Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,800
- 26,621
🙏🏽Mimi sinywii kijinga jinga nakunywa for recreation only. Sina company yoyote Mimi nakunywa ki binafsi sina makundi..
Of course sina stress,sina shida ndogo ndogo..maisha yanaenda vyema...
🙏🏽Mimi sinywii kijinga jinga nakunywa for recreation only. Sina company yoyote Mimi nakunywa ki binafsi sina makundi..
Of course sina stress,sina shida ndogo ndogo..maisha yanaenda vyema...
Ni kwa sababu bongo tunaishi kwa kuangalia watu watanionaje. Nisipokuwa mnywaji na nisipopenda uzinzi, nitapata wapi kampani au marafi wa kuendana nao?...Vipo vingi we kama hujaanguka huko mshukuru Mungu, wengi hawajitambui akiona pombe haiwezi anatafuta umwamba kwenye uzinzi! Watu wengi hawajui kujitengenezea furaha wenyewe! Wapo wengi tu!
Mwee mi nilijua wanaume ni wazinzi in nature
Duhh hujakutana na wajelajela wewe😂😂 yani mi ata nilewe vipi hunivui nguo aisee! Labda niwe na hisia na wewe mzee..!
Ngoja siku tuwe wote bar nitest ili nione usemacho
Mabaya.Shindii mambo
Jagger ukipiga afu uende toilet ni balaa hiyo smell yake🤣🤣🤣Yani hii ya sasa ndio apple punch nmeonja za apple aisee ni kupoteza pesa😂.. kiukweli napenda whiskey hizi sukari basi tu nisionekane kazi ngumu😂😂
Niletee hunting lodge, captain morgan, JD, Jagger, famous grouse n.k🌚
Ukilewa unasikia harufu mkuu? 😅Jagger ukipiga afu uende toilet ni balaa hiyo smell yake🤣🤣🤣
Mwaka juzi nilikuwa napiga hiyo kitu,afu nipo nyumba ya kupanga..kila siku napata kesi kwa wife🤣🤣😃Ukilewa unasikia harufu mkuu? 😅