Kwanini Waziri January Makamba anaongoza majadiliano ya Wizara peke yake?

"Ukiingia ktk ukurasa wa Twitter wa Mheshimiwa January Makamba waziri wa Nishati, utabaini Jambo"

Mkuu, kwa kupitia nukuu hiyo hapo huu, hutambui kuwa akiwa ndiye waziri mwenye dhamana, yeye ndiye "figurehead & spokesman' wa wizara!? Kwa hiyo ni yeye ndiye ana wajibu wa kuzungumzia masuala muhimu ya nishati ambayo yanapaswa kuwasilishwa kwa umma.

Naibu wake anaweza kufanya hivyo kama atapata maelekezo kutoka kwake, na katibu mkuu na naibu wake humsaidia katika masuala ya kiufundi juu ya uendeshaji wa wizara.
Wafitini wa JF hawa, wamejaa humu kibao, wakishashiba wanakurupuka na kuandika upupu wao, nimemuwekea attachments hapo juu, hamna kikao January kafanya mwenyewe bila kushirikiana na watu! Kwa sasa kaenda Saudi na hajaenda peke yake, kaenda na baadhi ya wasaidizi wake! Hili Taifa linolotegemea Machinga kuweka kiongozi wa nchi shida sana
 
watanzania kwa majungu hamjambo.
nadhani maofisi yote ya umma uzooefu mlio nao ni kupigana majungu na fitina.
Badilikeni watanzania, punguzeni majungu makazini na fitina.
majungu na fitina makazini hupunguza ufanisi na husababisha migogoro na migongano.
Makamba anakataa majungu?
 
Interesting question...
Manake hata akifanya sahihi akija kuondoka tunarudi kule kule...
Akikosea ndo kabisa hakuna wa Ku explain vision ilikuwa ipi...

January awe makini na hii wizara..inaongoza kwa kuua career za wanasiasa..

Karamagi
Msabaha
Muhongo
Kalemani..

Orodha ndefu
Ongezea Ngeleja
 
JF ya sasa imejaa wazushi, wafitini na matahira kama wewe muanzisha mada, and Mods wanaacha tu upotoshaji....
View attachment 1984963
View attachment 1984964
View attachment 1984965
View attachment 1984966
View attachment 1984967
duh..hivi inakuwaje mtu kuanzisha thread bila kufanya utafiti wa kina,mbaya zaidi ni wa mrengo wa kumchafua mtu..wa Tz tubadilikeni majungu hayajawahi kumpa mtu maendeleo,wakati mwingine mada za hivi ndio hupelekea baadhi ya media kufungwa(kutoa habari bila utafiti)
 
watanzania kwa majungu hamjambo.
nadhani maofisi yote ya umma uzooefu mlio nao ni kupigana majungu na fitina.
Badilikeni watanzania, punguzeni majungu makazini na fitina.
majungu na fitina makazini hupunguza ufanisi na husababisha migogoro na migongano.
Jibu hoja wacha vihoja
 
Kwa iyo unaona sawa mtu kuleta thread ya uongo na uzandiki humu?

Hivi bavicha kichwani mmejaza funza au?
Tupatie vigezo ulivyo vitumia na kugundua kuwa hiyo thread ni ya uongo na uzandiki.

Ukishindwa kudhibitisha hilo basi wewe ndiye muongo na mzandiki mkubwa hapa duniani.
 
Imekuchoma?
Hayo ndiyo maneno mliyo zoeshwa nyinyi wana mserereko wa lumumba.
1765981090.jpg
 
Tupatie vigezo ulivyo vitumia na kugundua kuwa hiyo thread ni ya uongo na uzandiki.

Ukishindwa kudhibitisha hilo basi wewe ndiye muongo na mzandiki mkubwa hapa duniani.
Kwenye thread mtoa mada kasema January anafanya kikao peke take na wawekezaji

Fuatilia uzi ameshajibiwa kwa ushahidi wa picha Jinsi January alivyokuwa na wataalam, wakurugenzi na sehemu zingine na Naibu wake!

Hivi umeishia darasa la ngapi Mkuu?
 
Sijawahi kuingia hata darasa lolote lkn nawachukia watu kama nyinyi mnao ishi kwa kuwaramba watu miguu ili mjipatie mkate wako wa kila siku.
 
Naona anawashirikisha kwa kina watu wote muhimu hawezi kufanya peke yake wote naona wapo hapo....tuwape Muda utaongea
 
Back
Top Bottom