Kwanini watu wanaipenda pombe?

Kwanini watu wanaipenda pombe?

Zikiwa zimetoka toka tu siku moja nikasema hebu nivute moja nisikilizie nilipiga funda 3 nikashindwa kabisa nikaimwaga nikamwamnia niletee safari kubwa 3 za barisdiiii zaidi ya Friji
Tuko kama juice, husikii chochote mwenzetu ushazoea kazi ngumu😂
 
Tuko kama juice, husikii chochote mwenzetu ushazoea kazi ngumu😂
Nimeshajatibu bia nyingi sana
Heinekein
Windhoek
SIRMOFF
SAVANNA
LOCAL beer zote hadi Balimi

Mimi nakunywa Bia Mbili tu Castle lite kama mfuko uko vizuri sikuhiyo, Au Safari lager nikipiga Sita kubwa lazima nikae kiasakari kabisa!!
 
Hiyo savana na sminorff ulikuwa unajaribu hadharani kabisa? Wewe piga whiskey tu beer ushavuka aisee😆
 
Mimi nakunywa pombe tamu tamuu..

Kwa Sasa namix konyagiiii na tonic water.

Au na mix ukwaju na KONYAGIIII murua sana sanaa

Magic moment mix na tonic water murua kabisaa..

Bia nazo penda Smirnoff black ice, flying fish...

Hizi sipendezwi maana zinanukisha harufu safari lager, caste lager, balimi, Serengeti lager aiseeee sizipendii kabisa..
Unapata faida gani ukinywa hizo vitu ulizotaja?
 
Niliwahi kumix hiyo colabo hapo 😀
Nilipumzika muda mrefu eheee. Ilikuwa nikiona bia nalewa kabla hata nisikie harufu
Hahaha pole sminorff si mchezo especially kipindi ina 7% sio hii ya sasa sijui 4.5 enzi hizo ukila 3 tu unaongea kingereza hataree!😅
 
Coz ni kitu nzuri. Flying fish ni Bia pekee ya Tanzania niliyoweza kuinywa.. ikiwa ni ile ya kikopo naona ni tamu zaidi kuzidi chupa.

Afu ukishazipiga sex yake ni extra ordinary..
Unaongelea hii dada😁😁 yani juice sio juice hii aisee nmekata carton ni aibu🤣

Hapo mwisho umesemaje? Kumbe ina vitabia kama vya Redd’s🌚 vitu vyenye sukari sio poaa!!
 
Attachments

  • F71F4D57-3F08-4A56-8583-AE707F1D4425.jpeg
    F71F4D57-3F08-4A56-8583-AE707F1D4425.jpeg
    378.7 KB · Views: 13
Hahaha pole sminorff si mchezo especially kipindi ina 7% sio hii ya sasa sijui 4.5 enzi hizo ukila 3 tu unaongea kingereza hataree!😅
Niliiacha nayo mudaa. Hizi mpya zenye flavour tofauti sijawahi jaribu.. enzi ya 7 unalewa asbh unaamka kichwa kama umebeba nyumba 😆

Nikabaki na wine tu.. vi flying fish vilipotoka ndiyo nikavistesti nikatulia navyo
 
Yani hii ya sasa ndio apple punch nmeonja za apple aisee ni kupoteza pesa😂.. kiukweli napenda whiskey hizi sukari basi tu nisionekane kazi ngumu😂😂

Niletee hunting lodge, captain morgan, JD, Jagger, famous grouse n.k🌚
 
Unaongelea hii dada😁😁 yani juice sio juice hii aisee nmekata carton ni aibu🤣

Hapo mwisho umesemaje? Kumbe ina vitabia kama vya Redd’s🌚 vitu vyenye sukari sio poaa!!
Yes.. huto ni tutamu sana kuzidi ya chupa
Na unavinywa vingi ndio ukae kwenye mstari 😀😀

Mambo yanakuwa bam bam.. hata budweiser ina hako ka tabia 🏃‍♀️
 
Yes.. huto ni tutamu sana kuzidi ya chupa
Na unavinywa vingi ndio ukae kwenye mstari 😀😀

Mambo yanakuwa bam bam.. hata budweiser ina hako ka tabia 🏃‍♀️
Mwee ila mi ni sugu ata sisikiagi kitu labda 420😂

Na desperados, windhoek labda😂
 
Yani hii ya sasa ndio apple punch nmeonja za apple aisee ni kupoteza pesa😂.. kiukweli napenda whiskey hizi sukari basi tu nisionekane kazi ngumu😂😂

Niletee hunting lodge, captain morgan, JD, Jagger, famous grouse n.k🌚
Sukari za kutia maua mezani muhimu😀😀

Vitu vichungu tunawaachia wallah 😀😀😀
 
Back
Top Bottom