Kwanini watu weusi waliozaliwa nje ya bara la Afrika wanakana asili yao na hawataki kuitwa "Black Africans"

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,048
49,731
Hii kama sio muendelezo wa Akili mbovu za mtu mweusi(Black Africans) ni nini?

Licha ya Historia kuoneshwa wazi kwamba watu weusi waliozaliwa Mataifa mengine Nje ya Bara la Afrika kwamba mababu zao walipelekwa utumwanj kwenye Nchi waliko na ndio ikapelekea kizazi Chao kuwepo huko ila wao Sasa hawataki kutambuliwa kama black Africans badala yake wametunga majina mengi ya kisengerema eg Afro Americans,Afro Brazilians nk.

Hivi inawezekana Watu weusi waliumbwa na ka laana Fulani kiasi ya kujataa Asili na utambulisho wao licha ya rangi ya ngozi Yao kuwatambulisha Asili Yao?.

Ni utumwa kukataa Asili Yako.Umewahi sikia Wayahudi au watu wa Mataifa mengine wanakataa Asili Yao? Utaahira.

View: https://youtu.be/E-V8lYK7wpw?si=L36ynPp8jT7Ia2OG
 
Hata wewe ni kwasababu umezaliwa na kukulia humohumo! Ukiwaangalia waafrika ukiwa nje ya Africa utaona kama ni mapunguani fulani yasiyokuwa na akili! Angalia kama Rais wetu SSH nchi imejaa rasilimali yeye kutwa nzima yuko kwa waarabu anatembeza bakuli! Anaenda kukopa billion 32! Angalia wizi wa mali zetu wenyewe wanakwiba hata mahali pa kuvipeleka vya wizi hawana. Angalia madalali wa mafisadi wanavyoihujumu nchi yao! Angalia Sudan, Congo, n.k. wako sahihi kabisa!
 
Upo sahihi kbsa mkuu
 
Wewe ni mjinga kama sio mpumbavu na punguani kama hao wanaokana Asili Yao.

Hakuna mahala Rais anaenda kuomba Bali kufungua fursa ya biashara.

Ila Kwa kuwa una akili za kimaskini na hujitambui Wala hujui jinsi ya kufanya biashara za Kimataifa ndio maana unaongea ujinga.

Mwaka Jana Rais Samia alifanya ziara Saudia mojawapo ya faida yake ni kufungua soko la nyama na wanyama hai na Sasa Saudia ndio inaongoza Kwa imports ya nyama Tanzania.
 
Hakuna anaependa kujihusisha na maskini, Africa tungekua matajiri lazima wangetushobokea.
Kwa hiyo Kwa sababu Huwa wanasema Dodoma Kuna omba omba wewe Ukiwa ni WA Asili ya huko na sio omba omba utakana Asili Yako?

Wewe utakuwa ni mtumwa.
 
Hata wewe ni kwasababu umezaliwa na kukulia humohumo! Ukiwaangalia waafrika ukiwa nje ya Africa utaona kama ni mapunguani fulani yasiyokuwa na akili! Angalia kama Rais wetu SSH nchi imejaa rasilimali yeye kutwa nzima yuko kwa waarabu anatembeza bakuli! Anaenda kukopa billion 32! Angalia wizi wa mali zetu wenyewe wanakwiba hata mahali pa kuvipeleka vya wizi hawana. Angalia madalali wa mafisadi wanavyoihujumu nchi yao! Angalia Sudan, Congo, n.k. wako sahihi kabisa!
Duh🤣🤣🤣🤣🤝
 
Kwa hiyo Kwa sababu Huwa wanasema Dodoma Kuna omba omba wewe Ukiwa ni WA Asili ya huko na sio omba omba utakana Asili Yako?

Wewe utakuwa ni mtumwa.
Interesting choice ya example! Nimezaliwa Dodoma na sitoi hela kwa kina matonya(ombaomba ) coz wengi ni wavivu or ni mradi wa mtu behind the scene.
Sio utumwa, nimeishi na African Americans, black british hivyo ndo wanavyofeel kuhusi Africa.
 
Hakuna anaependa kujihusisha na maskini, Africa tungekua matajiri lazima wangetushobokea.
Kwa hiyo Kwa sababu Huwa wanasema Dodoma Kuna omba omba wewe Ukiwa ni WA Asili ya huko na sio omba omba utakana Asili Yako?

Wewe utakuwa ni mtumwa
Interesting choice ya example! Nimezaliwa Dodoma na sitoi hela kwa kina matonya(ombaomba ) coz wengi ni wavivu or ni mradi wa mtu behind the scene.
Sio utumwa, nimeishi na African Americans, black british hivyo ndo wanavyofeel kuhusi Africa.
Sasa how comes ukand Asili Yako kisa huko kwenye Asili Yako Kuna umaskini? Ni zaidi ya utumwa
 
Back
Top Bottom