City Owl
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,557
- 4,845
Achana na hii imani man. Wajaluo wanakula ugali daily hapo Kisumu na wana IQ kubwa tu..Mkuu umeniwahi nlotaka kuchangia kama wewe. Kuthibitisha angalia jamii za tz ambapo ugali sio chakula kikuu ni watu wenye uwezo mkuba kiakili. Wachaga, wahaya na wengineo angalia mmasai aliefanikiwa kwenda shule uwezo wao ni mkubwa sana.