Kwanini watu wanaipenda pombe?

Kwanini watu wanaipenda pombe?

Imagine dunia ina watu Billion kadhaa na unafikiri wote wanapata raha na furaha kwenye pombe tu. Upo sawa mkuu?..

Wengine hata hatukumbuki mara ya kwanza kunywa pombe ni lini maana imagine una miaka sita tayari ushajifunza kubugia za wazee wakiziacha.

Kwa hiyo si kila anaekunywa soda hajawahi kunywa bear au hayajui maisha ya bear. Na kwanza wengi wanaokunywa pombe wanazinywa kama escape maana ukiitoa pombe wanakuwa miserable, no friends, no life, no nothing..

Wanaokunywa pombe kwa kuifurahia ni wanahesabika ila wengi ni kampani, mazoea na addiction.
Wengi wao wasio kunywa pombe wamelalia kwenye uzinzi
 
Hakuna watu wazinzi kama wanywa pombe sasa kwa taarifa yako, mwanamke akishalewa kuvuliwa nguo ni rahisi Sana, mwanaume akilewa anafikiria kuondoka na mtu, ulevi na uzinzi ni ndugu wa tumbo moja fatilia utapata majibu
 
Binafsi napiga Masanga.. ingawa siku hizi nimepunguza kiasi.

Kwanza Schedule yangu ya kutoka ( clubbing ) nimepanga kuanza kutoka mida ya saa 5-6 usiku hapo.. nakaa mpk saa 9 hiv au 10 narud kulala.

Kama itatokea nimeanza mapema, basi napiga maji tu... (Chupa kubwa).. ikifik mida ya mashetani ndio nagusa hard liquors tena kwa wastani kbs..

Kuna faida sana ukiwa katikati yaan hujalewa pia kama Umelewa hivi..

Ikiw nimetoka na Mchumba na nataka nimshenyete.. sitakunyw sana.. ni kiasi tu ili niwe nasty zaidi..
 
Wengi wao wasio kunywa pombe wamelalia kwenye uzinzi
Wangapi unawajua hawanywi pombe na ni wazinzi ??....

Je, wanaokunywa sio wazinzi?..

Na unataka kumaanisha, hakuna kingine chochote cha kuchagua maishani kiasi lazma uangukie kati ya pombe na uzinzi ?
 
Imagine dunia ina watu Billion kadhaa na unafikiri wote wanapata raha na furaha kwenye pombe tu. Upo sawa mkuu?..

Wengine hata hatukumbuki mara ya kwanza kunywa pombe ni lini maana imagine una miaka sita tayari ushajifunza kubugia za wazee wakiziacha.

Kwa hiyo si kila anaekunywa soda hajawahi kunywa bear au hayajui maisha ya bear. Na kwanza wengi wanaokunywa pombe wanazinywa kama escape maana ukiitoa pombe wanakuwa miserable, no friends, no life, no nothing..

Wanaokunywa pombe kwa kuifurahia ni wanahesabika ila wengi ni kampani, mazoea na addiction.
Mimi sinywii kijinga jinga nakunywa for recreation only. Sina company yoyote Mimi nakunywa ki binafsi sina makundi..

Of course sina stress,sina shida ndogo ndogo..maisha yanaenda vyema...

Hayo maelezo yako yote yamesaidia nini? 😂 Umesoma sana ukaandika thesis juu ya pombe. Kunywa maji upumzike, stress za dunia zina tupeleka mbali sana.
 
Wangapi unawajua hawanywi pombe na ni wazinzi ??....

Je, wanaokunywa sio wazinzi?..

Na unataka kumaanisha, hakuna kingine chochote cha kuchagua maishani kiasi lazma uangukie kati ya pombe na uzinzi ?
Vipo vingi we kama hujaanguka huko mshukuru Mungu, wengi hawajitambui akiona pombe haiwezi anatafuta umwamba kwenye uzinzi! Watu wengi hawajui kujitengenezea furaha wenyewe! Wapo wengi tu!
 
Hakuna watu wazinzi kama wanywa pombe sasa kwa taarifa yako, mwanamke akishalewa kuvuliwa nguo ni rahisi Sana, mwanaume akilewa anafikiria kuondoka na mtu, ulevi na uzinzi ni ndugu wa tumbo moja fatilia utapata majibu
Mwee mi nilijua wanaume ni wazinzi in nature kumbe mpaka wakilewa🫢
 
Back
Top Bottom