Kwanini Waziri January Makamba anaongoza majadiliano ya Wizara peke yake?

Unazidi kuhamisha magoli sio? Endelea kuonesha ukilaza wako
Nakuona ukiipiga kazi yako kwa umakini sana.
1581837313.jpg
 
Huyo ni mzee wa madili,mama anasema haangalii Kabila anaangalia utendaji kalemani na janwari wapi na wapi.
 
Wizara hii ni Kama Maliasili na Utalii...Na Nyinginrzo zenye mahela mengi na Muunganiko Mkubwa na Mahitaji ya Dunia Na biashara Kubwa kubwa...Humezewa Mate na kila mtu...Na Hii Wizara Pia ni kama Idara nyingine za Serikali zenye mapesa Mengi...Hizo huwa na Vita Na Majungu yasiyoisha...

KAMA mnavyojua January ana ndoto awe Rais...Na mara zote hajawahi kuacha sema labda kimkakati anamuachia mama Aendelee mpaka 2030 huku na yeye akiwa ndani ya baraza akiendelea Kujipanga by then awe na Nguvu zote tu za watu nje na ndani na pia uchumi imara.

Nadhani anaendelea kujijenga vizuri taratibu akilenga 2030.
Ni wizara yenye kugusa watu na yenye madili mengi makubwa sijui atanusurikaje na mitego ya hii Wizara..Naamini kipindi cha Mwamba isingeyokea kamwe eti waziri kaalikwa na Mwenzie wa Saudia kwenda huko kuongea masuala ya fursa za hapa.
Wanazijua tayari .
 
Asahau 2030 Nchi itakuwa chini ya uongozi wa mkristo tena Mkatoliki ataishia uwaziri unamtosha
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom