Kwanini watu wanaipenda pombe?

Kwanini watu wanaipenda pombe?

Attachments

  • 1FB718AA-7AD8-4379-AB72-CC175E134EC2.jpeg
    1FB718AA-7AD8-4379-AB72-CC175E134EC2.jpeg
    143.8 KB · Views: 17
Seran uliacha kwa muda gan?.

Mm nadhan toka 2013 hiv sijawah pitisha zaid ya wiki moja sijanywa Bia.
Nishakatiza dozi mara kadhaa 😁😁😁😁. Mm dozi ni siku 3 tu. Napumzika ya nne. Alaf ya tano Kimea kinaendelea...
Miaka hii miwili nguvu zinapungua. Naweza kukaa siku 3 hiv katkat ya wiki na nisiguse Kimea...

Nitaacha tu najua. Ila huko mbelen.
 
Umeandika na wamekuelewa bro . Sina shaka kwenye Hilo.

Binafsi nakunywa pombe ili nirelax. Nipate muda wa kufuatilia ishu 2 tatu kwa simu. Nipate akili ya ziada.
(Stimulate brain activities).
Nimepunguza mabia sikuhizi. Na kama Nikinywa katkat ya wiki bas jua kuna mpira au kuna kikao muhim na mtu.
Ila ijumaa & jmosi najiloweka kabisa.

Kwangu Ladha ina matters a lot.
pia matokeo baada ya kunywa bia (hangover)
Ndio maana nakunywa Castle lite au castle lager.
Hata nikipiga 15+ naamka sina hangover. Nikila nikioga nakuwa mpya.

Ila mapombe makal au bia nyingne Siziwezi. nitamka na mawenge. Na hiyo sipend kabisa.
Kaka Umemaliza Kila kitu..

šŸ’Æ
 
Nyinyi wanywa soda jau sanaaaaaa... Sisi wengine tuna kunywa responsible hatufanyi over drinking.

Tuna kazi halali, familia, busara,utii,adabu, hadhi na heshima kwenye jamii ni watu wa mfano wa kuigwa waungwana.

NB. For years pombeee imetumika na wafalme / ma champion na washindi wa vita..

Kama hujawai kutumia KILEVI chochote basi wewe jua HUJAWAI KUISHI KABISA KABISA
Pombe zimekuharibu ubongo! Yani umetafakari ukaona mimi ambaye situmii ndiye ninayetakiwa kutaja faida?
 
Seran uliacha kwa muda gan?.

Mm nadhan toka 2013 hiv sijawah pitisha zaid ya wiki moja sijanywa Bia.
Nishakatiza dozi mara kadhaa 😁😁😁😁. Mm dozi ni siku 3 tu. Napumzika ya nne. Alaf ya tano Kimea kinaendelea...
Miaka hii miwili nguvu zinapungua. Naweza kukaa siku 3 hiv katkat ya wiki na nisiguse Kimea...

Nitaacha tu najua. Ila huko mbelen.
Kuna kipindi miaka ya nyuma kdg nilipata mpendwa hataki pombe ameokoka, ikabidi niache kama 3 yrs (nikaokoka)! nilikuwa nakunywa tu beer nilipoachana naye nilikuwa nakata henessy pori mwenyewešŸ˜† nilirudi na spidi ya hatari, nilipofika chuo ndio nikawa balaa nikiikosa tu nakosa amani kbs, napenda tu niione mule ndani aisee nikiamka asbh naonja naendelea na ratiba zingine!

Sasa huu mwaka nikaokoka upya staki ulevi wala uzinzi, nmekaa miezi kama 8 naona vinanishinda nmeanza mdogo mdogo(beer)! Ni kazi ngumu jamani!
 
kamnyweso kanatesa Watu !

Inshort anaekunywa anajiona mjanja, anapata madili.... ambae hatumii anajiona mstarabu, anaheshimika hachezei pesa!

Kila mtu acheze anapostahili !
 
kamnyweso kanatesa Watu !

Inshort anaekunywa anajiona mjanja, anapata madili.... ambae hatumii anajiona mstarabu, anaheshimika hachezei pesa!

Kila mtu acheze anapostahili !
Kila mtu ashinde mechi zakešŸ˜‚
 
Back
Top Bottom