Kwanini watu weusi wana IQ ndogo sana?

Kwanini watu weusi wana IQ ndogo sana?

Ata mi najiulizaga cpat jibu nchi kama hii mfano ilivyo na rasilimali tuseme tubadlishane na wachina tutawapa mda mfup tu tanzania itakua moja ya nchi tajiri dunian lakin sisi hatuwez
 
Mkuu mi naona wewe ndio ulikosa cha kuandika ungejua hivyo ungeanzia Historia ya mtu mweusi, mambo aliyokutana nayo.
Lakini wewe umekurupuka tu.
Mimi ninaeelewa historia ya mtu mweusi tangu mwanzo nafahamu fika
Na chanzo cha karibu ngozi nyeupe ku!chukia mtu mweusi.
Mkuu ndio maana kuna forum kama hizi kubadilishana vitu mbalimbali maana hamna ajuae kila kitu,tupe hiyo historia kaka na kilichopeleka hao weupe kutuchukia
 
Sidhani kama tuna IQ ndogo. IQ zetu ni kubwa sana tatizo zinaonekana ndogo kwasababu ya wachache waliopata nafasi kuwa na roho mbaya iliyopitiliza. Roho mbaya za wivu na visasi vinafunika ukubwa wa IQ zetu...

Mfano halisi ni hapa kwetu nyumbani... watu kama @munguwaDar a.k.a DB anaweza kufunika ukubwa wa IQ za watu milioni 4 wa Dar kwakuwa tu amepata nafasi ya kuonesha ubandidu wake hadharani...

Na huo ni mfano mmoja tu, kama si mambo ya kufanywa kama Lema, ningemtaja na mwingine tena... Lakini naogopa bwana yule si wa kujaribiwa.
Well said!
Yaani watu weusi tuko vizuri sema tunadidimizwa!!! Kuna kipindi flani huko nyuma kuna mkaka alikua anaelezea jinsi alivyounda kitu fulani ila hapa nchini wakamnyima funds na kumkatisha tama... Wajerumani wakamchukua saivi yuko huko anafanya kazi kwenye kampuni yako... Kile alichovumbua kinatambulika kama uvumbuzi wa kampuni hiyo. Huyo kaka akasema ilimradi analipwa hela nyingi yu yuko ok.
Watu weupe ni opportunists, wakiona bright future kwa mtu mweusi wanamchukua fasta. Kuna mifano mingi tu... Mtu na umasikini wake anakubali kutojulikana kama ni mvumbuzi wa kitu.
 
Mkuu mi naona wewe ndio ulikosa cha kuandika ungejua hivyo ungeanzia Historia ya mtu mweusi, mambo aliyokutana nayo.
Lakini wewe umekurupuka tu.
Mimi ninaeelewa historia ya mtu mweusi tangu mwanzo nafahamu fika
Na chanzo cha karibu ngozi nyeupe ku!chukia mtu mweusi.
326241df7c28aade016e1db0a0f2b6d7.jpg
 
Kumbuka tunatumia mifumo ya elimu iliyoanzishwa na wao,maana yake hata hao wasomi,wagunduzi wote walitoka kwao toka enzi na enzi
Swali ni kwa nini wao ndio walianzisha na sio sisi???
Historia inaonesha waarabu ndiyo waasisi wa hiyo mifumo yote ya elimu, kuanzia kuandika mpaka kuhesabu.

Hata sisi wagunduzi tulikua nao humu humu Wapare na vyuma, Uvinza na chumvi.

Elimu tuliyoletewa ilikua imelenga kutengeneza vibaraka siyo wagunduzi wala wataalamu, tangu miaka hiyo mpaka leo Tanzania tumekua tunafanya majaribio na elimu yetu na ndiyo kisa bado hatujamaster kipi cha kukiweka ili kionekane katika ulimwengu wa macho.
 
Wadau naomba tujuzane ni kwanini sisi watu weusi IQ zetu ni ndogo sana kuliko hawa wenzetu wenye ngozi nyeupe? Je ndiyo jinsi mwenyezi mungu alivyotuumba au aina ya maisha yetu tunayoishi ndiyo chanzo?
Au kama kuna sababu zozote za kisayansi naomba tujuzane.

YOUNGBLOOD
siyo wote hulu mtaani kuna vichwa, nadhani wale wanaojitokeza kuwa viongozi ndo wana IQ ndogo mfano hapa kwetu. mkuu wa mkoa na baba yake
 
Mkuu ndio maana kuna forum kama hizi kubadilishana vitu mbalimbali maana hamna ajuae kila kitu,tupe hiyo historia kaka na kilichopeleka hao weupe kutuchukia
Watanzania wanapenda kubisha kila kitu
 
Wadau naomba tujuzane ni kwanini sisi watu weusi IQ zetu ni ndogo sana kuliko hawa wenzetu wenye ngozi nyeupe? Je ndiyo jinsi mwenyezi mungu alivyotuumba au aina ya maisha yetu tunayoishi ndiyo chanzo?
Au kama kuna sababu zozote za kisayansi naomba tujuzane.

YOUNGBLOOD
1cc6d28eb8e235a7d8aec86c58ca57f3.jpg
Mi IQ yangu n zaidi ya mzungu sasa sjui nitakua na rangi gani
 
Wadau naomba tujuzane ni kwanini sisi watu weusi IQ zetu ni ndogo sana kuliko hawa wenzetu wenye ngozi nyeupe? Je ndiyo jinsi mwenyezi mungu alivyotuumba au aina ya maisha yetu tunayoishi ndiyo chanzo?
Au kama kuna sababu zozote za kisayansi naomba tujuzane.

YOUNGBLOOD
1cc6d28eb8e235a7d8aec86c58ca57f3.jpg
mkuu kwenye kipengele cha sisi ungetoa ..alaf ungeweka mimi.
 
Kwenye maigizo yakiigizwa mtu mweusi ndo shetani mweupe ndo mungu kwahyo Hata kwenye ufalme wa mungu cjaona MTU mweusi anazungumziwa
 
Historia inaonesha waarabu ndiyo waasisi wa hiyo mifumo yote ya elimu, kuanzia kuandika mpaka kuhesabu.

Hata sisi wagunduzi tulikua nao humu humu Wapare na vyuma, Uvinza na chumvi.

Elimu tuliyoletewa ilikua imelenga kutengeneza vibaraka siyo wagunduzi wala wataalamu, tangu miaka hiyo mpaka leo Tanzania tumekua tunafanya majaribio na elimu yetu na ndiyo kisa bado hatujamaster kipi cha kukiweka ili kionekane katika ulimwengu wa macho.

Fine, tuliletewa elimu ili tuendelee kuwa vibaraka na tuendelee kutawaliwa; Je ni miaka mingapi tangu mkoloni aondoke?
Tumefanya Nini ktk elimu ili kuondoa makando kando aliyopandikiza mkoloni?
 
Sidhani kama tuna IQ ndogo. IQ zetu ni kubwa sana tatizo zinaonekana ndogo kwasababu ya wachache waliopata nafasi kuwa na roho mbaya iliyopitiliza. Roho mbaya za wivu na visasi vinafunika ukubwa wa IQ zetu...

Mfano halisi ni hapa kwetu nyumbani... watu kama @munguwaDar a.k.a DB anaweza kufunika ukubwa wa IQ za watu milioni 4 wa Dar kwakuwa tu amepata nafasi ya kuonesha ubandidu wake hadharani...

Na huo ni mfano mmoja tu, kama si mambo ya kufanywa kama Lema, ningemtaja na mwingine tena... Lakini naogopa bwana yule si wa kujaribiwa.
na ndo mana tunaendelea kuonekana tuna IQ ndogo tunapenda kuingiza siasa kila mahali.
kama wewe apo tayari ushaweka usiasa.
 
Wadau naomba tujuzane ni kwanini sisi watu weusi IQ zetu ni ndogo sana kuliko hawa wenzetu wenye ngozi nyeupe? Je ndiyo jinsi mwenyezi mungu alivyotuumba au aina ya maisha yetu tunayoishi ndiyo chanzo?
Au kama kuna sababu zozote za kisayansi naomba tujuzane.

YOUNGBLOOD
1cc6d28eb8e235a7d8aec86c58ca57f3.jpg
Kwani IQ kuwa ndogo au kubwa...inapimwa au kujulikana kwa vigezo gani.?
 
Back
Top Bottom