Kwanini wazanzibari wengi weusi na machotara wanaikana asili yao

Mkuu

Naona una ota

Nani amekwambia Zanzibar ikipata haki yake ya kujitawala italia na kusaga meno maana sijakuelewa kabisa

Yaani uogopeshaji wa kitoto sana huu

Nchi huru huiguswi na ina haki ya kujilinda kwa chochote na sheria za dunia ya leo hairuhusu kuvamia nchi kijinga kijinga na kuataka kuua watu

Utakua na matatixo ya akili mahali

Au una tatizo la Tanganyika-Superiority beyond reality....

Tanganyika au Zanzibar extremism kama hii yako hapa ni tatizo....

Hii superiority ndio italeta matatizo
Wale miamba weusi wasio na ndugu oman watakuja kua kama sudan ile ya albashir maendeleo ni kwa waarabu na machotara kuvimba bara hawataweza maana watakua kama wakenya au waganda mfano hai chek tu kkoo ni wazanzibar gan wako njema na origin ya udon wao , hawa wamatumbi wanaingizwa tu mkenge
 
Hata wazungu na waafrika wenyewe wamehusika sana na biashara ya utumwa, kwa hivyo usilikomalie kundi moja tu kwa biashara hiyo.

Hao wazungu wako baada ya kuona biashara ya utumwa hailipi imekuwa ghali sana ndiyo wakajifanya eti wako mstari wa mbele kutetea, kha!
swala hapa si kuhusika ama kutohuska, swala hapa ni kwamba:, ni kwanini wawatoe waarabu kwenye list ya uuzaji na ununuaji watumwa?.
wazungu wanakubali kuhuska, wamatumbi wa bara tunakubali kuwa tulihuska, why wamatumbi wa visiwani wabadili history kwa interest za dini?.
 
Yaani mtu mweusi tii, ana pua pana, lips pana na nywele fupi ngumu anajiita Mwarabu kama huyu FaizaFoxy wa humu

Kisa wameletewa Uislam na kuwa Waislam wanajiona sio watu weusi tena
Muarabu asili yake sio mweupe.Alitokea Afrika,akaenda nchi za mashariki ya Kati,kule akaanzisha maisha,walipoletww watumwa kutoka Ulaya ya mashariki(weupe),ndio wakaoana na Hawa watu weusi(waarabu),na kupatikana waarabu weupe.Asili ya muarabu ni mweusi,na ni watu kutoka Afrika,hata hilo jina la Afrika,ni neno linalotokana na mfalme,wa asili hiyo,aliyewahi kutawala Afrika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok if that is what you want nashauri pambanieni kombe mjitenge after all sijawah kuona mchango wa kata ile kwa hili taifa nadhan mwalimu aliwaunganisha tu ili wamatumbi waliochukuliwa zama zile wawe na access na kisarawe for free unless otherwise huu usiono wetu ni very parasitic na vìctim ni Tanzania
 
Definition ya sasa ya Uarabu haiangalii rangi, Sudan kuna watu weusi tii na ni Waarabu. Kwa sasa ukiongea Kiarabu na kuwa na mila na tamaduni za kiarabu wewe ni mwarabu.
Na muarabu asili yake ni mweusi sio mweupe,weupe umepatikana baada ya kuoana na watumwa kutoka Ulaya ya mashariki,walioletwa na wazungu wa magharibi,mashariki ya kati.Hawa waarabu(weusi),walioana na wazungu wa mashariki(watumwa),ndio wakikapatikana kizazi kingine cha machotara(wazungu na waarabu).Ambao hawakuoana na Hawa wazungu,wapo mpaka leo,ni weusi sio weupe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
swala hapa si kuhusika ama kutohuska, swala hapa ni kwamba:, ni kwanini wawatoe waarabu kwenye list ya uuzaji na ununuaji watumwa?.
wazungu wanakubali kuhuska, wamatumbi wa bara tunakubali kuwa tulihuska, why wamatumbi wa visiwani wabadili history kwa interest za dini?.
Hiyo historia wewe umeisoma wapi ya kuwa waarabu wametolewa kwenye biashara ya utumwa? Unao ushahidi wa unayoyazungumza? Maana historia ya Tip Tip iko kwa maandishi yake mwenyewe lakini wewe unasema vingine.
 
huyo tip tip unamjua wewe and the rest ila kwa wazanzibar tip tip wanaemjua hakuwai kujihusisha na biashara ya utumwa.
Alafu, unauliza wapi kwa maana ya kutaka kutajua eneo la sosi ya maelezo yangu ama unakusuduia nini kuniuliza, wapi?.
 
Na oman wazanzibari na weusi kibao wapo na wana status kubwa tu kama hujui uliza utaoneshwa na kuambiwa.
Oman ya wapi hio,

Watu wengi hususan wa zenji wanaofanya kazi huko nchini Oman, hio video wamevamia ubalozi wa Tanzania nchini humo wakiomba kurejeshwa Tanzania kufuatia Mateso makali wanayoyapata toka kwa waajiri wao nchini Oman. Kwenye video ni wafanyakazi hao wakilazimisha kuingia kwenye jengo la Ubalozi wa Tanzania, mjini Muscat.

😂 😂 watu mrudi tu kuku kwenu, alafu wengi ambao hamna visogo mna ndugu zenu huku kama kina stan bakora hawanaga visogo
 
Kila mmoja anafahamu, tunaposema Chotara kwa muktadha wa mada yako, basi ni yule ambae mzazi wake mmoja ni mweusi na mwingine Mwarabu!
Mkuu nimeshaandika kwenye maada kwamba kuna mateso wtumwa walipitia ikiwemo, waarabu kuwabaka wanawake, siaki kuelezea zaidi maana ni maumivu tu.

Muarabu ni huyu wa kwenye picha ila cha ajabu unakuta mtu wa zenji ngozi ni dark, pua yya kiafrika, n.k amekomaa yeye ni muarabu 😂 😂 😂

1634310940918.png
 
huyo tip tip unamjua wewe and the rest ila kwa wazanzibar tip tip wanaemjua hakuwai kujihusisha na biashara ya utumwa.
Alafu, unauliza wapi kwa maana ya kutaka kutajua eneo la sosi ya maelezo yangu ama unakusuduia nini kuniuliza, wapi?.
Source of information ndiyo ninayotaka. Mimi pia natoka visiwani.

Of course Tip Tip mwenyewe hakusema kwenye kitabu chake kuwa alikuwa akifanya biashara ya watumwa, lakini walikuwa wakipita vijijini na kuua watu kwa ajili ya biashara ya meno ya tembo ambayo ndiyo ya kwanza, wale mateka ndiyo akiwachukuwa.

Waingereza na Wabelgiji (upande wa Congo) ndiyo walioandika kuhusu yeye kufanya biashara hiyo.
 
Mkuu nimeshaandika kwenye maada kwamba kuna mateso wtumwa walipitia ikiwemo, waarabu kuwabaka wanawake, siaki kuelezea zaidi maana ni maumivu tu.

Muarabu ni huyu wa kwenye picha ila cha ajabu unakuta mtu wa zenji ngozi ni dark, pua yya kiafrika, n.k amekomaa yeye ni muarabu 😂 😂 😂
Biashara ya utumwa inaendelea hadi leo hii na huko Ulaya ndiyo imeshamiri kabisa. Hivi wazungu walikuwa hawawabaki wanawake? Hebu soma historia vizuri utaelewa kwa upana ubaya wa biashara hii. Siyo kwa waarabu, waafrika wala wazungu wote ni wabaya na wamefanya mengi tu hapa Afrika na duniani kwengine.

Wacha kuwa biased kwa chuki zako tu. Naona unakereka sana na Wazenji hebu tafuta babu zako waliokuwa wakiwauza mabibi zako kwa hao waarabu ndiyo uwalaumu.
 
Mkuu nimeshaandika kwenye maada kwamba kuna mateso wtumwa walipitia ikiwemo, waarabu kuwabaka wanawake, siaki kuelezea zaidi maana ni maumivu tu.

Muarabu ni huyu wa kwenye picha ila cha ajabu unakuta mtu wa zenji ngozi ni dark, pua yya kiafrika, n.k amekomaa yeye ni muarabu 😂 😂 😂
Mbona unasogeza magoli?! Wewe umezungumzia machotara!

Sijawahi kusikia popote pale watu weusi Zanzibar wakijiita Waarabu, ingawaje mienendo yao inaweza kufanana na Waarabu, sawa na sie wengine ambao mienendo yetu inaendana na wazungu!!!

Lakini tukija kwa Machotara, hao sitashangaa wakijiita Waarabu, na of course, wengi hupenda kutambulika hivyo!!

Hata hivyo, bado swali linarudi palepale! Machotara, kwa muktadha huu ni mchanganyiko wa damu ya Mwarabu na Mtu mweusi bila kujali kama ni kupitia ubakaji kama unavyodai, au vinginevyo!!

Sasa kama ni mixer ya Mwarabu na Mtu Mwenyeusi, kwanini kwako unaona huyo hana sifa ya kuwa Mwarabu lakini anastahli kuwa black?
 
Oman ya wapi hio,

View attachment 1975392

Watu wengi hususan wa zenji wanaofanya kazi huko nchini Oman, hio video wamevamia ubalozi wa Tanzania nchini humo wakiomba kurejeshwa Tanzania kufuatia Mateso makali wanayoyapata toka kwa waajiri wao nchini Oman. Kwenye video ni wafanyakazi hao wakilazimisha kuingia kwenye jengo la Ubalozi wa Tanzania, mjini Muscat.

😂 😂 watu mrudi tu kuku kwenu, alafu wengi ambao hamna visogo mna ndugu zenu huku kama kina stan bakora hawanaga visogo
Fake news na sijui kama sio video ya wakati wa corona hii, unaweza ukaweka source?
 
Pole sana kama na wewe ni miongoni mwao,sikukusudia kukuumiza.
Una hasira na vitu ambavyo havina impact yo yote kwenye maisha yako. Bahati mbaya nyinyi wabara muna fikra kwamba kila muarabu lazima awe mweupe na nywele za singa, kitu ambacho siyo sahihi.

Sisi tunazijua familia ambazo babu zao walitokea Omani kabisa lakini ni weusi, na wengine wamezaliwa na wazazi waarabu lakini wametokea kuwa weusi kwa hivyo siyo ajabu.

Na anayejibandika kabila la uarabu pia tunawafahamu vizuri.
 
Back
Top Bottom