La mujar
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,586
- 1,795
Hahahaa.... Anza na -0Mkuu yangu naona iko poa maana
angalia yake pale ni negative
Naona mimi umenipendelea
Hahahaa.... Anza na -0Mkuu yangu naona iko poa maana
angalia yake pale ni negative
Naona mimi umenipendelea
Explain I think una pointMtu mweusi anaonekana ana akili finyu kutokana na sababu za kidini na kihistoria.over
Inakuwaje IQ kubwa zikawa zinajificha na ndogo kutamalakin? Kujua ukweli wa utafitu huo hihitaji kutumia mafwedha. Angalia membaz wa ccm na mtazamo wao kuhhsu taifaSidhani kama tuna IQ ndogo. IQ zetu ni kubwa sana tatizo zinaonekana ndogo kwasababu ya wachache waliopata nafasi kuwa na roho mbaya iliyopitiliza. Roho mbaya za wivu na visasi vinafunika ukubwa wa IQ zetu...
Mfano halisi ni hapa kwetu nyumbani... watu kama @munguwaDar a.k.a DB anaweza kufunika ukubwa wa IQ za watu milioni 4 wa Dar kwakuwa tu amepata nafasi ya kuonesha ubandidu wake hadharani...
Na huo ni mfano mmoja tu, kama si mambo ya kufanywa kama Lema, ningemtaja na mwingine tena... Lakini naogopa bwana yule si wa kujaribiwa.
Lakini mi nimeshika ile ya kwanza tu uliyosema.Hahahaa.... Anza na -0
Baada ya wakoloni kuondoka ikafuata Nyerere kuhakikisha hapinduliwi, watu hawalali njaa, umoja, huku akiwa hayupo tayari kuufuata ubepari.Fine, tuliletewa elimu ili tuendelee kuwa vibaraka na tuendelee kutawaliwa; Je ni miaka mingapi tangu mkoloni aondoke?
Tumefanya Nini ktk elimu ili kuondoa makando kando aliyopandikiza mkoloni?
Mfano wa IQ ndogo ni pamoja hoja kama yakkoMtu mweusi anaonekana ana akili finyu kutokana na sababu za kidini na kihistoria.over
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ukiingia weusi utakuwa wakati wa kulala au kupumzika, na ukiingia weupe wakati wa kuhangaika na pirika. Kwahio jibu lako lipo hapa watu weusi hatujaletwa duniani kuhangaika bali kupumzika tu. Na hao weupe ndio wapo na mahangaiko yao ya kidunia wakati sisi huku mabwanyenye tumetulia.
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
IQ ndogo unawajadili wenzakoKwa sbb sisi weusi tunapenda Ku deal na mambo mepesi mepesi kama vile kujadiri kwa muda mrefu CV ya MAKONDA wakati wenzetu huwa wanajadiri na kuyapatia ufumbuzi mambo mazito mazito sisi muda wote mawazo yetu yapo kwenye kujadili Papuchi na Chura tu.
Ha ha ha aaaaa... We bashite nini???? Ha ha ahaLakini mi nimeshika ile ya kwanza tu uliyosema.
Kukamatw kama panzi na kuuzwa ilikuwa sababu ya IQ NDOGO.Mkuu mi naona wewe ndio ulikosa cha kuandika ungejua hivyo ungeanzia Historia ya mtu mweusi, mambo aliyokutana nayo.
Lakini wewe umekurupuka tu.
Mimi ninaeelewa historia ya mtu mweusi tangu mwanzo nafahamu fika
Na chanzo cha karibu ngozi nyeupe ku!chukia mtu mweusi.
Like serious!?Mungu hawezi kutufanya tukalingana wote... Kuna seem tutatofautian tu
Wadau naomba tujuzane ni kwanini sisi watu weusi IQ zetu ni ndogo sana kuliko hawa wenzetu wenye ngozi nyeupe? Je ndiyo jinsi mwenyezi mungu alivyotuumba au aina ya maisha yetu tunayoishi ndiyo chanzo?
Au kama kuna sababu zozote za kisayansi naomba tujuzane.
YOUNGBLOOD
![]()
If you control for socioeconomic status--education, poverty, social mobility--poor blacks test pretty much like poor whites, middle class blacks like middle class whites, etc. The lower averages people cite stem from more blacks being impoverished and undereducated than whites on average.Wadau naomba tujuzane ni kwanini sisi watu weusi IQ zetu ni ndogo sana kuliko hawa wenzetu wenye ngozi nyeupe? Je ndiyo jinsi mwenyezi mungu alivyotuumba au aina ya maisha yetu tunayoishi ndiyo chanzo?
Au kama kuna sababu zozote za kisayansi naomba tujuzane.
YOUNGBLOOD
![]()
Kwani sa hizi majeshi yakituvamia yakatushinda hautakamatwa na kuuzwa kama kuku?Kukamatw kama panzi na kuuzwa ilikuwa sababu ya IQ NDOGO.
NAMNA MAMBO YANAVYENDESHWA NCHINI NI SABAB YA WATAWALA WEUS
UchocheziSidhani kama tuna IQ ndogo. IQ zetu ni kubwa sana tatizo zinaonekana ndogo kwasababu ya wachache waliopata nafasi kuwa na roho mbaya iliyopitiliza. Roho mbaya za wivu na visasi vinafunika ukubwa wa IQ zetu...
Mfano halisi ni hapa kwetu nyumbani... watu kama @munguwaDar a.k.a DB anaweza kufunika ukubwa wa IQ za watu milioni 4 wa Dar kwakuwa tu amepata nafasi ya kuonesha ubandidu wake hadharani...
Na huo ni mfano mmoja tu, kama si mambo ya kufanywa kama Lema, ningemtaja na mwingine tena... Lakini naogopa bwana yule si wa kujaribiwa.
Me hua naamin ivo, sijui kama nakosea labda... Naamin lazima kuna kitu kianze juu na tukione kilichopo chini, naamin tunaposema mjanja lazima kuna mjinga, tunaposema kashinda lazima kuna ambae kashindwa, tungekuwa wote sawa sidhani kama maisha yangekuwa maisha... Utanikosoa kama nakoseaLike serious!?
Kwa maana nyingine una sema hivi "watu weusi kuwa na IQ ndogo ni Mungu ndie alipanga"
Usimwambie mtu...Uchochezi