Kwanini watu weusi wana IQ ndogo sana?

Kwanini watu weusi wana IQ ndogo sana?

Una utani na Daudi bashite a.k.a Paulo Makonda mzee wa 0
 
Waafrika walio wengi wana utapiamlo na viriba tumbo! Sasa hapo akili watazitoa wapi? Na kuna yule kiongozi alishasema kwamba wabunge wa DSM wanafikiria kwa kutumia m.a.k.a.l.I.o.
 
Mm IQ yangu sio ndogo mkuu , na sikubaliani na hio research kua ni watu weusi tu wote ndo wana IQ ndogo ukisema wanaokosa nutrients na mlo mzur wakat wa utoto wao had wa ukubwa wao wanakua na IQ ndogo nitakubaliana na ww kwan lack of better nutrients na balancing diet inasababisha brain retardation labda wasema ni kwamba watu weusi wanakosa mlo mzur hio linapelekea IQ kuwa ndogo nitakubal maana tuliopata msosi na netrients za kutosha tulipokua wa kubwa tunawazid hao wazungu ki logic ivyo yaani
 
Leo ndiyo nimeamini kweli Waafrika IQ zetu ni ndogo.
 
Ukiingia weusi utakuwa wakati wa kulala au kupumzika, na ukiingia weupe wakati wa kuhangaika na pirika. Kwahio jibu lako lipo hapa watu weusi hatujaletwa duniani kuhangaika bali kupumzika tu. Na hao weupe ndio wapo na mahangaiko yao ya kidunia wakati sisi huku mabwanyenye tumetulia.

Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kama wewe n mwanaume ntakupa dada yangu asee
 
Wakuu mi nachoona hapo tofauti yetu ni mazingira mtu anayozaliwa na kukulia, pia na uwezo wa kiuchumi, mfano hata mzungu akizaliwa huku akaishi maisha ya kifukara sidhani kama akili yake itatofautiana na yetu, Pia hata cc tungezaliwa New york alafu kuna helcopita ya kutembelea utakuwa na akili kama hao weupe. Mfano mbn Obama ni mweusi but he is among of great persons in the world.
 
Inawezekana kabisa
 
JAMES WATSON,mwanasayansi maarufu duniani na mshindi wa nishani ya noble katika tiba mwaka 1962,ameleta mjadala mkubwa kwa madai kwamba inaelekea mtu mweusi ana akili ndogo kuliko mtu mweupe.Kauli hiyo imeshikiliwa bango na wapinzani wa ubaguzi wa rangi kwa madai kwamba inamdhalilisha mtu mweusi.

Hata hivyo WATSON si mtu wa kwanza kusema hivyo isipokuwa yeye kaisema kisayansi zaidi.Siku za nyuma Waziri Mkuu mmoja wa Japan alipata kusema maneno kama hayo kwamba anatilia mashaka uwezo wa mtu mweusi.Waziri mwingine pia alishanukuliwa anasema hivyo.Wote baadaye waliomba radhi ila ujumbe ulifika

Chika Onyeani katika kitabu chake cha the capitalist nigger naye anashangaa ni kwanini mwafrika atukanwe namna hiyo na mawaziri wa Japan,lakini bado waendelee kununua bidhaa kutoka japan.Pia anasema jamii nyingi za watu WEUSI zinafanana kwa kiasi kikubwa.Kwa mfano ukikutana na mwamerika mweusi aliyezaliwa marekani au carribean au afrika kwenyewe bado wanatabia zilezile ambazo zinatia shaka kama kweli akili za mtu mweusi si ndogo kwa kiasi fulani.

Ukianza kuangalia matokeo mbalimbali yaliyotokea Afrika enzi za miaka ya nyuma utaanza kuwa na wasiwasi kuhusu hali ya uelewa wa mtu mweusi.Historia inaonyesha kwamba ,hadi karne ya 16 kiwango cha maendeleo kati ya nchi za Afrika na ulaya kilikuwa sawa

Tunaambiwa pia kwamba miaka ya 1960 baadhi ya nchi za Afrika zilikuwa zimeendelea kimaendeleo au sawa na nchi za Asia ambazo leo ziko mbali kimaendeleo.Bado unajiuliza ni wapi kwenye matatizo? Kwanini waafrika tuachwe kila leo?

Ripoti za umaskini duniani zinaonesha kwamba umaskini umepungua kwa kiasi kikubwa lakini kwa Afrika unaonyesha kuongezeka.Mbaya zaidi maskini wa Afrika wapo kwenye dimbwi zito ambalo si rahisi kujinasua.Utafiti huu unafanywa kulinganisha na nchi za India na China ambazo zina idadi kubwa sana ya watu

Ukipima baadhi ya kauli za hawa tunaowaita wabaguzi utagundua kuna ujumbe wanawasilisha.Ukichukua Tanzania kama mwakilishi wa Afrika utaweza kugundua haya.Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi lakini si nufaishi kwa mwananchi wake isipokuwa wawekezaji wanakuwa na mamlaka makubwa juu ya rasilimali hizi.Kuna mito,Madini na misimu lakini bado tunaagizia dawa kutoka nje.SHAME!!

Watu wanajilundikia mabilioni ya Fedha kwenye akaunti zao za benki zilizopo nchini au hata nje ulaya wakati shule ya AZANIA iliyoko katikati ya jiji kuu la nchi ina wastani wa tundu moja la choo kwa wanafunzi 300

Bado tunazipa likizo ya kodi kampuni kubwa huku tukifuatilia vikodi vidogo vidogo.Kampuni kubwa zinaruhusiwa kubeba hasara na kuipeleka kwenye mahesabu ya mwaka ujao kwa miaka KADHAA lakini hiyo hiyo kampuni inaendelea kufanya biashara.Hapa sisi ni wakusanyaji wazuri wa kodi au wakwepaji wazuri wa makampuni makubwa?

Inafaa tujiulize kunani kwenye akili zetu?Tunasema tuna mafuta lakini tukitaka kuyachimba tunamwita mzungu japokuwa tumekuwa tukizalisha wakandarasi na wanajiorojia kila mwaka.Lazima tujiulize kama elimu yetu ina mushikeli au la!Sasa hivi tunajigamba kuwa na vyuo vikuu 30 lakini bado tunaagizia vijiti vya kuchokonolea meno toka Malaysia. SHAME!!

Kabla ya kushika mabango na kuwalaani wabaguzi wa rangi lazima tujiulize kwanza ni wapi tumekosea na sababu za kukwama kwetu.Tusikimbilie kulaumu wazungu kwa kuleta ukoloni na ukoloni mambo leo.Malaysia na Ghana zote zilikuwa koloni za muingereza na zilipata uhuru mwaka 1957 kwa pamoja lakini leo hali ni tofauti.

Wamalaysia walikuwa wanakwenda Ghana kujifunza kilimo cha mawese. Leo hii Ghana wanajifunza kila kitu toka Malaysia kikiwemo kilimo cha mawese.Wazungu wanaopinga kauli za WATSON sio kwamba wanasikitika sana bali wanaonesha kukasirika usoni lakini moyoni wanasema ni kweli hawa wanaujinga wao mkubwa.Wanatutetea ili waendelee kutuvuna.Hawataki tukaechini na kujitathmini tulipoenda mrama.

Nachukia kuitwa kiumbe dhaifu hasa kiakili.Nachukia kwa sababu naupenda uafrika na WEUSI wangu.Nawapenda waafrika wenzangu.Nachukia wanapoambiwa kwamba wanaubongo dhaifu. Lakini nahisi kuna mahali kama watu WEUSI tumekosea

Kama mtu anaiba mabilioni ya fedha za umma kwenye nchi maskini na kuyaweka ulaya au kewekeza mahali popote,huku kukiwa na wananchi wanakufa kwa kukosa madawa hospitalini basi kuna ulazima wa kujiuliza tuliko na kasoro.Kama viongozi wanawaibia wananchi wao waliowachagua kuwawakilisha bila aibu yoyote inabidi tuhoji akili zetu.Kama wananchi wanaridhika na hila za viongozi wao bila ya kuchukua hatua madhubuti basi tuhoji akili zetu

JE? Watson aombe radhi

Hata kama Watson ataomba radhi kama mawaziri wa Japan atakuwa amepeleka ujumbe mzito kwa watu WEUSI kujichunguza.Huu ni ujumbe mzito kwa taifa letu la Tanzania.Mimi ni miongoni mwa wasioamini upuuzi wa James Watson, kwamba waafrika tuna akili ndogo.

Historia inaonyesha kwamba chuo kikuu cha kwanza duniani kilikuwa Afrika,kule Mali.Uvumbuzi wa hisabati ulitoka Afrika,hata mtu wa kwanza duniani anaaminika kuishi Afrika.Pia MAAJABU mengi yapo kule misri (pyramids)

Wapo waliokwenda mbali na kusema kwamba hata YESU KRISTO alikuwa mtu mweusi wa misri na kwamba ndiyo sababu SIMON WA KRENE,ambaye alikuwa mtu mweusi alimsaidia YESU kubeba msalaba.Ilikuwa ni huruma ya kuona mtu mweusi mwezake anateswa.

Jamani ni wapi tumekosea??

Sasa je,ni kweli watu WEUSI tuna akili ndogo??

Copied from @tanzania_yetu and Mwananchi
78243c5caeb32f1040cfe99f5efec71c.jpg
 
Yeah ni kweli ndio maana wazungu walitoka ulaya na kuja kututawala wakiwa wachache tu kuliko sisi

Tena kutusafirisha kutoka bara hadi pwani wakiwa wawili tu na magobori yao hatukuweza hata kuwageuka porini.
 
mkuu wa mkoa elimu yake ni ya hapa na pale

au ndio kusema makonda hawana vyeti ila wanaaminiwa na mabosi
 
mleta thread umenitukana matusi ya nguoni lakin ndo ukweli naunga mkono hoja[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tulibweteka sana na Ujamaa.
 
tatizo letu siyo uwezo wa kiakili ndo maana mwenyewe umeonesha katika karne ya 16 tulikuwa sawa na Ulaya. Pia Chuo kikuu cha Kwanza kilikuwa Afrika, bila shaka ni Timbuktu kule mali. Wakati sisi tuinajenga Prymids kule Misri wazungu walikuwa katika ushamba. Hata wana Sayansi wa anga wa mwanzo kabisa kabla na kipindi cha Yesu walikuwa Waethiopia. tatizo letu ni kalaan fulani hivi kalikowaingia viongozi wetu hasa baada tu ya Uhuru, walikuwa wabinafsi kupita kiasi, wakageuka kuwa vibaraka wa Wazungu. Kwa sula la kutawaliwa hata Wazungu walitawaliwa. Mweingireza aliitawala Urusi, China, Japan, Canada, USA na hata Australia. Tatizo letu ubinafsi ulipitiliza ikichangiwa na mfumo mbovu wa Elimu kwa sasa. Ipo siku tutaamka..
 
Katika maandiko matakatifu, tunaona Nuhu akimlaani mmoja wa watoto zake, itoshe kusema waafrika ni uzao wa yule mtoto wa Nuhu aliyelaaniwa.
 
Back
Top Bottom