Kwanini watu weusi wana IQ ndogo sana?

Kwanini watu weusi wana IQ ndogo sana?

Hili swali la msingi sana, ni kwanini tulitatawaliwa wakati tunaambiwa wanadamu wa kwanza kabisa waliishi afrika!? Na kwa logic ya kawaida tu hapo ni kwamba afrika ndio maskani ya kwanza ya binadamu na hao binadamu wa mabara mengine ni either walitoka hapa hapa afrika au uwepo wao ulikuja kwa baadae sana wakati huo tayari binadamu wa afrika akiwa ni kiumbe endelevu.

Sasa ni kwanini jamii ya kwanza duniani ije itawaliwe na jamii nyingine ambayo kihistoria ni changa? Iipata wapi akili za kutawala jamii ya kwanza?
Really interesting
 
Hiyo pia ni aina nyingine ya kueneza whites supremacy! Kipimo cha IQ sio sahihi kwani maswali mengi ni kwa lugha ya kingereza hàlafu yana cover mostly tamaduni zao tu! Hiyo inawapa wao faida zaidi!
 
Well said!
Yaani watu weusi tuko vizuri sema tunadidimizwa!!! Kuna kipindi flani huko nyuma kuna mkaka alikua anaelezea jinsi alivyounda kitu fulani ila hapa nchini wakamnyima funds na kumkatisha tama... Wajerumani wakamchukua saivi yuko huko anafanya kazi kwenye kampuni yako... Kile alichovumbua kinatambulika kama uvumbuzi wa kampuni hiyo. Huyo kaka akasema ilimradi analipwa hela nyingi yu yuko ok.
Watu weupe ni opportunists, wakiona bright future kwa mtu mweusi wanamchukua fasta. Kuna mifano mingi tu... Mtu na umasikini wake anakubali kutojulikana kama ni mvumbuzi wa kitu.
Hivi yule aliyetengeneza ndege wa Sumbawanga aliishia wapi?
 
Watu weusi tuna laana nyingi

Watu weusi nafikiri tuliumbwa ili tutawaliwe na watu wenye ngozi nyeupe, iwe wahindi, wazungu, waarabu au wachina.
 
Wenzetu pamoja na kuumbwa na Mungu lakini bado wanatengenezwa/wanaandaliwa na wazazi wao kwa jambo fulani, siyo kama sisi unajiendea kama kondoo asiye na mchungaji. Kila jambo linahitaji maandalizi
Kweli kabisa mkuu Waafrika unakuta mtu anahangaika kusomea masuala ya umeme miaka 7 lakini mwisho wa siku anakua fundi seremala!
 
Tukitaka kujua tofauti kati ya IQ ya weusi na weupe tuwaweke watoto wadogo sehemu moja...tangu wadogo tuwape huduma sawa (same treatment), kisha baada ya muda tuwapime hizo IQ zao
 
Wazungu wanakula donats(maandazi tobo) watu weusi wanakula maandazi
 
Watu weusi watumia vyeti feki na kutoa maamuzi kama ya wasomi, mfano waganga wa call me J.
 
Chanzo cha watu weusi kuwa na IQ ndogo kimewekwa bayana pale katika Kitabu cha MWANZO 9:20-27.
 
Wadau naomba tujuzane ni kwanini sisi watu weusi IQ zetu ni ndogo sana kuliko hawa wenzetu wenye ngozi nyeupe? Je ndiyo jinsi mwenyezi mungu alivyotuumba au aina ya maisha yetu tunayoishi ndiyo chanzo?
Au kama kuna sababu zozote za kisayansi naomba tujuzane.

YOUNGBLOOD
1cc6d28eb8e235a7d8aec86c58ca57f3.jpg
Swali lako lingeendana na hiyo data kama ungeuliza kwa nini waafrika tuna iq ndogo. USA wapo weusi pia lakini tunaona iq Yao iko juu.
 
Wadau naomba tujuzane ni kwanini sisi watu weusi IQ zetu ni ndogo sana kuliko hawa wenzetu wenye ngozi nyeupe? Je ndiyo jinsi mwenyezi mungu alivyotuumba au aina ya maisha yetu tunayoishi ndiyo chanzo?
Au kama kusemabu zozote za kisayansi naomba tujuzane.

YOUNGBLOOD
1cc6d28eb8e235a7d8aec86c58ca57f3.jpg
Kwa mujibu wa uchinguz waafrica ndy tna IQ kubwa kupita weupe sema mazingira syo rafiki sema kujishusha tuu tuliko nako maana kma umewai kuwa karibu na wazungu utagundua utofaut wetu ni rang tuu maana mzungu mtoro yupo kikojoz yupo maraya yupo mzembe kufikil yupo sema mw
 
Hiyo research ilifanyika wapi, iliwahusisha wakina nani, je Ni kitu gani kinifanye niiamini hiyo taasisi, je Kuna aina ngapi ya rangi (races)
Nilifanya kazi katika kampuni moja iliyowa involve wahindi Na wachina, vitu nilivyojifunza Ni kwamba, sisi waafrika tulijijengea kuwa inferior, Na hao unaosema Ni weupe (ingawa siyo weupe) wanatumia nafasi hiyo kutuaminisha kuwa their superior, nasema hv coz I manage to be on top of them, and they highly wanted me to work with them,
So I don't believe unachokisema, naona bado Ni harakati za kutuaminisha kuwa Wao Ni bora zaidi
 
Tukitaka kujua tofauti kati ya IQ ya weusi na weupe tuwaweke watoto wadogo sehemu moja...tangu wadogo tuwape huduma sawa (same treatment), kisha baada ya muda tuwapime hizo IQ zao
like like like
 
Kuna research ilifanyika mkuu matokeo yake ni kwamba blacks ndiyo tuna IQ ndogo kuliko binadamu wote duniani ambayo ni IQ ya 70.
Hapo kwenye 70 ni very low. Pia hizo takwim za western countries usiziamin 100%. Nyingi ni za kupikwa ili kugandamiza watu weusi... ila ukweli ni kwamba wako weusi wenye akili nyingi tu... kilichokosekana ni kuxitumia wapi?
 
Back
Top Bottom