Marekani mbona kuna waeusi na umeiweka wana IQ a juu
Habari nzima ya IQ, kwa watu wanaofuatilia haya mambo, ni umasikini wa akili.Kweli Mkuu,mmoja ni Mgonjwa wa akili mwingine ni mwenye akili.
Asante sana mkuu.Nampa kongole mtoa mada, ameibua mjadala ambao mara nyingi huzua mkinzano mkubwa wa hoja.
Tafiti nyingi zimewahi kufanywa juu ya rangi uwezo wa akili (race and intelligence) mtafiti wa mwisho kudadavua hii hoja ni Prof Rushton..
Kwani ugali una kitu gani kibaya mkuu[emoji23]
Hebu fafanua kidogo mkuu.Ugali unapunguza uwezo wa kufikiri mkuu
I doubt with that research you are referring to!Wadau naomba tujuzane ni kwanini sisi watu weusi IQ zetu ni ndogo sana kuliko hawa wenzetu wenye ngozi nyeupe? Je ndiyo jinsi mwenyezi mungu alivyotuumba au aina ya maisha yetu tunayoishi ndiyo chanzo?
Au kama kuna sababu zozote za kisayansi naomba tujuzane.
YOUNGBLOOD
![]()
What do you thinkI doubt with that research you are referring to!
An IQ of 70 and below is considered mental handcap/retardation.
According to that research, do u real agree that all blacks including you, are mentally retarded?
Wadau naomba tujuzane ni kwanini sisi watu weusi IQ zetu ni ndogo sana kuliko hawa wenzetu wenye ngozi nyeupe? Je ndiyo jinsi mwenyezi mungu alivyotuumba au aina ya maisha yetu tunayoishi ndiyo chanzo?
Au kama kuna sababu zozote za kisayansi naomba tujuzane.
Labda wewe, sisi wengine ziko sawa, the difference lies only on outerface, blood group is all the same, you can donate and receive as well
YOUNGBLOOD
![]()
Mbona povu tena ndugu yangu.Nyambaf wee
Hata wapemba pia hawali ugali...kwa waliowahi kusoma na watu wa jamii ya kipemba sekondari na vyuoni wanalijua hili.Mkuu umeniwahi nlotaka kuchangia kama wewe. Kuthibitisha angalia jamii za tz ambapo ugali sio chakula kikuu ni watu wenye uwezo mkuba kiakili. Wachaga, wahaya na wengineo angalia mmasai aliefanikiwa kwenda shule uwezo wao ni mkubwa sana.