Huyo ni kinara acha aekewe za Dj miso missondo hapo atavuruga kitaaNawe wapenda singeli lo??
Acha nazakwetu uswahil maana sio poaKatika aina ya music ambao siuelewi ni singeli.
Ingawa nilitokea kuupenda ule wimbo wa “mamu” alioshirikishwa Mr. Blue.
Acha hizo banaAsilimia kubwa wanao penda mziki huwo ni vijana wahuni