Kwanini watu wa hali ya chini wanamchukia sana Rais Samia?!

Kwanini watu wa hali ya chini wanamchukia sana Rais Samia?!

Samia utamkubali kwa kitu gani zaidi,hakipo uwezo wake wa kusimamia nchi ni mdogo sana sana.
Kila Rais Muislamu huambiwa maneno haya. Kuanzia Mwinyi, JK na sasa Samia. Nchi hii Marais wazuri ni Wakatoliki tu.
 
Kila Rais Muislamu huambiwa maneno haya. Kuanzia Mwinyi, JK na sasa Samia. Nchi hii Marais wazuri ni Wakatoliki tu.
Sasa hapo unaleta udini maendeleo hayaana dini wala chama Rais Samia Suluhu amefanya mambo makubwa sana TANZANIA
 
Wiki jana nikiwa safarini kuelekea magharibi mwa Tanzania nilijipa kazi ya kutafiti uungwaji mkono wa Rais Samia kwa wananchi anaowaongoza.

Asilimia 90 ya watu wa hali ya chini hawamkubali Samia! Na ndani ya hizo 90% 50 yao hawataki kabisa hata kulisikia jina lake.Iliniogopesha!

Hali hiyo ilikuwa tofauti kwa wafanyabiashara, wengi wao wanadai hawasumbuliwi hasa na mambo ya risiti za EFD na kwao wanadai wanapiga pesa kwa lugha ya mtaani.

Kazi iendelee.
Rais Samia Suluhu anewajari sana wananchi wa hali ya chini amefanikisgha elimu bure anatoa mikopo kwa wamama vijana na wazee
 
kupendwa sio sifa ya kuwa au kutokuwa Rais wa Tanzania

hiyo ingekuwa sifa kuna ma Rais wa Tanzania wa awamu zilizopita wasingekuwa ma Rais
Exactly kupendwa sio sifa bali uchapakazi na utekelezaji ndio sifa kubwa ya kiongozi bora na Rais Samia Suluhu anadeserve kua kiongozi wa Tanzania kwa maendeleo anayoleta kila siku
 
Ni mtanzania asiye na akili tu ndiye atampigia kura huyu bibi, hali ya maisha imekuwa ngumu sana na victims ni hao hao wananchi wenye maisha magumu.

Sasa ikitokea wakamruhusu kukalia hicho kiti kwa mara nyingine basi nitaamini Tanzania ina raia wa ajabu kuwahi tokea tangu dunia kuumbwa.
Hakuna kitu kama hicho punguza chuki Rais Samia Suluhu anapendwa sana na 2025 hana mpinzani
 
Fanya utafiti, maeneo yenye masikini wengi, ukiishi hapo hutoboi, full uchawi, majini nakadhalika, masikini huwa hawapendani na hawapendi matajiri.

Nenda kigoma ujiji, ukijenga nyumba mpya kesho unaamka umekufa, hawataki maendeleo, mtoto akiwa na akili anarogwa akili, anakuwa zezeta, Kuna mikoa ambayo ukienda kwenu, siku ya kuondoka huagi.

Hawa magufuli aliwaaminisha kwamba kuwa masikini ni fahari, kuwa mnyonge ni fahari, hawakubali kumuona mtu yeyote anafanya juhudi walau ajenge nyumba ya bati, watamsema mji mzima, wengi huamua kujenga mbali na makwao.

Samia anahubiri utajiri, anahubiri mafanikio, hawa wanataka mtu awahubirie umasikini na unyonge, fitina na majungu.
Well said lakini Rais Samia katka uongozi wake amewajari sana watu wa chini kwa kuwapelekea huduma muhimu kama afya, elimu, maji na watu wa hali ya chini wanapata pesa kutoka Tasaf ili waweze kujikwamua
 
Sasa hapo unaleta udini maendeleo hayaana dini wala chama Rais Samia Suluhu amefanya mambo makubwa sana TANZANIA
Wanaoleta udini ni hao wanaomchukia Samia. Hiyo kauli nilikuwa namjibu mmoja wa hao wenye chuki Sukuma Gang.
 
Back
Top Bottom