antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,041
- 133,302
Wengi wa wapi huko??Kwanini watu wengi wanapenda singeli???
Wengi wa wapi huko??Kwanini watu wengi wanapenda singeli???
Mimi mwenyewe sio mpenzi wa hizi fujo! Siziwezi kabisa..Seran huyu anasemaje? Atakuwa sio mwana huyu.View attachment 3605775
Sasa sisi makapuku tusio na hela, hizi ndio zetu za kutuliwaza maana zinaakisi maisha yetu. Yaani huna hela uanze kusikiliza rhumba? Utahisi kuchanganyikiwa.Mimi mwenyewe sio mpenzi wa hizi fujo! Siziwezi kabisa..
Uliongea na watanzania wangapi?Wapendwa.. Kwanini Watanzania wanapenda singeli.. kijana ukimpa nyimbo ya boni mwaitege na d voice au malume.. atachagua malume.. hivi hili mnalionaje???
mimi hizi ndio nachanganyikiwa kabisaa! hata siziwezi..Sasa sisi makapuku tusio na hela, hizi ndio zetu za kutuliwaza maana zinaakisi maisha yetu. Yaani huna hela uanze kusikiliza rhumba? Utahisi kuchanganyikiwa.
Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu na anayejitambua ambaye anapenda singeli.Wapendwa.. Kwanini Watanzania wanapenda singeli.. kijana ukimpa nyimbo ya boni mwaitege na d voice au malume.. atachagua malume.. hivi hili mnalionaje???
Remix ya hii, yuko Whozu, GNako naikubali hatarii.
😂😂😂kwanza wadada wanavyo cheza chura huku nyuma nikishikilia isianguke
Nawe wapenda singeli lo??
Hapana...Nawe wapenda singeli lo??
Hupendi kuchezea makebo weyee?????!!!!Hapana...
Fahari ya macho...Hupendi kuchezea makebo weyee?????
Sio kuona tuFahari ya macho...
Singeli zina matusi ya nguoni...Sio kuona tu
Matusi si ndo mambo yako uyapendayo weye!!Singeli zina matusi ya nguoni...
Hapana, yale yamezidi..Matusi si ndo mambo yako uyapendayo weye!!