nyiboko, Buchanchari, Nyasurumunti, Nyamitita, Nyamihuru, Busawe, Iseresere, Majimoto, Mesagha, Iramba, Kenyamonta, Remng'oroli, Masinki, Ring'wani, Kenyana, Kemgesi na Maburi.
 
Waambie wakurya wa siku hizi sio kama wa zamani. Na walio soma sio sawa na wasio soma. Dunia inachange na makabila wanachange pia. Kipindi nipo mdogo niliambiwa wakurya wakali sana na wanachinja watu, hivo tukiona mkurya wakiume tu tukikimbia. Pole, labda hao wakwe zao bado hawajaelimika, ila unaetaka kumuoa ndio inabidi awaeleweshe wazazi wake. Hata wahehe nao wanatabia zao zisizo kubalika pia. Hamna kabila hisio na kasoro. Kama wazazi wako wange mkataa kisa wanakula mbwa angejisikiaje?
 
Nimemtuma tena mchumba wangu akaongee nao isipoeleweka basi najivua gamba narudi kwetu sirari kutafuta wa nyumbani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom