Kwanini watu wa hali ya chini wanamchukia sana Rais Samia?!

Wiki jana nikiwa safarini kuelekea magharibi mwa Tanzania nilijipa kazi ya kutafiti uungwaji mkono wa Rais Samia kwa wananchi anaowaongoza.

Asilimia 90 ya watu wa hali ya chini hawamkubali Samia! Na ndani ya hizo 90% 50 yao hawataki kabisa hata kulisikia jina lake.Iliniogopesha!

Hali hiyo ilikuwa tofauti kwa wafanyabiashara.Wengi wao wanadai hawasumbuliwi hasa na mambo ya risti za EFD na kwalo wanadai wanapiga pesa kwa lugha ya mtaani.

Kazi iendelee.
Ndivyo ulivyotumwa?
 
Ni mtanzania asiye na akili tu ndiye atampigia kura huyu bibi, hali ya maisha imekuwa ngumu sana na victims ni hao hao wananchi wenye maisha magumu.

Sasa ikitokea wakamruhusu kukalia hicho kiti kwa mara nyingine basi nitaamini Tanzania ina raia wa ajabu kuwahi tokea tangu dunia kuumbwa.
Dola ndilo huamua nani aongoze nchi hii ndugu na si wananchi.
 
Wewe ni mjinga tu na chuki zako sijawahi sikia mtu anasema anamchukia Mama Samia. Samia ni bonge la President
Amefungua nchi Hadi riziki zimeanza kuonekana.
 
Ni mtanzania asiye na akili tu ndiye atampigia kura huyu bibi, hali ya maisha imekuwa ngumu sana na victims ni hao hao wananchi wenye maisha magumu.

Sasa ikitokea wakamruhusu kukalia hicho kiti kwa mara nyingine basi nitaamini Tanzania ina raia wa ajabu kuwahi tokea tangu dunia kuumbwa.

Unapendekeza tumpigie nani mkuu?
 
Ni mtanzania asiye na akili tu ndiye atampigia kura huyu bibi, hali ya maisha imekuwa ngumu sana na victims ni hao hao wananchi wenye maisha magumu.

Sasa ikitokea wakamruhusu kukalia hicho kiti kwa mara nyingine basi nitaamini Tanzania ina raia wa ajabu kuwahi tokea tangu dunia kuumbwa.

Tatizo ni kuwa watawala wameshapata njia ya kubaki madarakani hata msipowapigia kura . Uchafuzi mkuu uliofanyika 2020 umewapa jeuri watawala kuwa sasa hivi sanduku la kura halina maana tena Tanzania. Kile kinachoitwa uchaguzi hapa Tanzania ni maonyesho ya upumbavu wa watu weusi
 
Hizi ni nongwa tu hiyo 90% uliyotaja ni watanganyika ambao hawakupenda kuongozwa na rais mwanamke hasa hasa kutoka Zanzibar., msubirini Ndugai na aila zake mama atakapomaliza muda wake 2030., shuwayn..!!
Shida sio mwanamke,shida Ni kuongoza
 
Ni mtanzania asiye na akili tu ndiye atampigia kura huyu bibi, hali ya maisha imekuwa ngumu sana na victims ni hao hao wananchi wenye maisha magumu.

Sasa ikitokea wakamruhusu kukalia hicho kiti kwa mara nyingine basi nitaamini Tanzania ina raia wa ajabu kuwahi tokea tangu dunia kuumbwa.
Hao wasio na akili kabla hawajapiga Kira,watakupiga wewe,watatoa povu kwa ulichoandika
 
Watu wa hali ya chini na wasiopenda kujishughulisha huwa wanachukia kila mtu

Hata wakati wa Magufuli walikuwa wanaamini kuwa Jiwe atawanyang'anya kina Mo Enterprise wapewe wao.
 
Wiki jana nikiwa safarini kuelekea magharibi mwa Tanzania nilijipa kazi ya kutafiti uungwaji mkono wa Rais Samia kwa wananchi anaowaongoza.

Asilimia 90 ya watu wa hali ya chini hawamkubali Samia! Na ndani ya hizo 90% 50 yao hawataki kabisa hata kulisikia jina lake.Iliniogopesha!

Hali hiyo ilikuwa tofauti kwa wafanyabiashara.Wengi wao wanadai hawasumbuliwi hasa na mambo ya risti za EFD na kwalo wanadai wanapiga pesa kwa lugha ya mtaani.

Kazi iendelee.
Wamezoea kuambiwa uongo wa kisiasa, SSH anawaambia ukweli linalowezekana na lisilowezekana hivyo wanaona kaja na utamaduni mpya kabisa maishani mwao.
 
Nchi gani hali ya maisha haijapanda tangu mzozo wa Ukraine na Russia uanze mkuu? Hebu pitia vyombo vya habari vya nchi jirani usikie hali ikoje. Malawi watu wameshaingia barabarani
Wafuasi wa JPM kindakindaki hao, walimkabidhi akili zote na uwezo wao wa kufikiria hayati JPM. Dunia tunapita binadamu ni muchanga, kaimba Samba Mapangala.
 
Wiki jana nikiwa safarini kuelekea magharibi mwa Tanzania nilijipa kazi ya kutafiti uungwaji mkono wa Rais Samia kwa wananchi anaowaongoza.

Asilimia 90 ya watu wa hali ya chini hawamkubali Samia! Na ndani ya hizo 90% 50 yao hawataki kabisa hata kulisikia jina lake.Iliniogopesha!

Hali hiyo ilikuwa tofauti kwa wafanyabiashara.Wengi wao wanadai hawasumbuliwi hasa na mambo ya risti za EFD na kwalo wanadai wanapiga pesa kwa lugha ya mtaani.

Kazi iendelee.
Ukichunguza sana chuki zote hizi ni matokeo ya udini na sehemu nyingine ni ujinga waliojazwa hao wanaoitwa wanyonge na utawala wa awamu ya tano. Watanzania tunaangalia pale tulipoangukia na si pale tulipojikwaa. Haya matozo ni athari ya sera mbovu za uchumi za mwendazake lakini watu hawalioni hilo.
 
Ni mtanzania asiye na akili tu ndiye atampigia kura huyu bibi, hali ya maisha imekuwa ngumu sana na victims ni hao hao wananchi wenye maisha magumu.

Sasa ikitokea wakamruhusu kukalia hicho kiti kwa mara nyingine basi nitaamini Tanzania ina raia wa ajabu kuwahi tokea tangu dunia kuumbwa.
Atashinda kwa kishindo
 
Hakuna la ajabu hapo tutamruhusu tu Inshallah, tena kwa furaha.

Mulimruhusu Nyerere kutawala miaka 23 na hao wengine wote waliotangulia, itakuwa yeye!
 
Back
Top Bottom