Nsame
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 478
- 125
Mmmhu we bhujibhuji hayo inayosema yanaweza kuwa sahihi, wasiwasi wangu ni hii kizazi ya div5 kama itaweza kuedit ushauri huo au kitauchukulia kama ulivyo na madada zetu wakaishia kumegwa na kuzalishwa tuuuu bila kuolewa.FAIDA 10 ZA KUISHI BILA MPENZI
1:Unalala vizuri
2:Hujali unavyoonekana
3:Hakuna sms usiku wa manane
4:Unaweza kuongea na yeyote
5:Utaishi maisha marefu bila kubughudhiwa na
mtu
6:Utaepukana na fitina za watu
7:Utaepukana na ugomvi usio wa lazima
8:Hutakuwa mwenye kudanganyana
9:Utatulia kimawazo
10:Utajihisi uko huru kwa maamuzi yako .JARIBU
UONE.!