Kwanini watu weusi wana IQ ndogo sana?

Youngblood

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
19,315
56,318
Wadau naomba tujuzane ni kwanini sisi watu weusi IQ zetu ni ndogo sana kuliko hawa wenzetu wenye ngozi nyeupe? Je ndiyo jinsi mwenyezi mungu alivyotuumba au aina ya maisha yetu tunayoishi ndiyo chanzo?
Au kama kuna sababu zozote za kisayansi naomba tujuzane.

YOUNGBLOOD
1cc6d28eb8e235a7d8aec86c58ca57f3.jpg
 
Ukiingia weusi utakuwa wakati wa kulala au kupumzika, na ukiingia weupe wakati wa kuhangaika na pirika. Kwahio jibu lako lipo hapa watu weusi hatujaletwa duniani kuhangaika bali kupumzika tu. Na hao weupe ndio wapo na mahangaiko yao ya kidunia wakati sisi huku mabwanyenye tumetulia.

Ndukiiiii
 
IQ yako ni ngapi na ya mtu mweupe mmojawao unayemjua ni ngapi.
Intelligency Quotient unaipimaje wewe
Kuna research ilifanyika mkuu matokeo yake ni kwamba blacks ndiyo tuna IQ ndogo kuliko binadamu wote duniani ambayo ni IQ ya 70.
 
Wadau naomba tujuzane ni kwanini sisi watu weusi IQ zetu ni ndogo sana kuliko hawa wenzetu wenye ngozi nyeupe? Je ndiyo jinsi mwenyezi mungu alivyotuumba au aina ya maisha yetu tunayoishi ndiyo chanzo?
Au kama kuna sababu zozote za kisayansi naomba tujuzane.

YOUNGBLOOD

Sidhani kama tuna IQ ndogo. IQ zetu ni kubwa sana tatizo zinaonekana ndogo kwasababu ya wachache waliopata nafasi kuwa na roho mbaya iliyopitiliza. Roho mbaya za wivu na visasi vinafunika ukubwa wa IQ zetu...

Mfano halisi ni hapa kwetu nyumbani... watu kama @munguwaDar a.k.a DB anaweza kufunika ukubwa wa IQ za watu milioni 4 wa Dar kwakuwa tu amepata nafasi ya kuonesha ubandidu wake hadharani...

Na huo ni mfano mmoja tu, kama si mambo ya kufanywa kama Lema, ningemtaja na mwingine tena... Lakini naogopa bwana yule si wa kujaribiwa.
 
Nafikiri wewe ndio una IQ ndogo,
Huenda yako ikawa ni -0.000000000000007
Haya mambo ya kujiona kujishusha ni ya kijinga kabisa.
 
Sidhani kama tuna IQ ndogo. IQ zetu ni kubwa sana tatizo zinaonekana ndogo kwasababu ya wachache waliopata nafasi kuwa na roho mbaya iliyopitiliza. Roho mbaya za wivu na visasi vinafunika ukubwa wa IQ zetu...

Mfano halisi ni hapa kwetu nyumbani... watu kama @munguwaDar a.k.a DB anaweza kufunika ukubwa wa IQ za watu milioni 4 wa Dar kwakuwa tu amepata nafasi ya kuonesha ubandidu wake hadharani...

Na huo ni mfano mmoja tu, kama si mambo ya kufanywa kama Lema, ningemtaja na mwingine tena... Lakini naogopa bwana yule si wa kujaribiwa.
Nimekuelewa mkuu huna haja ya kumtaja mwengine.
 
Anyway go back to william stern 1912 ni mjerumani aliyefanya utafiti. Kuna vigezo vingi sana kujudge IQ ya mtu ikiwemo umri nk.k ila sijaona suala la race wala rangi
 
wenzetu hawali ugali kama sisi....
Mkuu umeniwahi nlotaka kuchangia kama wewe. Kuthibitisha angalia jamii za tz ambapo ugali sio chakula kikuu ni watu wenye uwezo mkuba kiakili. Wachaga, wahaya na wengineo angalia mmasai aliefanikiwa kwenda shule uwezo wao ni mkubwa sana.
 
Back
Top Bottom