Kwanini watu weusi wana IQ ndogo sana?

Kwanini watu weusi wana IQ ndogo sana?

Wadau naomba tujuzane ni kwanini sisi watu weusi IQ zetu ni ndogo sana kuliko hawa wenzetu wenye ngozi nyeupe? Je ndiyo jinsi mwenyezi mungu alivyotuumba au aina ya maisha yetu tunayoishi ndiyo chanzo?
Au kama kuna sababu zozote za kisayansi naomba tujuzane.

YOUNGBLOOD
1cc6d28eb8e235a7d8aec86c58ca57f3.jpg
Hii ripoti ya kibaguzi.Wametarget nchi zenye watu weusi.Hayo yote inatokana na mifumo mibovu ya elimu iliyoachwa na wakoloni ndo inatumika mpaka leo.Wakoloni wametupandikiza ideas ambazo mpaka ufikirie vya kutosha ndio ugundue uweze kutoka kwenye hali hiyo.Wakoloni wamebadili mifumo kutoka COLONIALISM kwanda MIND CONTROL na watu hawalijui hilo.
 
nchi zenye vita za kiafrika ndo zina IQ ndogo kweli? Duu hii ni shida.Waafrika tuamke tuache kutegemea ripot kutoka ulaya.
 
Mwenyezi MUngu wakati anagawa urithi wa duniani, mwafrika alikuwa gesti, katoka nduki kufika akakuta MUngu kashamaliza kugawa karama zote, jamaa likaanza kulia sasa kwa hasira ikabidi liondoke na ngoma iliyokuwa inatumika kupigia la mgambo!!
 
Fine, tuliletewa elimu ili tuendelee kuwa vibaraka na tuendelee kutawaliwa; Je ni miaka mingapi tangu mkoloni aondoke?
Tumefanya Nini ktk elimu ili kuondoa makando kando aliyopandikiza mkoloni?
Hapo ndo utajua IQ zetu ndogo ...
Kwa nini hatujabadilisha chochote katika elimu tuliyoletewa?

Maana kwa wenzetu kila siku wanavumbua vitu... wanastadi mifumo ya viumbe mbalimbali na kuitumia kutengeneza na kuboresha vifaa na vyombo mbali mbali.
 
Mkuu kuna kitu ambacho naona bado waafrika tunakosea hapo kwenye elimu, mfumo wetu wa elimu umekaa kama script ya movie yaani una muandaa mtu ku digest kile anachofundishwa darasani kwanzia ngazi ya awali mpaka ana maliza chuo na hatimae kwenda kufanya kazi inayohusiana na kile alichofundishwa huko, na sio kumuandaa mtu kutumia kile alichofundishwa darasani kwa ajiri ya kupanua wigo wake kifikra hili kufanya vitu ambavyo ni exptional.

Na ndio maana tunaona nchi kama nigeria,egypt,south africa pamoja na kuwa na idadi kubwa ya wasomi lakini hatuoni innovators wakitoka katika nchi hizo kwa sababu mifumo yetu ya kielimu ina limitations ambazo zina mfanya mtu aconcetrate zaidi na kile anachosomea na ina kuwa ngumu kuwaza beyond ya kile anachosomea.
Kwanza kabisa mtu ulitakiwa usomee kile unacho kipenda na kile kipawa/talent yako...

Unasoma ili uje kuajiriwa ktka kazi itakayo kulipa mshahara mkubwa hata kama si kazi uipendayo.

Ukifanya kitu unacho kipenda utakuwa bidii na kufanya uchunguzi ili kuboresha ukifanyacho.
 
Hapo ndo utajua IQ zetu ndogo ...
Kwa nini hatujabadilisha chochote katika elimu tuliyoletewa?

Maana kwa wenzetu kila siku wanavumbua vitu... wanastadi mifumo ya viumbe mbalimbali na kuitumia kutengeneza na kuboresha vifaa na vyombo mbali mbali.
Mkuu sio IQ ya mtu mweusi ni ndogo tatizo ni MIND CONTROL(sumu itakayobaki mpaka mwisho wa dunia) pamoja na MIFUMO MIBOVU YA ELIMU waliotufanyia hawa na wamefanikiwa wanatutawala mpaka leo.Mtu anaona ana uhuru kumbe hana uhuru wowote.Unakuta lecture anatumia notes zake alizosoma(miaka ya 80) kufundishia unadhani kuna maendeleoa hapo.
Serikali haina fungu la bajet katika SCIENCE AND TECHNOLOGY.
 
Hiyo pia ni aina nyingine ya kueneza whites supremacy! Kipimo cha IQ sio sahihi kwani maswali mengi ni kwa lugha ya kingereza hàlafu yana cover mostly tamaduni zao tu! Hiyo inawapa wao faida zaidi!
Mbinu za waafrika za kutumia elimu yao kurahisisha maisha kiujumla kwenye ku exploit natural resources zinazopatikana kwenye mazingira yao na kuboresha maisha ya binadamu kati ya race zote africa ndio wameonyesha uwezo mdogo sana...hii ina sum upkuwa wana IQ ndogo...
 
Kwanza kabisa mtu ulitakiwa usomee kile unacho kipenda na kile kipawa/talent yako...

Unasoma ili uje kuajiriwa ktka kazi itakayo kulipa mshahara mkubwa hata kama si kazi uipendayo.

Ukifanya kitu unacho kipenda utakuwa bidii na kufanya uchunguzi ili kuboresha ukifanyacho.
asilimia 90% ya vijana waliopo vyuoni wanawaza ajira.Kufikia mwa ka 2020 ajira zitakuawa hazionekani kama KAKAKUONA
 
Brainwashed... Not everything is what it seems to be...They are so busy in making black individuals feel inferior, and they are succeeding..... kwa maelezo yako.
Its the reality that we are inferior.... they are not making us inferior but we are!

Angalia maisha yetu yalivyo duni .. kila kitu hakiendi sawa..

We are economically, socially, politically and psychologically poor and also health wise poor.
 
Hapana kutambua wap tunakosea ndio jambo jema kuliko kulalamika kunadidimizwa japo kuna sehem kweli tunatendewa hayo.
Mfano mdogo naamin sote tumepita shule je wanafunz wengi tunasoma kuelewa au kufahuru mtihan
Hapo ikitokea somo halina mtihan hata kama linaumuhim bas watu wengi wanaweza wasijishughulishe nalo kabisa.
Ndio maana kuna baadhi ya watu wanaelimu kubwa unashindwa kuona utofaut wake na mtu mwenye elimu ya kawaida.
Lazima tujue kudocument idea zetu na kuziendeleza hapo tunaweza songa mbele
Tunasoma vitu visivyo vutia ndiyo maana ... na manotes mengi yasiyo ya maana kabisa ...

maprofesa vyuoni wanafurahi kuona watu wanashikwa(kusapu) hapo wao wanajiona vigongo(inteligent) kwa hilo badala ya kuwazia namna gani wanafunzi wake watafaulu.

Pia hebu jaribu kuangalia jamii zetu jinsi watu wanavyofurahia mtu akipata matatizo kuliko mtu akipata mafanikio...

Mtu akipata tatizo anatakiwa asaidiwe hata kwa mawazo tu kila kitu kitaenda sawa lakin ukieleza shida zako kwa watu wanakusema vibaya na kukutenga kuliko kukusaidia. ( msaada si lazima kipesa ila mawazo na suluhisho ndo muhimu)
 
Its the reality that we are inferior.... they are not making us inferior but we are!

Angalia maisha yetu yalivyo duni .. kila kitu hakiendi sawa..

We are economically, socially, politically and psychologically poor and also health wise poor.
When u say "we are" r u talking abt u and ya family or u r talking abt the whole black race? If u r truly believe that, then there is no treatment for u.
 
Naona IQ za sasa tunaangaliana sura na Rangi, ukiwa mweusi zaidi ndo hamnazo kabisa au
 
Pamoja na hilo umesikia wapi Nabii alikua MTU mweusi iwe kwenye biblia au msahafu hapo ndipo utakojua white man wapo na Baraka zao,hata bustani ya edeni aliumbiwa MTU mweupe sio black man.check hiyo
 
Binadamu wote ni sawa, hakuna mwenye Iq ndogo ama kubwa. Kama mazingira uliyokulia unakula ugali tu kila siku hakuna matunda yaan hauli balanced diet basi uwezekano wa kuwa na akili nyingi ni nadra. Nina video ya wazungu wanabishana kuhusu hili ningekuwa na bando ningewarushia hapa
 
Kwanza kabisa mtu ulitakiwa usomee kile unacho kipenda na kile kipawa/talent yako...

Unasoma ili uje kuajiriwa ktka kazi itakayo kulipa mshahara mkubwa hata kama si kazi uipendayo.

Ukifanya kitu unacho kipenda utakuwa bidii na kufanya uchunguzi ili kuboresha ukifanyacho.

Sahihi kabisa kiongozi.

Na ndio maana hatuna wataalamu wa uhakika karibia kwenye taaluma zote, sababu wengi wao waliamua kubobea kwenye fani zao sio kwa mapenzi toka moyoni tangu awali bali ni kwa shinikizo flani, na ndio maana ni kawaida kukuta mtu ana first class ya mechanical engineering lakini hawezi hata ku fix cooling and exhaust system ya generator.
 
Back
Top Bottom