Kwanini watu weusi wana IQ ndogo sana?

Kwanini watu weusi wana IQ ndogo sana?

Mada ndefu lakini haina conclution mujarabu.
Waafrika lazima tukubali bila kumumunya maneno kuwa akili zetu ni za kutiliwa mashaka, tuna akili duni. Akili zetu zinafanana.
Kama alivyosema kaburu Pieter Botha rais wa Afrika kusini ya kibaguzi kuwa, waarabu na waafrika ni sawa na wanyama. Akasema ukitaka kuthibitisha ukweli huu, wape silaha uone jinsi wanavyouana wao kwa wao!
Je alisema uongo kwa sababu za kibaguzi?
Maneno ya kaburu Botha bado yanaishi, kwa kuangalia hali ya mambo ilivyo sasa katika nchi za kiarabu na nchi za Kiafrika.
Vita vya wenyewe kwa wenyewe vyenye mrengo wa kutetea matumbo!
Umewahi kujiuliza vita hivi katika bara la Afrika na katika nchi za kiArabu ni vita vya kutetea nini?
Haya, angalia viongozi wanaotawala nchi nyingi za Kiafrika wanatawala kifalme hawataki kuachia ngazi kama katiba zao zilivyoelekeza.
Waliopo madarakani wanakwiba matrilioni ya kula kulala na familia zao hata vizazi vi5! Ubinafsi zaidi ya unyama, majina ya watoto wao yanasalia kwenye ofisi za serikali miaka na miaka kwa njia za upendeleo.
Mifano hiyo ishushe kwa viongozi wenye madaraka ya maamuzi serikalini jinsi wanavyoishi na wanavyohujumu mali za umma!
Hapo wazungu wakidai tuna mapungufu ya maumbile kwenye bongo zetu, wanakosea?
 
tatizo letu siyo uwezo wa kiakili ndo maana mwenyewe umeonesha katika karne ya 16 tulikuwa sawa na Ulaya. Pia Chuo kikuu cha Kwanza kilikuwa Afrika, bila shaka ni Timbuktu kule mali. Wakati sisi tuinajenga Prymids kule Misri wazungu walikuwa katika ushamba. Hata wana Sayansi wa anga wa mwanzo kabisa kabla na kipindi cha Yesu walikuwa Waethiopia. tatizo letu ni kalaan fulani hivi kalikowaingia viongozi wetu hasa baada tu ya Uhuru, walikuwa wabinafsi kupita kiasi, wakageuka kuwa vibaraka wa Wazungu. Kwa sula la kutawaliwa hata Wazungu walitawaliwa. Mweingireza aliitawala Urusi, China, Japan, Canada, USA na hata Australia. Tatizo letu ubinafsi ulipitiliza ikichangiwa na mfumo mbovu wa Elimu kwa sasa. Ipo siku tutaamka..
Huo ndiyo ujinga wenyewe..
Kuwa vibaraka wa wazungu ndiyo ulofa wenyewe.
Kuwa na viongozi wajinga na bado tukakubari kuendelea kutuongoza ndiyo upimbi wenyewe.
Yani hakuna utetezi unaomake sense zaidi ya kwamba ni ulofa
 
Usijali! hata Ulaya walipitia hatua kama hii ya ulofa. Mambo yaki tyt sana tutazinduka.
 
Ni kweli sababu hata kujitawala wenyewe hatuwezi bora tuitwe hivo
 
ukitaka kupima utafiti huo kwamba ni kweli au uongo fikiria kuhusu kujenga uwanja wa ndege Chato. jibu litakutosheleza nadhani
 
Wanaompinga Wanataka tusijitazame upya ,tusiangalie wapi tunakosea tuendelee kuwa mbumbumbu kwa kufuata Yale yote tunayoletewa.
E.g formal education tunayoipata inamapungufu makubwa sana Zaidi ya kutengeneza kizazi tegemezi.
Tusijilaumu sana we have been Trapped in the cycle of poverty
 
Hakuna ubishi wowote kuhusu hili! Ni ukweli kwamba wazungu wana akili nyingi kuliko watu wa bara la afrika! Hivi kweli wanaume watatu wanavamia kijiji chenye watu zaidi ya elfu mbili na kuwapiga wanaume wa kijiji hicho na mwishowe kuwabaka wake zao! Hii inaonesha ni jinsi gani tulivyo na akili ndogo! Na hata watakaokuja kuupinga ukweli huu...watatumia elimu ya mzungu na kifaa cha mzungu kutokukubaliana na huu ukweli.
 
Kwenye baadhi ya maelezo yako hapo kuna vitu vimepotoshwa kidogo na wanahistoria,.kusema karne ya 16 Africa ilikuwa sawa na Europe ni uongo. Karne hiyo wanalinganisha Meli zilizokuwepo Europe na mitubwi iliyokuwepo Africa kusema techolojia ilikuwa sawa. Pia kwenye elimu kuna vyuo vikuu vinatajwa vya Azhar na Timbuktu, hivi vilikuwa ni madrassa na siyo vyuo tunavyovijua leo, hii ni kutokana na ukweli mwarabu hakuwa na background ya elimu, bali dini na biashara. Yaani nyumbani kwake ashindwe kujenga secondary ugenini akajenge chuo kikuu?
Tukitaka kupiga hatua lazima tukubali ukweli kwanza ndio tujue tunaanzaje kupiga hatua.
 
Hapana si kweli kama tuna akili ndogo, na hilo linajidhihirisha hata tukienda kusoma kwenye Vyuo vyao au wanapokuja kwenye vyuo vyetu tunawakimbiza sana..,
Tatizo kubwa linalotutafuna Waafrica ni Ubinafsi, Kujilimbikizia Mali, Rushwa na Ulevi wa Madaraka!
 
Mnakumbuka documentary ya mapanki ilivyoshadadiwa kukanushwa na kuutangazia ulimwengu kiwa sisi ni wala minofu tu na mambo ya mapanki hatuyajui.
Waafrika tumejawa na unafiki sana. Na mtu akitaka kuusema ukweli huishia kitengwa na kuambulia maumivu.
 
Hapana si kweli kama tuna akili ndogo, na hilo linajidhihirisha hata tukienda kusoma kwenye Vyuo vyao au wanapokuja kwenye vyuo vyetu tunawakimbiza sana..,
Tatizo kubwa linalotutafuna Waafrica ni Ubinafsi, Kujilimbikizia Mali, Rushwa na Ulevi wa Madaraka!
Mkuu akili ndogo siyo unayosema wewe akili ya darasani, hapana.
Akili inayosemwa hapa ni akili ya kujitambua mustakabali wa utu wetu.
Hivi haujaona wasomi wazuri kabisa, lakini likija suala utu, yaani maisha kwa ujumla wanaambulia zero wakati kwenye masomo walifaulu vizuri?
Hayo uliyoyaeleza mwishoni mwa comment yako ndiyo hayi mambo yanayotendwa na sisi waAfrika na kupelekea wazungu watuone kuwa ni masokwe.
Mambo hayo yanafanywa na kupendwa na jamii yetu kwa ujumla kama waAfrika.
 
Mkuu nimekupata vema sana.., Kimsingi sisi Waafrica tumeamua kujitoa Ufahamu., ni sawa na Gari lililokosa Mwelekeo hivyo ngoja tutukanwe tu!
 
Nachelea kusema tunaakili ndogo, lakini naamini kunatatizo mahalifulani lililosababishwa na ustahimilivu wa ngizi nyeusi katika kupambana na hali ngumu za kiasili wanasema "a gift can be a curse if you don't use it well". Tumebarikiwa ngozi nzuri lakini tukabweteka, ugunduzi mkubwa kwa mtu mweusi ulikua moto
 
JAMES WATSON,mwanasayansi maarufu duniani na mshindi wa nishani ya noble katika tiba mwaka 1962,ameleta mjadala mkubwa kwa madai kwamba inaelekea mtu mweusi ana akili ndogo kuliko mtu mweupe.Kauli hiyo imeshikiliwa bango na wapinzani wa ubaguzi wa rangi kwa madai kwamba inamdhalilisha mtu mweusi.

Hata hivyo WATSON si mtu wa kwanza kusema hivyo isipokuwa yeye kaisema kisayansi zaidi.Siku za nyuma Waziri Mkuu mmoja wa Japan alipata kusema maneno kama hayo kwamba anatilia mashaka uwezo wa mtu mweusi.Waziri mwingine pia alishanukuliwa anasema hivyo.Wote baadaye waliomba radhi ila ujumbe ulifika

Chika Onyeani katika kitabu chake cha the capitalist nigger naye anashangaa ni kwanini mwafrika atukanwe namna hiyo na mawaziri wa Japan,lakini bado waendelee kununua bidhaa kutoka japan.Pia anasema jamii nyingi za watu WEUSI zinafanana kwa kiasi kikubwa.Kwa mfano ukikutana na mwamerika mweusi aliyezaliwa marekani au carribean au afrika kwenyewe bado wanatabia zilezile ambazo zinatia shaka kama kweli akili za mtu mweusi si ndogo kwa kiasi fulani.

Ukianza kuangalia matokeo mbalimbali yaliyotokea Afrika enzi za miaka ya nyuma utaanza kuwa na wasiwasi kuhusu hali ya uelewa wa mtu mweusi.Historia inaonyesha kwamba ,hadi karne ya 16 kiwango cha maendeleo kati ya nchi za Afrika na ulaya kilikuwa sawa

Tunaambiwa pia kwamba miaka ya 1960 baadhi ya nchi za Afrika zilikuwa zimeendelea kimaendeleo au sawa na nchi za Asia ambazo leo ziko mbali kimaendeleo.Bado unajiuliza ni wapi kwenye matatizo? Kwanini waafrika tuachwe kila leo?

Ripoti za umaskini duniani zinaonesha kwamba umaskini umepungua kwa kiasi kikubwa lakini kwa Afrika unaonyesha kuongezeka.Mbaya zaidi maskini wa Afrika wapo kwenye dimbwi zito ambalo si rahisi kujinasua.Utafiti huu unafanywa kulinganisha na nchi za India na China ambazo zina idadi kubwa sana ya watu

Ukipima baadhi ya kauli za hawa tunaowaita wabaguzi utagundua kuna ujumbe wanawasilisha.Ukichukua Tanzania kama mwakilishi wa Afrika utaweza kugundua haya.Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi lakini si nufaishi kwa mwananchi wake isipokuwa wawekezaji wanakuwa na mamlaka makubwa juu ya rasilimali hizi.Kuna mito,Madini na misimu lakini bado tunaagizia dawa kutoka nje.SHAME!!

Watu wanajilundikia mabilioni ya Fedha kwenye akaunti zao za benki zilizopo nchini au hata nje ulaya wakati shule ya AZANIA iliyoko katikati ya jiji kuu la nchi ina wastani wa tundu moja la choo kwa wanafunzi 300

Bado tunazipa likizo ya kodi kampuni kubwa huku tukifuatilia vikodi vidogo vidogo.Kampuni kubwa zinaruhusiwa kubeba hasara na kuipeleka kwenye mahesabu ya mwaka ujao kwa miaka KADHAA lakini hiyo hiyo kampuni inaendelea kufanya biashara.Hapa sisi ni wakusanyaji wazuri wa kodi au wakwepaji wazuri wa makampuni makubwa?

Inafaa tujiulize kunani kwenye akili zetu?Tunasema tuna mafuta lakini tukitaka kuyachimba tunamwita mzungu japokuwa tumekuwa tukizalisha wakandarasi na wanajiorojia kila mwaka.Lazima tujiulize kama elimu yetu ina mushikeli au la!Sasa hivi tunajigamba kuwa na vyuo vikuu 30 lakini bado tunaagizia vijiti vya kuchokonolea meno toka Malaysia. SHAME!!

Kabla ya kushika mabango na kuwalaani wabaguzi wa rangi lazima tujiulize kwanza ni wapi tumekosea na sababu za kukwama kwetu.Tusikimbilie kulaumu wazungu kwa kuleta ukoloni na ukoloni mambo leo.Malaysia na Ghana zote zilikuwa koloni za muingereza na zilipata uhuru mwaka 1957 kwa pamoja lakini leo hali ni tofauti.

Wamalaysia walikuwa wanakwenda Ghana kujifunza kilimo cha mawese. Leo hii Ghana wanajifunza kila kitu toka Malaysia kikiwemo kilimo cha mawese.Wazungu wanaopinga kauli za WATSON sio kwamba wanasikitika sana bali wanaonesha kukasirika usoni lakini moyoni wanasema ni kweli hawa wanaujinga wao mkubwa.Wanatutetea ili waendelee kutuvuna.Hawataki tukaechini na kujitathmini tulipoenda mrama.

Nachukia kuitwa kiumbe dhaifu hasa kiakili.Nachukia kwa sababu naupenda uafrika na WEUSI wangu.Nawapenda waafrika wenzangu.Nachukia wanapoambiwa kwamba wanaubongo dhaifu. Lakini nahisi kuna mahali kama watu WEUSI tumekosea

Kama mtu anaiba mabilioni ya fedha za umma kwenye nchi maskini na kuyaweka ulaya au kewekeza mahali popote,huku kukiwa na wananchi wanakufa kwa kukosa madawa hospitalini basi kuna ulazima wa kujiuliza tuliko na kasoro.Kama viongozi wanawaibia wananchi wao waliowachagua kuwawakilisha bila aibu yoyote inabidi tuhoji akili zetu.Kama wananchi wanaridhika na hila za viongozi wao bila ya kuchukua hatua madhubuti basi tuhoji akili zetu

JE? Watson aombe radhi

Hata kama Watson ataomba radhi kama mawaziri wa Japan atakuwa amepeleka ujumbe mzito kwa watu WEUSI kujichunguza.Huu ni ujumbe mzito kwa taifa letu la Tanzania.Mimi ni miongoni mwa wasioamini upuuzi wa James Watson, kwamba waafrika tuna akili ndogo.

Historia inaonyesha kwamba chuo kikuu cha kwanza duniani kilikuwa Afrika,kule Mali.Uvumbuzi wa hisabati ulitoka Afrika,hata mtu wa kwanza duniani anaaminika kuishi Afrika.Pia MAAJABU mengi yapo kule misri (pyramids)

Wapo waliokwenda mbali na kusema kwamba hata YESU KRISTO alikuwa mtu mweusi wa misri na kwamba ndiyo sababu SIMON WA KRENE,ambaye alikuwa mtu mweusi alimsaidia YESU kubeba msalaba.Ilikuwa ni huruma ya kuona mtu mweusi mwezake anateswa.

Jamani ni wapi tumekosea??

Sasa je,ni kweli watu WEUSI tuna akili ndogo??

Copied from @tanzania_yetu and Mwananchi
78243c5caeb32f1040cfe99f5efec71c.jpg
Nimependa sana huu uzi na ukitaka kuona Mwafrika ana akili ndogo suala kama hili haoni kama ni muhimu sio tu ana akili ndogo lakini Mwafrika mvivu sana kufikiri jambo ngumu linalotaka kupembua kwa kina halitaki na atalibeza na kuleta majibu mepesi. Waafrika tuna matatizo sana!!! Matatizo yetu yote yanatokana na sisi wenyewe lakini maskini sisi hata hilo hatulijui.
 
Mkuu watu wenye kuleta na kuchangia huu Uzi fikirishi ni wachache sana
 
Ilo halina shaka hata kidogo waafrika bongo zetu zinamatatizo upeo wetu mdogo kuliko wa mtu mweupe...
 
Back
Top Bottom