Kwanini wazanzibari wengi weusi na machotara wanaikana asili yao

Katika sehemu mbali mbali nimeona wazanzibar weusi na machotara wakikataa asili yao ya kutokea huku bara, sasa sijajua wanaukataa ukweli kwanini.

Hapo zamani wafanya biashara wa watumwa walifika visiwa vya zanzibar na kulikuwa na watu wenye asili ya kibantu wachache kwenye visiwa hivyo, hawa wafanya biashara wakaanza kuwatumia machifu na mamwinyi kuwauzia watumwa katika jamii zao na kisha kuwasafirisha kwenda nchi nyingine,

Kwa kuwa idadi yao ilikuwa ni ndogo, ikabidi wafanya biashara hao waje huku bara kutafuta soko jipya la kununua watumwa.

Sasa huku kwetu kulikuwa na makabila yalikuwa madogo ama hayana majeshi yenye nguvu, haya makabila mara nyingi yalikuwa yakipigwa basi mateka wa vita na wakimbizi waliokamatwa walikuwa wakiuzwa kwa wafanya biashara wa watumwa, Hata pale makabila makubwa yenye nguvu yalipopigana basi mateka na wakimbizi waliuzwa kwa wafanya biashara hawa.

Baada ya kuuzwa kwa wafanya biashara hawa, walisafirishwa kwenda zanzibar lilipokuwa soko mojawapo maarufu la watumwa walionunuliwa kwa bei ya juu na kupelekwa kufanya kazi amerika ya kusini, afrika ya kaskazini, n.k

Sasa kuna kipindi kilifika, kukawa na mashamba ya karafuu hapo zanzibar na ikaonekana ni vyema kutumia watumwa hao waliofika hapo zanzibar na kuwatumikisha katika mashamba badala ya kuwauza wote, Kwa hio baadhi wakifika zanzibar waliendelea kuuzwa kwenda nchi nyingine ila wengine walibaki katika mashamba ya karafuu.

Walikuwa ni ma elfu waliotumikishwa kwenye mashamba hayo, mazingira ya kazi yalikuwa magumu sana. Kazi zilifanywa kwa mijeredi, Watu walitukanwa, wengine kuuawa, wanawake walibakwa na kuzaa machotara, matibabu yalikuwa ya hali ya chini, n.k

Hata lugha zao asili walizotoka nazo huku , wengi wakaacha kutumia kabisa na kugeukia kiswahili na pia wengi waliacha kutumia majina yao ya ukoo waliyotoka nayo huku ikabidi waanza kutumia majina ya huko zanzibar, Wengi lugha yao ni kiswahili, lugha za kikabila ni shughuli pevu kuzikuta

Ni miaka mingi ilipita ya manyanyaso haya, ila kufikia mwisho ya miaka ya 1800, Muingereza alishinikiza kukoma kwa biashara hio haramu na hapa ndipo pakawa na nafuu,
Ni kama wamarekani weusi wasivyojiona waafrika tena. Ni athari za makovu ya utumwa ambayo hutweza asili na utu wa mtumwa
 
huyo tip tip unamjua wewe and the rest ila kwa wazanzibar tip tip wanaemjua hakuwai kujihusisha na biashara ya utumwa.
Alafu, unauliza wapi kwa maana ya kutaka kutajua eneo la sosi ya maelezo yangu ama unakusuduia nini kuniuliza, wapi?.
Tip tip...

Alikuwa manju wa kukokota watumwa kutoka mrima..

Mpaka nchi jirani akiwatoa .. ...historia hiyo ipo na kizazi chake kipo na hawakatai...
 
Kuna jamii nyingi za Kigiriki middle east, kama hufahamu wewe haimaanishi hicho kitu hakipo. Egpty, Iraq, Lebanon etc Zipo Jamii zao na jamii nyengine ambazo asili zake ni Ugiriki.

Na pia Wagiriki wa leo DNA zao hukosi levantine ancestry.

Wagiriki wametawala na Kutawaliwa na Middle East.

Na hio term Mzungu ni Ya juzi juzi tu ila Wagiriki, Spain, Waturuki wanafanana na watu wa Middle East Kuliko Wazungu aka blondes.

Term ya mzungu kwa sasa haina utofauti na unaposema mwarabu, ni Cultural na geographical term zaidi kuliko asili.
Yaani Iraq wafanane na Wagiriki? Wagiriki wenye nywele nyekundu na pua ndefu+macho ya paka? Hebu acha kuota kaka, Wagiriki ni Wazungu pure, wanaofanana na Wamisri na Waarabu wengine labda ungesema Waital, si Wagiriki.
 
Naona mnalazimisha mfanane na masters wenu..ngozi nyeusi ilipoletewa dini hasa za visiwani hadi akili zilowatoka..ni kama misukule.

#MaendeleoHayanaChama
 
Yaani Iraq wafanane na Wagiriki? Wagiriki wenye nywele nyekundu na pua ndefu+macho ya paka? Hebu acha kuota kaka, Wagiriki ni Wazungu pure, wanaofanana na Wamisri na Waarabu wengine labda ungesema Waital, si Wagiriki.
Timu ya taifa ya ugiriki
athens-greece-15th-nov-2018-commemorative-photo-of-greek-national-football-team-credit-dimitri...jpg

Timu ya basketball ya Ugiriki
images (1).jpg



Tafuta nchi yoyote ya Levant ya Middle East wapo hivyo hivyo

Palestine
images (2).jpg


Syria
players-of-the-syrian-national-football-team-lineup-ahead-of-the-picture-id1131713413.jpg


Kuhusu macho ya paka wamejaa kibao North middle east maeneo ya Levant na Iran watu wenye colored eyes ni wengi kama sio majority.

main-qimg-161cacc4157479032c4e3638ed308f40.jpg
 
Bwana mkubwaaa..kwan ww n mwarabu? Mana naona unatetea sanaa...wale wanaoishi zenj sio waarabu ni vibaka tu waliozaliwa kwa kubakwa wamama wakiafrica na waarabu waliokuwa wanafanya biashara za watumwaa.

Kwaiyo jamii iliyo tofauti na waarabu hawana haki ya kuwatetea waarabu!!!! Nisiwe mnafiki na kuogopa mtu hapa kwakuwa naecomment nae ni m2 asie muisilamu,,Mimi ni muisilamu, na muisilamu ndugu yake muisilamu bwana, sasa unategemea nini!!!! Unalazimisha niwe upande wako hata kama huna uhakika wala ushaidi wowote wa hichoo unachodai!!! Acha ubaguzi mzee.
 
So unaamini kabisa kabla ya waarabu zanzibar kulikua na kima tu hakukua na watu?

Unajua kwanin waarabu walipaita hapo Zanzibar

Back to your point wanakataa kuhusishwa na bara sababu wanataka kujitenga na hilo likifanikiwa majority watalia na kusaga meno huku wakimkumbuka kocha nyerere na minority wenye miziz mascut wataishi kama paradiso
Damu ya kichotara hii!! Mungu aliwahi sema ''kamwe Udongo na chuma havita shikamana!!'' rejea ndoto ya Nabii Daniel!! cha Mungu kitabaki kuwa pure tu! yaani waafrica wana israel original!!

machotara hawataki kuonekana km waafrica hivi wanahisi kuna kitu km dhambi kinawachoma! mwilini japo hata huko Muscat hawatakiwi! lkn wao wanona ni bora tu!...hata huku wakija huitwa waarabu yaani hawakubaliki kotekote!

wakienda uarabuni wanaitwa kafir! duuu! hata uzae nao maradufu ukafiri hauliishi! wanahangaika sana! Ile dhambi ya ubakaji utesaji, ubaguzi kamwe haita waacha salama!!

machotara wote zanzbar ni matokeo ya Bibi zao kubakwa, na bana kuba arab huo ndo ukweli! sasa mtu aliye bakwa alistuka sana mtoto anaye zaliwa hapo lazima awe wenge bin mawengewenge!!

CHunguza machotara weeengi wa zanzbar akili zao km haziko sawa vile!!!
 
kimsingi wakikimbilia oman wanapokelewa na hawabaguliwi kama huku.
Umetamka vizuri mpaka nimekupenda!! Mtu kwao/kwenu lazima upendwe tu!! sasa kwa nini mnakataa kwenu wkt mnapendwa ivo??....sisi huku hatuwafichi tutawapiga tu bakora!

kaeni kwenu kila mtu kwao!! basi ukija uje kwa hishima km mtaliii!! ukimaliza nenda zako! sasa muone mlivyo wa ajabu ndg zenu wanawataka lkn nyie hamuwataki kwa nini nyie watu???
 
Back
Top Bottom