Kwanini watu wanaipenda pombe?

Kwanini watu wanaipenda pombe?

Mimi mavitu machungu hayapitagi kooni Mimi na mix na ukwaju au TONIC WATER MOSTLY..

HAPA NA MALIZIA MEET THEN NIENDE ZANGU KUPATA KONYAGIIII NDOGO MOJA THEN NIENDE ZANGU NYUMBANII KUJUMUIKA NA FAMILIA.
Mkuu konyagi ladha yake inaangulia kwenye matunda kama yapi? Ile feeling
 
Karibu mkuu!
 

Attachments

  • IMG_9612.jpeg
    IMG_9612.jpeg
    496.1 KB · Views: 15
Kipindi natumia pombe nilkuwa napenda tu ile kampan na wana na mastory

Ila baada ya hapo ni majuto tu

Ila kuna watu wanapenda pombe kama machiz hata chakula anaweza acha akiambiwa mahali kuna pombe za bure

Nilichokuwa nashangaa,ile asubuh tunaamka mim nina majuto mdomo mchungu lakin wenzangu wanafungua pombe walizokuja nazo hyo jana
 
Mkuu konyagi ladha yake inaangulia kwenye matunda kama yapi? Ile feeling
😁😃 tutakusimulia mpaka lini kanunue jumla 3500 kwenye bar/ pub 5000
Pombe Ina faida sana ukiitumia vizuri
Pombe inakuwezesha kutoka kwenye frequency ya chini kukupeleka frequency ya juu hii Ina faida yake, wachache watanielewa
Tupo pamoja tunakusoma nikiwa hapa kwa azizi Ally kuelekea mtongani
 
Back
Top Bottom