Savanna ni kama maji, Sminorff niliona kama tujuice kabisa tutamu sana na zote huwa najaribu mapema kabla hawajajaa nakaa Counter kuna Vidada nafahamiana navyo nakaambia chukua tu hii niwekee kwa glass weekend hii najaribu Brutal mamaeeHiyo savana na sminorff ulikuwa unajaribu hadharani kabisa? Wewe piga whiskey tu beer ushavuka aisee😆
Wakuu habari
Naomba kufahamu katia unywaji wa pombe kali au bia,
Issue ya ladha, relaxation na mood ile ya kuhis vibe fulani, ndio vinawaletea mumkali?
Ladha gani mnayoipenda kwa bia na pombe kali.
For user only🔥
Hizi achana nazo zisije kubadilisha hormones zako bure🤣🤣 utamaliza crate nakwambia!Savanna ni kama maji, Sminorff niliona kama tujuice kabisa tutamu sana na zote huwa najaribu mapema kabla hawajajaa nakaa Counter kuna Vidada nafahamiana navyo nakaambia chukua tu hii niwekee kwa glass weekend hii najaribu Brutal mamaee
Kwa nini uliacha mkuu
Hujui kitu kwenye mambo ya pombe nimekupa LIFE BAN..
NIWEKE WAZI MIMI NISINGE KUNYWA POMBE MAANA MPAKA NAMALIZA CHUO KIKUU SIKUWAI KUNYWA..
MIMI NAKUNYWA RESPONSIBLE TENA JIONI BAADA YA KAZI NAFANYA RECREATIONAL KWA KUNYWA KONYAGIIII NDOGO MOJA NA MIX NA TONIC WATER SIZIDISHI THEN NAENDA ZANGU NYUMBANII KUJUMUIKA NA FAMILIA..
POMBE HUFANYA NIWE VERY HIGH KIAKILI , MAWAZO,UTENDAJI, BUSARA NA HATA KUPANGA MADILI YA MAISHA NA BIASHARA..
SISI WENGINE POMBE ZIPO KWENYE UKOO BABA ENGINEER MPAKA KASTAAFU HAJAWAI KUHARIBU KAZI KUGOMBANA AU KUSHINDWA KULEA FAMILIA TUNAKULA, LALA, SOMA VIZURI WATOTO WOTEEEEEEE
KILA MTOTO ALI MJENGEA NYUMBA YAKE NA ALIKUA ANAKUNYWA KILA SIKU..ASIPO KUNYWA ALISEMA HAPATI USINGIZII..
KWA SASA AGE GO HANYWI KABISA USHAUR WA KITABIBU YUPO ANAKULA PENSION WANAINJOI NA MKEWE MPAKA MUDA HUU SO POMBE ZIPO NA WAPO WANAO ZIMUDU
UKIONA HUWEZI POMBE ACHANA NAZO MAANA SIO KILA KICHWA KINA UWEZO WA KUMUDU ALCOHOL
We pombe huiwezi, achana nayo.. ukiona unakunywa pombe na ujinga unakuanza achana nazo kabisa.Maranyingi nikinywa kesho yake huwa nakuwa mtu wa majuto sana , najutia kupoteza pesa , mwili unakuwa katika hali ya uchovu , nakosa hamu ya kula ., kesi zinakuwa nyingi mara oooh et nimemtukana huyu.au yule .... mbaya zaidi nakuwa katika hali ya wasiwasi majuto na kujiona sina heshima ..... na kila nikijiapiza kuiacha baada ya muda najikuta nairudia .... pia huwa nikimuona mtu kalewa huwa namuona kama hajitambui , kichaa na mtu siyekuwa na heshima ... kiufupu pombe ni mbayaaaa..... pombe ni mbayaaaaa SANAAAA
Pombe sio nzuri, wengi tuliotumbukia kwenye mtego huu kwa sehemu kubwa ni pear pressure, adolescent quriosity na mass propaganda kuwa unywaji wa pombe unaambatana na best moments, vibe na ujasiri which in deed is a day time lie.Wakuu habari
Naomba kufahamu katia unywaji wa pombe kali au bia,
Issue ya ladha, relaxation na mood ile ya kuhis vibe fulani, ndio vinawaletea mumkali?
Ladha gani mnayoipenda kwa bia na pombe kali.
For user only🔥
Sawa, lakini kwanini tena watu wakiwa na stress wanatafuta hiyo pombe na kunywa ata wakiwa faragha?Pombe sio nzuri, wengi tuliotumbukia kwenye mtego huu kwa sehemu kubwa ni pear pressure, adolescent quriosity na mass propaganda kuwa unywaji wa pombe unaambatana na best moments, vibe na ujasiri which in deed is a day time lie.
Pombe zimeleta madhara mengi kwa watu kuliko hata wahusika wanavyoweza kukiri. Pombe ina uhusiano wa moja kwa moja na matumizi mabaya ya pesa, ngono zembe, utendaji duni kazini na kuvunjika kwa familia.
Ni muhimu kuukabili ukweli kuwa unywaji wa pombe ni tatizo ambalo kama tusipolipatia suluhu kwa wakati litazalisha majanga mengi tuendako.
Sababu kubwa ni dependency, alcohol is addictive.Sawa, lakini kwanini tena watu wakiwa na stress wanatafuta hiyo pombe na kunywa ata wakiwa faragha?
Duhh hatari! Na kujiengua bila kutamani kurudi ata kama ni mwaka inawezekana kweli? Mi niliacha aisee cha ajabu nmepata tamaa ya ajabu sielewi na ni ghafla tu😟Sababu kubwa ni dependency, alcohol is addictive.
Unapokunywa pombe, mara moja kiasi cha dopamine huongezeka katika ubongo wako, hiki ndicho kinachokufanya ujisikie furaha na mwenye kujiamini. Ukitumia pombe kwa muda mrefu, ubongo wako unatengeneza utegemezi wa pombe kupata dopamine, hali hii ndio huzaa alcohol dependency
Kufunga mwezi mzima au kwa lugha nyingine kuweza kujizuia mwezi mzima.Kwa nini uliacha mkuu
Jambo jema sana mkuu.Kufunga mwezi mzima au kwa lugha nyingine kuweza kujizuia mwezi mzima.
Baada ya kuumaliza mwezi mtukufu wa Ramadhani ilikuwa mwaka 2014 kama sijakosea nikaona ujinga kurudi kwenye mapombe.
Na mimi sikuwa mlevi kivile, nilikuwa napiga piga za afya.
Hii changamoto inawapata wengi, lakini its worth your efforts. Ukiweza kujizuia kwa muda, ubongo wako utaanza kurudi kwenye hali yake ya awali taratibu.Duhh hatari! Na kujiengua bila kutamani kurudi ata kama ni mwaka inawezekana kweli? Mi niliacha aisee cha ajabu nmepata tamaa ya ajabu sielewi na ni ghafla tu😟
NAKUNHWA moja tu kusema kweli Hunitoi kwa Safafi na Castle liteHizi achana nazo zisije kubadilisha hormones zako bure🤣🤣 utamaliza crate nakwambia!
Wazi mkuu😁😃 tutakusimulia mpaka lini kanunue jumla 3500 kwenye bar/ pub 5000
Tupo pamoja tunakusoma nikiwa hapa kwa azizi Ally kuelekea mtongani