Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,083
- 8,221
Wapi huko? Taja with evidenceNi hapo tu, kwingineko kwingi yupo peke yake
Wapi huko? Taja with evidenceNi hapo tu, kwingineko kwingi yupo peke yake
Wafitini wa JF hawa, wamejaa humu kibao, wakishashiba wanakurupuka na kuandika upupu wao, nimemuwekea attachments hapo juu, hamna kikao January kafanya mwenyewe bila kushirikiana na watu! Kwa sasa kaenda Saudi na hajaenda peke yake, kaenda na baadhi ya wasaidizi wake! Hili Taifa linolotegemea Machinga kuweka kiongozi wa nchi shida sana"Ukiingia ktk ukurasa wa Twitter wa Mheshimiwa January Makamba waziri wa Nishati, utabaini Jambo"
Mkuu, kwa kupitia nukuu hiyo hapo huu, hutambui kuwa akiwa ndiye waziri mwenye dhamana, yeye ndiye "figurehead & spokesman' wa wizara!? Kwa hiyo ni yeye ndiye ana wajibu wa kuzungumzia masuala muhimu ya nishati ambayo yanapaswa kuwasilishwa kwa umma.
Naibu wake anaweza kufanya hivyo kama atapata maelekezo kutoka kwake, na katibu mkuu na naibu wake humsaidia katika masuala ya kiufundi juu ya uendeshaji wa wizara.
Makamba anakataa majungu?watanzania kwa majungu hamjambo.
nadhani maofisi yote ya umma uzooefu mlio nao ni kupigana majungu na fitina.
Badilikeni watanzania, punguzeni majungu makazini na fitina.
majungu na fitina makazini hupunguza ufanisi na husababisha migogoro na migongano.
Ongezea NgelejaInteresting question...
Manake hata akifanya sahihi akija kuondoka tunarudi kule kule...
Akikosea ndo kabisa hakuna wa Ku explain vision ilikuwa ipi...
January awe makini na hii wizara..inaongoza kwa kuua career za wanasiasa..
Karamagi
Msabaha
Muhongo
Kalemani..
Orodha ndefu
duh..hivi inakuwaje mtu kuanzisha thread bila kufanya utafiti wa kina,mbaya zaidi ni wa mrengo wa kumchafua mtu..wa Tz tubadilikeni majungu hayajawahi kumpa mtu maendeleo,wakati mwingine mada za hivi ndio hupelekea baadhi ya media kufungwa(kutoa habari bila utafiti)JF ya sasa imejaa wazushi, wafitini na matahira kama wewe muanzisha mada, and Mods wanaacha tu upotoshaji....
View attachment 1984963
View attachment 1984964
View attachment 1984965
View attachment 1984966
View attachment 1984967
Wamejaa humu wengi sana, kila mara kuanzisha threads uchwara za uongo, fitina, na majungu! Ukiwaambia ukweli wanatukanaduh..hivi inakuwaje mtu kuanzisha thread bila kufanya utafiti wa kina,mbaya zaidi ni wa mrengo wa kumchafua mtu..wa Tz tubadilikeni majungu hayajawahi kumpa mtu maendeleo
Jibu hoja wacha vihojawatanzania kwa majungu hamjambo.
nadhani maofisi yote ya umma uzooefu mlio nao ni kupigana majungu na fitina.
Badilikeni watanzania, punguzeni majungu makazini na fitina.
majungu na fitina makazini hupunguza ufanisi na husababisha migogoro na migongano.
Kwakuwa yupo pekee yakeUnadhani hatojulikana?
Kwanini wewe usiwe ndiye mpashukuna?JF ya sasa imejaa wazushi, wafitini na matahira kama wewe muanzisha mada, and Mods wanaacha tu upotoshaji....
View attachment 1984963
View attachment 1984964
View attachment 1984965
View attachment 1984966
View attachment 1984967
inawezekana ni aina ya ugonjwa wa kisaikolojia,lakini pia ni fursa kwa wataalamu wa magonjwa ya akili kuwafanyia uchunguziWamejaa humu wengi sana, kila mara kuanzisha threads uchwara za uongo, fitina, na majungu! Ukiwaambia ukweli wanatukana
Imekuchoma?Kwanini wewe usiwe ndiye mpashukuna?
Tupatie vigezo ulivyo vitumia na kugundua kuwa hiyo thread ni ya uongo na uzandiki.Kwa iyo unaona sawa mtu kuleta thread ya uongo na uzandiki humu?
Hivi bavicha kichwani mmejaza funza au?
Hayo ndiyo maneno mliyo zoeshwa nyinyi wana mserereko wa lumumba.Imekuchoma?
Kwenye thread mtoa mada kasema January anafanya kikao peke take na wawekezajiTupatie vigezo ulivyo vitumia na kugundua kuwa hiyo thread ni ya uongo na uzandiki.
Ukishindwa kudhibitisha hilo basi wewe ndiye muongo na mzandiki mkubwa hapa duniani.
Sijawahi kuingia hata darasa lolote lkn nawachukia watu kama nyinyi mnao ishi kwa kuwaramba watu miguu ili mjipatie mkate wako wa kila siku.Kwenye thread mtoa mada kasema January anafanya kikao peke take na wawekezaji
Fuatilia uzi ameshajibiwa kwa ushahidi wa picha Jinsi January alivyokuwa na wataalam, wakurugenzi na sehemu zingine na Naibu wake!
Hivi umeishia darasa la ngapi Mkuu?
Unazidi kuhamisha magoli sio? Endelea kuonesha ukilaza wakoSijawahi kuingia hata darasa lolote lkn nawachukia watu kama nyinyi mnao ishi kwa kuwaramba watu miguu ili mjipatie mkate wako wa kila siku.
Kilaza alishaondoka kitambo hapa dunianiUnazidi kuhamisha magoli sio? Endelea kuonesha ukilaza wako
JF ya sasa imejaa wazushi, wafitini na matahira kama wewe muanzisha mada
View attachment 1984963
View attachment 1984964
View attachment 1984965
View attachment 1984966
View attachment 1984967